kutafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vien

    Mfumo wa kutafuta hela kwa sasa umebadilika sana; kwa dunia ya leo maarifa yana nguvu kuliko juhudi

    Miaka ya nyuma tulilelewa kwenye dhana kwamba mafanikio yanategemea zaidi jasho, juhudi, na kufanya kazi kwa bidii bila kuchoka. Ilikuwa ni kweli kwa wakati huo, kwa sababu fursa zilikuwa chache na taarifa hazikupatikana kwa urahisi. Lakini kadri dunia ilivyobadilika, hasa kwa ujio wa...
  2. MakinikiA

    Wameanza kulialia na kutafuta visingizio

    Russia is helping Iran target US military forces, officials say Middle East Russia has shared intelligence with Iran that could help Tehran strike US warships, aircraft and other American assets in the region, according to two officials familiar with US intelligence – the first indication Moscow...
  3. jamaikatz

    Unamshauri nini mtu anayeenda kutafuta maisha jiji la Dar es Salaam?

    Unamshauri nini mtu anayeenda kutafuta maisha jiji la Dar es Salaam?
  4. Roving Journalist

    Mawaziri wafanya kikao Lushoto kutafuta suluhu ya migogoro ya Wananchi Mkoani Tanga

    Mawaziri saba wa kisekta wakiwa na mwenyeji wao ambaye ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe ambaye ni Mbunge wa Lushoto wamekutana wilayani hapo kujadili utatuzi wa changamoto na migogoro inayowakabili wananchi mkoani Tanga ikiwemo ya ardhi, ikiwa ni hatua ya...
  5. F

    Kutafuta fursa ya ajira

    Habari za leo ndugu zangu. Naitwa Farid Hussein Issa, mhitimu wa Shahada ya Business Administration (Entrepreneurship Development) kutoka Mzumbe University. Nina uzoefu wa kufanya kazi kama Assistant Accountant, pamoja na Sales & Marketing, nikiwa na ujuzi wa matumizi ya Tally Prime, data entry...
  6. ELI COHEN

    Hitler aliwekeza katika kutafuta nguvu za miujiza na uchawi kwa kuwatuma watu wake duniani kote wakazisake ila hawakuambalia chochote.

    Alifanya hivi ili iweze kumsaidia katika ambition yake ya kuitawala ulaya nzima. ila wewe 35+ bado unaaamini haujapata mganga mzuri na mafuta uliochukuwa kwa ben haukuyaambatanisha na sadaka nzuri ndio maana tabu hazijaisha
  7. Roving Journalist

    Naibu Waziri wa Ardhi, Kaspar Mmuya: Inakuwaje kupata Hati ya Kiwanja iwe kama kutafuta Tanzanite au Dhahabu?

    "Kupata hati ya kiwanja iwe kama kutafuta Tanzanite au Dhahabu nchi hi? Yaani mtu ambaye amekuja kuomba hati amefuata taratibu na kutimiza vigezo vyote vinavyotakiwa inakuwaje inamchukua miaka miwili kupata hati yake?" - Naibu Waziri wa Ardhi, Kaspar Mmuya...
  8. The Father of All

    Gwajima wataje watekaji badala ya kujibaraguza na kutafuta kiki kwa uchawa na utapeli

    Ukimsikiliza vizuri askofu uchwara wa kujipachika Josephat Gwajima, unashangaa. SIku hizi, amendandia hoja iliyotaka kumzamisha ya utekaji. Anasema hapendi utekaji kana kwamba kuna mtu mwenye akili zake anayeupenda ukiachi wauaji wetu . Kinachoshangaza ni kusema eti serikali na vyombo vya...
  9. C

    Baada ya mbinu ya kutumia waislam koko kulisema kanisa kugonga mwamba, sasa mmeamua kutafuta njia ya kutumia wakristo koko

    Njia sahihi na salama kabisa ya kurejesha utulivu nchini ni kutafuta mlipo jikwaa nakuondoa hicho kizingiti kilicho fanya mjikwae , Kuendelea kudhani kwamba amani na upendo wa taifa vitarejea kwa kuendelea kutafuta vilaza wa kuendelea kulisema na kulishambulia kanisa ni kujidanganya na...
  10. Tanganian

    Dunia ya sasa hauwezi kutafuta haki, hakuna haki bali ni janja janja za kisiasa

    Niwasalimu watu wa ukumbi huu, Kwanza niende moja kwa moja kwenye lengo la uzi huu ,hapa nataka kuongelea kuhusu kitu kinaitwa ''haki''. Je ,dunia ya leo kuna haki na watu wanaweza kudai haki. Kabla ya yote tutambua neno haki lina maana pana sana ,unaweza kusema ''ni kitu chochote / jambo...
  11. ELI COHEN

