Kwa Mujibu wa maandiko mtu huoa kutokea kwao sio magetoni au alipopanga au kujenga.
Mzazi wa Kikristo anatakiwa kuwa na utajiri sio tu kuhudumia familia bali urithi kwa wajukuu wa watoto wake.
Mithali 13:22
Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi; <br>Na mali ya mkosaji huwa akiba kwa...
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Wakuu siko vizuri kupangilia maandishi naomba mnisamehe kwa hilo.
Mimi ni kijana mwenye miaka 30 nimefanya biashara kama tatu hapa bongo sioni mafanikio biashara ya mwisho nimeachana nayo last month nimeuza vitu kwa hasara nimepata 2M. Nimeamua kwenda...
"Nilipokuwa Mdada na kuona Maisha yangu hayaeleweki niliamua kupambana ili niende Nje ya nchi nikiamini huko ndiko kuna Maisha mazuri ila najuta kwani niliishia kuwa Kahaba ( Malaya ) kwa Miaka miwili hadi kuamua kurejea nchini Tanzania ambako nimegundua kama ukijipanga hapa kuna Maisha mazuri...
UKIENDA MJINI KUTAFUTA MAISHA HAKIKISHA UNAFANYA HAYA
Anaandika, Robert Heriel
Leo sina mengi ya kusema, najua Maisha hayana Formula Ila zipo Formula katika Maisha. Ukitaka chukua usipotaka Acha.
Ooh! Mimi ni kijana, nina miaka 25, sina hili wala lile. Sijui nikatafutie wapi Maisha. Mimi...
Habari zenu ndugu, Nina ndugu Yangu anafikiria kwenda kutafta maisha Uingereza kwa kufata taratbu zote yan kwa passport, visa na kila kitu, ila njia anayotaka kuitumia ni kwanza kuhakikisha anafika katika kambi ya wakimbizi huko uingereza.
Chengine ni kuwa amesoma na ana degree yake ya uhasibu...
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba tujadili hili.
Binafsi nimekulia kwenye mkoa wa kitalii ambapo nimeshuhudia vijana wengi wakienda ughaibuni kutafuta maisha.. Arusha na Ulaya zina uhusiano mzuri. Vijana kwenye utalii hupata fursa za kwenda huko. Pia wanamichezo kupitia riadha...
Hali ilivyo:-
1.Watanzania waishio nje.
Kila mwaka mamia ya wanawaake wanaenda Uarabuni kusaka maisha ambapo baadhi hupata mazingira ya kazi yenye staha na mishara mizuri. Lakini wengine hufanya kazi kwa saa nyingi zaidi na kwa malipo madogo huku wakipata manyanyaso ya kimwili na...
Huenda nikawa tofauti kimtazamo na wengine lakini kama kijana inabidi uwe mbunifu na risk taker. Usijali kuhusu hasara siku zote biashara ngumu zenye hasara kubwa ndobiashara zenye mafanikio. Ukipata fursa ya kwenda kutafuta maisha ughaibuni hata kama nikwakuvuka bahari kwa kutumia mashuwa vuka...
001:
umasikini ni jamb baya sana. Katika maisha yangu niliapa nitakuja pambana na umasikini kwa namna yoyote ile mradi na mimi niwe mtu miongoni mwa watu.
Kwa majina naitwa Nelson ama wengi wamezoea kuniita bob nelly.mwaka 2013 nikiwa na miaka ishirini na nne nilitoroka nyumbani na kuja Dar es...
Vijana wengi siku hizi wanaogopa Sana kuoa eti kisa hawajajipanga vizuri kimaisha kwa hiyo wanahisi wakio watashindwa kuhudumia familia zao.
Vijana wengi ckuiz wamejiaminisha kwamba lazima utengeneze Mambo yako hasa ya kiuchumi ndo uvute mwanamke ndani na wapo wengine ambao wanaamini kijana...
KUMRUHUSU BINTI AONDEKE NYUMBANI AKAJITAFUTIE MAISHA NI KUMFANYA AWE MALAYA!
Anaandika, Robert Heriel.
Mwanamke hatafuti maisha Ila anatafutiwa, maisha ya mwanamke yapo Kwa mume wake au Mzazi wake. Ni hatari na kosa kubwa kumruhusu binti yako akatafute maisha. Mwanaume ndiye anayekula Kwa...
Habari wakubwa
Naomba niseme tu nimechoka kukaa nyumbani kuwa kula kulala, maisha ya kukaa nyumbani yamenichosha natamani na mimi nianze kujitegemea nianze kulipa kodi, ninunue chakula kwa pesa yangu mwenyewe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.