kusini

Countdown at Kusini (also known as Cool Red) is a 1976 American-Nigerian action/drama film written by Howard Friedlander and Ed Spielman, and directed by Ossie Davis.

View More On Wikipedia.org
  1. Naomba ushauri: Nataka kufanya biashara ya Radio na TV kutoka Afrika ya Kusini

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nina ndugu yangu anafanya biashara flani kutoka SAUZI sasa nataka kumuomba nimpe mtaji wa kuanzia 1M ili nimuagize TV na Redio kwa ajili ya biashara. Je SAUZI ni sehemu sahihi kwa biashara hiyo? Kama kuna anayefanya anaweza kunipa dondoo za bei n.k...
  2. Virusi vya Corona: Hatua za udhibiti zalegezwa Afrika Kusini, huku maambukizi yakipungua

    Afrika Kusini ilitekeleza amri ya kutotoka nje tarehe tarehe 27 MachiImage caption: Afrika Kusini ilitekeleza amri ya kutotoka nje tarehe tarehe 27 Machi Afrika Kusini, ambayo ilikuwa ni moja ya nchi zilizochukua hatua kali mapema zaidi duniani za kukabiliana na kusambaa ka virusi vya corona...
  3. Athari za Covid zairudisha Afrika Kusini miaka 13 nyuma kiuchumi, shinikizo la mabadiliko laongezeka

    Shinikizo linaongezeka kwa Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa kuongeza kasi ya mabadiliko kwenye sekta za nishati na mawasiliano kwenye nchi hiyo inayoongoza kwenye uchumi wa viwanda barani Afrika baada ya ugonjwa kufuta ukuaji wa zaidi ya muongo mmoja. Madhara ya Covid kwenye uchumi wa...
  4. GE2020 Kikwete: Wanaosema Mikoa ya Kusini imesahaulika kimaendeleo hawaijui vizuri mikoa hiyo

    Rais mstaafu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Kikwete amesema wanasiasa na wagombea wanaosema mikoa ya Lindi na Mtwara imesahauliwa na imeachwa nyuma kimaendeleo hawaijui mikoa hiyo na waongo. Dkt. Kikwete ameyasema hayo katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi...
  5. GE2020 Lissu aifuta CCM Mtwara, Ajenda ya korosho yawa kaa la moto kwa CCM mkoani humo

    Hii ndio taarifa inayozunguka kwa sasa kila mahali, kwamba leo yule Rais mtarajiwa wa awamu ya 6 ambaye ameteuliwa na Mungu mwenyewe baada ya kuzuia kifo chake atakuwa Mtwara katika kinachoitwa Uzinduzi wa Kampeni za uchaguzi 2020 kanda ya kusini. Taarifa zaidi zinaonyesha kwamba Shughuli...
  6. J

    GE2020 Maswali ya Bernard Membe kwa Mgombea Magufuli. Kusini wana jambo lao

    ..Membe ameuliza maswali mazito ambayo sidhani kama Magufuli ataweza kuyajibu.
  7. J

    GE2020 Bwege na Chaurembo wanaisambaratisha na kuifuta CCM mikoa ya Kusini

    Unaweza kusikiliza video clip yote. Lakini Chaurembo yuko kuanzia dk 10:44. CCM watafute watu wa kuzima hoja za Chaurembo. Wakichelewa watajikuta wamefutika mikoa ya kusini.
  8. C

    GE2020 Kutoka Lindi: Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za Chama cha ACT-Wazalendo

    Kampeni zinaendelea na leo Chama cha ACT-Wazalendo wanazindua kampeni zao Lindi, wagombea wote kwa upande wa Jamhuri na Zanzibar wameshawasili uwanjani na kwa sasa kikundi cha burudani kutoka Lindi kinatoa burudani ya utangulizi. Tuwe pamoja kujuzana yatakayojiri. ===== Maalim Seif: Nasema...
  9. Kumbe hata Afrika Kusini nao pia wana 'Wasomi Mapopoma' tu kama wanaopatikana kwa Wingi Mitaa ile ya Twiga na Jangwani?

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa nimeshangazwa kusikia kuwa aliyekuwa Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Klabu Bingwa nchini Tanzania ya Simba Sports Club Senzo Mbatha Mazingisa ameenda kuwa Mshauri Elekezi wa Mchakato wa kuelekea katika Mabadiliko ndani ya Klabu ya 'hovyo hovyo' duniani ya...
  10. Takriban watu 10 wameuawa na wengine makumi kujeruhiwa baada ya kutokea kwa shambulio Kusini mwa Nchi ya Ufilipino

    Takriban watu 10 wameuawa na wengine makumi kujeruhiwa baada ya kutokea kwa shambulio kusini mwa nchi ya Ufilipino. Shambulio hili limetekelezwa katika eneo la Jolo ambalo wakazi wake wengi ni waumini wa dini ya Kiislamu ambako vikosi vya Serikali vinapambana dhidi ya Kikundi cha Waasi cha Abu...
  11. Binadamu mwenye Umri mkubwa zaidi afariki akiwa na miaka 116 nchini Afrika ya Kusini

    Fredie Blom's identity documents showed he was born in Eastern Cape province in May 1904, although that was never verified by Guinness World Records. When he was teenager, his entire family was wiped out by the 1918 Spanish flu pandemic. He went on to survive two world wars and apartheid. Mr...
  12. GE2020 Nyanda za Juu Kusini ni kiini cha mabadiliko

    Nawapa hongera sana. Mapokezi ya Tundu Lissu kuanzia Iringa, Mafinga, Makambako, Njombe, Baba lao Mbeya, Mlowo na Tunduma, mmenikosha sana. Mbeya na Tunduma pamoja na Mlowo sina wasiwasi na ninyi. Mnachokifanya kinaonekana lakini shida ipo kwa majirani zangu Wabena, Wakinga na Wafipa. Naombeni...
  13. Walinzi sita wa Makamu wa Rais wa Sudan Kusini, James Wani Igga wameuawa kwa kupigwa risasi

    Walinzi sita wa Makamu wa Rais wa Sudan Kusini, James Wani Igga wameuawa kwa kupigwa risasi na wengine wawili wamejeruhiwa baada ya msafara wao wa magari kuvamiwa na waasi mjini Juba. Kiongozi huyo hakuwa katika msafara huo wakati shambulio hilo lilipotokea. Msemaji wa Kiongozi huyo, Kalisto...
  14. Benki Kuu ya Sudan Kusini yasema Akiba ya Fedha za Kigeni imekwisha

    Sudan Kusini imeishiwa na akiba ya fedha za kigeni na haiwezi tena kumaliza kushuka kwa thamani ya Pauni ya Sudan Kusini, afisa mkuu wa benki kuu alisema Jumatano. Daniel Kech Pouch, gavana wa pili wa benki hiyo, aliambia mkutano wa habari kwamba mapato ya mafuta ya nchi yamepungua, ikigonga...
  15. GE2020 Muleba Kusini inahitaji Mbunge mzalendo siyo kama wakina Dkt. Mode

    Huu wakati ndani ya Chama cha Mapinduzi tunaweza kusema ni muda wa lala salama au muda wa majeruhi na hii inapelekea wananchi wote pamoja na wanaCCM kusubiri ni nani jina lake litarudi na hii macho yote ni kwa majimbo yote Tanzania nzima. Miaka ya nyuma tungekuwa tumeishashangilia ushindi lakini...
  16. Afrika kusini kulegeza masharti ya lockdown kuanzia Jumatatu

    South Africa's president has said coronavirus infections appear to have peaked in the country, as he announced a sweeping relaxation of lockdown measures. President Cyril Ramaphosa said nearly all restrictions on the country's economy will be eased from Monday. A controversial ban on the sale...
  17. CCM bora ya muda wote kwangu ni ile iliyoongoza mapambano Kusini mwa Afrika na ile iliyomchapa Nduli, hizi CCM nyingine sijawahi kuzielewa

    Kwakweli linapokuja swala la CCM bora kwangu ni hiyo hapo juu. 1. Iliyoongoza mapambano dhidi ya makaburu kule nchi za Kusini. 2. Iliyoongoza mapambano ya kumchapa nduli Uganda. CCM hii iliweza kuunganisha watu ndani na nje ya nchi. CCM ya Sasa imegawa sana Watanzania kuliko kipindi chochote...
  18. Watanzania wanatafuta Kenya na Wakenya wanatafuta Afrika Kusini

  19. Afrika Kusini na Misri tu hatujazifikia hata kwa 25% je, hizo London, New York na Paris ndiyo tutazifikia haraka?

    “Nataka Tanzania iwe kama Ulaya, nataka Nchi hii iwe kama Ulaya, sisi ndio tuwe tunatoa misaada na mipango hiyo tunayo na mipango hiyo imepangwa vizuri kupitia Ilani ya CCM” -JPM East Africa Television - News Kama Kauli hii imetolewa tu 'Kisiasa' zaidi kuelekea katika Kampeni za Uchaguzi huu...
  20. Jeshi la Polisi linataka kumpaisha kisiasa Tundu Lissu kama ambavyo walifanya Makaburu wa Afrika Kusini kwa Nelson Mandela?

    Tujikumbushe siasa kidogo, katika miaka ile ya 60, makaburu wa Afrika Kusini walilitumia Jeshi lao kumnyanyasa katika kila hali mzalendo wa nchi hiyo Nelson Mandela, hadi mwaka ule wa 1964, alipohukumiwa kifungo cha maisha jela, katika kesi ya kubambika ya uhaini Nelson Mandela hakuvunjika moyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…