    Huu ndio msimu ambao bwana covax ataenda kutafuta vifungu ili atuhakikshie kuwa Yesu alikuwa ni mpalestina na itikadi kali

    Mimi sio nabii ili kabla ya tarehe 31 mtaona majaabu😄😄 Red black dosho12 Vincenzo Jr secretarybird Moisemusajiografii hamis77
  12. Fbn

    Vijana haya mambo ya kutafuta wachumba mitandaoni na kwenye media mnatuzalilisha wakubwa zenu

    Vijana wa sasa sijajua au ndio kizazi chenu cha wakati. Ila sisi wakubwa wenu mnavyo jionesha kuwa mnashindwa kutafutana mtaani mpaka kwenda kwenye media yani niliona kijana mmoja kuna kipindi kimoja mpaka nika jisikia vibaya sana. Umfahamu wala hakufahamu mnaenda kuokotana kama madanguro...
  13. M

    Twaha Mwaipaya aeleza mazito kuhusu mauaji ya Oktobea 29. Asema hakuna umwagaji damu utakaowazuia kudai haki

    Ni interview nzuri sana. Unaweza kuitazama hapa: Oktoba 29, 2025 ilikuwa ni siku kubwa sana ya kihostoria katika nchi yetu ya Tanzania, ambapo ilikuwa ni siku ya maandamano ya kupinga kupwoka haki na vijana walikuwa na hasira sana. Na haya yote ni matokea yalitokea katika kukosa haki katika...
  14. Mshana Jr

    Kusingizia kitu zama hizi ni kutafuta aibu za kujitakia

    AI ambayo imesingiziwa Imekataa kuhusika kutengeneza hii video na imesisitiza video hii ni HALISI. Sasa wanaoisingizia AI waje watuambie miili ya ndugu ipo wapi tunataka kuzika ndugu zetu sio nguo zao. Hili hatutaacha lipite hivi, tutapambana mpaka Haki ipatikane Credit: Hilda Newton FB
  15. October 2pm

    Redcross kwa siri wanaandikisha majina ya familia zilizopoteza ndugu zao. Huku walio ughaibuni kutafuta msaada.

    Najuzwa hapa kuna nchi mbili jirani watafaidika na kinachoendelea hapa nchini. Nchi moja iko magharibi, nyingine ipo kaskazini. Mtoto wa profesa tayari juzi usiku alitembelewa na watu kutoka nchi za ulaya kwaajili ya mpango usiojulikana. Hayo yakiendelea huko ndani ya nchi Kundi la Redcross...
  16. M

    SADC yaitaka Serikali ya Tanzania kutafuta suluhisho la kumaliza kadhia inayoendelea kwa njia ya amani

  17. ESCORT 1

    Siku hizi ujanja ni kutafuta Azam Tv ya Burundi au Malawi

    Huku bei ni mserereko kabisa. Malipo ya mwezi ni kitonga kwelikweli.. Endeleeni na bei zenu za alfu 28 kwa mwezi. Endeleeni kukamuliwa..
  18. youngkato

    Mambo ya Kuzingatia Kabla ya Kutafuta Leseni ya Biashara ya Duka la Dawa

    Kabla hujawekeza muda na fedha kwenye kufungua duka la dawa, ni muhimu ujue vigezo na masharti yanayoelekezwa na Baraza la Famasi. Kukosa kuyafuata kunaweza kukugharimu muda, pesa na hata kusababisha maombi yako kukataliwa. Hapa chini tumekuletea mwongozo: 1. REJAREJA / COMMUNITY PHARMACY Kama...
  19. H

    Mrejesho: Harakati za kutafuta mpaka kuandikishwa JWTZ

    Habarini ndugu ? Ninawashirikisha baadhi ya harakati nilizofanya katika kutafuta kuandikishwa na kuwa askari JWTZ. Ni ndoto yangu tangu nikiwa mdogo kiumri kuwa askari wa JWTZ hususa ni kuwa komandoo. Baada ya kuhitimu kidato cha nne nilitaka kwenda jeshini wazazi wangu wakanikatalia wakasema...
  20. DuaZaMama

    SI KWELI Sugu awaomba CHADEMA kuiunga mkono CHAUMMA kutafuta kura za urais

    Wakuu Ni kweli Sugu amesema CHADEMA iwaunge mkono CHAUMMA kutafuta kura za urais au ni uzushi? mwenye ukweli wa wa hizi taarifa naomba msaada.
Back
Top Bottom