Msimu huu Manchester united inaenda kushuka daraja

Msimu huu Manchester united inaenda kushuka daraja

Arsenal Gunner

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,891
Reaction score
17,718
Nimeangalia mwenendo wa hii timu msimu huu kwa jinsi inavyocheza jana ilipokea kichapo Cha Gori 2 bila kutoka Kwa new castle ikiwa nyumbani kwake old Trafford uwanja unaovuja na kufuga panya nimethibitisha Sasa hivi hii timu imebaki na mashabiki wazee ambao waliishuhudia ikibeba makombe Kwa kubebwa na marefa vijana wa Sasa hivi wanashaikia timu kama arsenal Liverpool man city Chelsea ambazo wanazishuhudia zinatikisa miaka hii tukutane mwisho wa msimu hii timu inaenda kushuka daraja rasmi mtaikumbuka hii thread
 
Juventus na ubabe wao waliwahi kushuka daraja. Manchester united inachofanya sasa ni kupambana isishuke daraja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom