kutafsiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kilimi

    JamiiForums Tanzania Nafasi 10 za kazi kwa watafsiri wa kichina na 10 kwa wapishi wa kichina

    naitaji watu 10 ambaye yupo tayari kufanya kazi KIBAHA na DSM kwa nafasi ya mtafsiri wa kichina na 10 mpishi wa kichina anaeweza kupika vyakula vya kichina (certified) -uzoefu wa miaka 2 au zaid tuma cv 0657392242
  2. A

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kutafsiri kitendo cha kupiga picha mwili wa marehemu kama udhalilishaji?

    Kuna tabia mpya imezuka nchini ya kuwalalamikia vitendo vya watu wanaopiga na ku-post picha za wapendwa wao wakiwa tayari wamefariki.....aidha wakiwa kwenye jeneza, kwenye matukio ya ajari au wakiwa mawodini... Je kuna ubaya gani mtu kuhifadhi kumbukumbu ya picha ya mpendwa wake akiwa katika...
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kutafsiri hotuba zilizotolewa kwa kiingereza ni ushahidi wa elimu yetu hafifu

    Mitaala yetu inafundisha Kiingereza kuanzia elimu ya msingi hadi vyuo vikuu. Kuanzia elimu ya sekondari hadi vyuo vikuu lugha ya kufundishia ni kiingereza tu. Tanzania ina watu wengi (90%) waliopata angalau elimu ya msingi ambao pia katika hali ya kawaida wangepaswa kujua kusoma, kuandika...
  4. Nikola24

    JamiiForums Tanzania Nimeota ndoto ghafla nikaanza kucheka sana nikiwa usingizini.Nisaidieni kutafsiri

    Niliota Kuna mwanamume shupavu amebeba bunduki.Nikajifanya nimekufa lakini huyo mwanaume alijaribu kunipiga risasi ya mguu. Nilisimama ghafla na kuanza kukimbia. Mwanaume yule alivyatua risasi ila nilizikwepa. Nikashangaa Kuna wanaume wengine wawili walinizunguka wakinipiga risasi lakini nilizi...
  5. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalumu wa kutafsiri picha za Masoud Kipanya

    Karibuni tushee maana zilizo nyuma ya picha za bwana MASOUD KIPANYA. Hasa zile zenye mrengo wa kisiasa
  6. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Juma Ayo: Refa wa mechi ya Namungo dhidi ya Simba apewe Derby ya Kariakoo, anajua kutafsiri vyema sheria za soka

    “Refa wa leo apewe derby nimependa namna ambavyo ametafsiri sheria ya mpira, Simba penalty zote 3 ni clear kabisa hakuna doubt hata kidogo. Huu mpira tunaucheza na tunaujua lazima tuwe wakweli Kudos kwa mwamuzi...hajaangalia idadi ya penalty anazotoa ameangalia zaidi matukio” Hayo ni maneno...
  7. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Mnajua kutafsiri ndoto nisaidie

    Morng Ase naota nipo karobu sana na rais si mara ya kwaza kabisa inakuja na kuondoka sasa sijajua ina maana gani mda mwingine asipo kuwa rais bas ni viongozi wakubwa wakubwa mfano kabudi embu nisaidie Au kuna siku na mimi nitakula keki ya taifa 😂😂😂 nipo serious
  8. Mwafrika mmoja

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa Kutafsiri lugha ya Kihadzabe kwenda Kiswahili

    Habari !!! Natafuta mtu anayeweza kutafsiri lugha ya Kihadzabe kwenda Kiswahili !!! Nitafte: 0683535699 kwa maelewano.
  9. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta: Naomba Kujua software inayotumika kuingiza maneno ( KUTAFSIRI) video iliyo kwenye lugha nyingine inaitwaje?!

    Kichwa Cha habari hapo wakuu kinajieleza nataka Kujua Hawa wakina Mpemba og, side kama side Huwa wanatumia software gani kuingiza maneno Yao ?!? Nawasilisha swali na kama hujui kama Mimi Kaa kimya .
  10. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania imeshindwa kutafsiri dhana ya Burkina Faso?

    Hususan kwa watendaji, washauri wa Rais na vyombo vyetu vya intelijensia. Nchi ndogo za magharibi ya Afrika zimeonesha jinsi Afrika inavyohitaji mabadiliko ya namna tunavyoongoza nchi na kusimamia Serikali. Tanzania ni wakati umefika itazame uhalisia. Ya nchi hizo ndogo ni mfano mzuri sana, na...
  11. chiziwafursa

    JamiiForums Tanzania Natamani kutafsiri vitabu ila sijui wapi nianzie naomba muongozo tafadhari

    Baada ya kusoma kitabu cha fikiri utajirike (Think& grow rich) nimetokea kuvutiwa nami kutafsiri vitabu ambapo nia yangu nikuja kutafsiri kitabu kama cha human nature, unlock it by Dan Lok na vingine vingi ila nikaona nisiishie hivi hivi nikaingia Google kutafuta mwanga kidogo lakini nimeishia...
  12. harakati za siri

    JamiiForums Tanzania Msaada App ya kutafsiri lugha kwenye Video au Audio

    Jambo wanajamii. Tafadhali anayejua app ya kutafsiri lugha, nimekutana na kitu kizuri sana usiku huu Youtube, sitapenda kinipite. Thank you in advance.
  13. Exformer

    JamiiForums Tanzania KUTAFSIRI MOVIWS

    Wakuu kama nilivyoandika kwenye title, je madj kama juma khan, mark na murphy wanatumia software zipi kutafsri movies?
  14. ward41

    JamiiForums Tanzania Kama umeota ndoto kutoka kwa Mungu, yeye mwenyewe atakupa tafsiri. Usihangaike kuuliza watu

    Kuna watu humu ndani wamekuja na hoja mbalimbali za ndoto na kutafsiri ndoto Biblia imeeleza waziwazi kwamba hakuna mwanadamu mwenye uwezo wa kutafsiri ndoto Tujifunze kisa cha Yusufu kwa Pharaoh na Daniel kwa Nebuchadnezzar. Hao wote wawili waliwaeleza wafalme kwamba hakuna mwanadamu mwenye...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Chunya: Sugu apeleka Mkataba wa Bandari kwa Wananchi, awasomea kwa Kiingereza na kutafsiri kwa Kiswahili

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Kimataifa, mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini , Bilionea Joseph Mbilinyi, jioni ya leo alikuwa Wilayani Chunya, akiwaelimisha wananchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya na Ubovu wa Mkataba wa Bandari. Hapa ni Kata ya Makongorosi, ambapo...
  16. Yofav

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mwenye uwezo wa kutafsiri ndoto zangu hizi tafadhali

    Habari wakuu, Nimekwama tafadhalini. Naamini kila mtu humu ana talanta yake ambayo amebarikiwa, Naamini pia huku kuna wakina Yusuf walioweza kutafsiri ndoto kipindi cha utawala wa Wamisri kwa Israel na ndiyo maana sinaga tabia ya kudharau watu. Ni marefu kidogo ila nakuomba soma hadi mwisho...
Back
Top Bottom