kusoma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Hapa kuna kusoma kweli wakuu?

  2. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kwa muujibu wa sheria ya habari ya mwaka 2016 kifungu cha (19)1 kinaeleza waajiriwa wa vyombo vya habari kusoma na sio mtu wakawaida haruhusiwi kutoa

    Nimesikia kauli iliyotolewa bungeni na waziri naibu wa habari, tamaduni na sanaa na michezo Hamis mwinjuma kwamba wachambuzi wote lazima waende shule kwanza ambapo amedai kwamba ni kutokana na sheria ya vyombo vya habari ya mwaka 2016 kifungu cha (19)1, Katika uhalisia sheria haikumaanisha...
  3. Msanii

    JamiiForums Tanzania Picha hii ina tafsiri gani?

    Prediction: Huo mkono wa huyo kijana naona kama una ujumbe fulani au hoja kinzani Prediction: Naona mpaka mpambe wa Rais anasubiri amri tu hapo...... Disclaimer: Picha haina lengo la kudhalilisha utu wa Rais.
  4. CARIFONIA

    JamiiForums Tanzania Kuna kusudi la Mungu wewe kusoma huu uzi

    HESHIMA YENU WAPENDWA UNAWEZA KUSOMA HUU UZI THEN KAA UTULIE JARIBU KUTAFAKARI HATA KIDOGO KILICHOANDIKWA. Ni kosa kufikiri kwamba muda unaenda. Muda hauendi. Muda upo hadi mwisho wa dunia. Ni wewe unayeenda. Haupotezi muda. Muda hauna kikomo. Unajipoteza mwenyewe. Wewe ndio una mwisho. Ni...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Ameacha chuo mwaka wa pili kozi ya clinical medicine na anataka kwenda kusoma degree ya ufamasia

    Hello habari kuna dogo kaamua kuacha kozi ya clinical medicine na kwenda kozi ya ufamasia ,na alikuwa anafanya vizuri tu sasa ilikuwa anakarbia kufanya mtihani wa cat one mwaka wa pili kaamua kuacha anataka akasome ufamasia tumemweleza aendelee kwanza na diploma afu atajiendeleza badae hataki...
  6. Apollo tyres

    JamiiForums Tanzania Kusoma shule za gharama kuna faida nyingi sana kuliko hasara

    Wakuu habari. Nimekuwa nafatilia Sana kuhusu mada mbali mbali kuhusu mtoto kusoma shule za kata au kayumba na kumsomesha shule za gharama Private. Kwa kuanza nitatoa mifano mifano kadhaa kuhusu Mimi binafsi. Mimi nilipata bahati ya kusoma shule za gharama kubwa kuanzia kidato cha kwanza...
  7. KOMBO ALI

    JamiiForums Tanzania Mtu aliyemaliza Diploma ya Uvuvi yan fisheries science and technology anaweza kusoma degree ya Computer science?

    Hello Naomba kuuliza mtu aliyemaliza diploma ya uvuvi yan fisheries science and technology anaweza kusoma degree ya Computer science au IT Asanten.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nimeamua rasmi kufunga mwaka na kuachana na maamuzi mabaya niliyofanya ya kusoma bachelor of science in chemistry sasa nimeamua nisome bpharm

    Baada ya kipindi kirefu Cha kuwa njia panda nimeamua nifunge mwaka na kubadili kozi.
  9. Brojust

    JamiiForums Tanzania Mama yangu Raisi Samia Suluhu Hassan, waziri wa ulinzi pamoja na waziri wa miundombinu. Tumieni DK 5 tu kusoma hili juu ya SGR

    Amani ya Bwana iwe nanyi. Roho yangu binafsi inaniuma sana kuona kuna baadhi ya watu wanahujumu huu mradi wa SGR, tena wengine ni mafundi au wanahusika kwa namna moja ama nyingine. Opinion yangu; Mh Raisi na waziri wa ulinzi tengeneza taskforce kali sana, zitungiwe sheria ndogo maalumu kwa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Namna ya kujijengea uwezo wa kusoma vitabu

    Wakuu kwa mwenye uelewa naomba nijuzwe namna ninavyoweza kujijengea uwezo wa kusoma vitabu kwa lengo la kupata maarifa tofauti tofauti. Kama inavyofahamika wengi katika watu ni wavivu wa kusoma habari za maana zenye kujenga uelewa.
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Elimu ya kusoma nyota (unajimu) inaruhusiwa katika Ukristo?

    Ukisoma biblia mamajusi(wanajimu) watatu kutoka mashariki walisoma na kuifuata nyota kutoka mashariki iliyowaongoza kutoka mashariki walipokuwepo hadi Bethlehemu alipozaliwa mfalme wa Wayahudi(Yesu Kristo). Je ni sawa kwa mkristo kushiriki kwa namna yoyote katika usomaji nyota(unajimu)?
  12. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Ujumbe Kwa vijana mnaojipanga kusoma masters ili muwe ma boss : Ili upande cheo hauhitaji masters unahitaji mganga mzuri.

    Habari wakuu, Kwanza niweke wazi mimi Omoyogwane nipo Gamboshi bariadi nafanya research huku, kama kuna mtu anataka kuja PM sitamjibu Lengo la huu uzi ni kushare kile nilichokiona na kukijua, kama una swali uliza hapa hapa . Kupanda cheo kuna mambo mengi nyuma ya pazia tena ya kutisha na...
  13. M45

    JamiiForums Tanzania Hivi unaweza kusoma sheria ukiwa na elimu ya Form Four?

    Kichwa cha habari chahusika, Nina kaka angu alimaliza form four miaka ya nyuma na hakuweza kufaulu kuendelea na form five, sasa hivi anawaza kuingia chuo asome sheria ila matokeo yake ana C ya Historia na C ya Civic, Masomo mengine alipata yote D. Je, anaweza kuingia Chuo matokeo hayo?
  14. EEM M

    JamiiForums Tanzania Kusoma Masters ya Sheria Chuo Kikuu Huria (OUT), Je, GPA inapatikana?

    Habari za muda ndugu zangu. Binafsi nimewiwa sana kujiendeleza kwa kusoma Masters katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (Open University) kwani mbali na ubora wa elimu inayopatikana napo na kukifanya kiwe Chuo Kikuu cha pili Tanzania kwa ubora nimeamua kupapendekeza hapo kama chaguo langu la...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Nikitaka kusoma short course za OSHA naanzia wapi ?

    ??
  16. excel

    JamiiForums Tanzania Week end yangu inaenda murua sana! Nimefurahi sana kusoma hizi sms..

    Yani katika pita pita mitandaoni nikakutana na hizi sms za kijana akiutongoza mshangazi...😅😅😅 nimecheka sana
  17. wa kibondemaji

    JamiiForums Tanzania Kusoma BSc. Phamarcy ukiwa ni Clinical Officer

    Habari wana JF, Nina rafik yangu alisoma CBG akapata division II ya 12, baada ya hapo akaenda kusoma clinical medicine akapata GPA ya 4.2. Sasa anaomba msaada je akitaka kusoma Bsc pharmacy itawezekana kwa hivyo vigezo tajwa hapo juu?
  18. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Walisema watatupa ufadhili kusoma Chuo Kikuu cha SUMAIT (Zanzibar) hadi tuhitimu, ufadhili umesitishwa kinyume na makubaliano

    Mimi ni Mwanafunzi wa degree, nipo Mwaka wa Pili katika chuo Cha Abdurahman Al-Sumait kilichoko Zanzibar. Mimi na wenzangu tulipata ufadhili wa masomo (Scholarship) kutoka Taasisi ya Direct Aid Society ambayo zamani ilijulikana kama African Muslim Agency (AMA) ambayo ndio wamiliki wa Chuo cha...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kumbe ukiwa chama cha upinzani unasahahu kusoma na kuandika

    Nimetafakali na kuwaza sana zaidi ya wagombea elfu 16 za wagombea wa vyama vya upinzani walikosea kujaza form. Cha ajabu form hizo ziliandikwa kwa k Swahili. Lakini cha ajabu CCM walijaza kwa ufasaha wote. Hii ndio sababu ya kuuliza hivi ukiingia champ chochote cha upinzani una sahahu hapo...
  20. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Wakuu nimeshindwa kusoma hii hela??? ni elf 12 au milion 12?

    Watu wanaweza zan nazingua lakin kifupi nimechanganyikiwa sidhan kama n kweli maana hamna ninae mdai sifanyi kazi na sina mtu wa kuniwekea hii hela kama kweli ndio yenyewe Iko ivi nilikopa laki 4 sehemu nilikha na kazi nayo jamaa ameniwekea amenitumia na msg ya muamala kwenda kuangalia nakuta...
Back
Top Bottom