kushoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli Katiba Mpya tutapata?

    Kizazi hiki wanazaliwa vijana wengi hawana akili.. yaani mtu unamkuta mzito wa akili anawaza mademu, kujichua, kubet, kushabikia. Vijana wengi wame opt ushoga, hawajagangamaa kama sisi miaka yetu, wamelegea sana. Yaani inasikitisha wanapita wanalamba lips na kubinua makalio. Vijana wameopt kuwa...
  2. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini ukikata kona kulia gari inaenda kulia na si kushoto?

    Kuna rational gani katika hili, kwamba ukirudi reverse na ukakata kulia gari inaenda kushoto, why?
  3. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Napata maumivu makali sana kwenye magego ya upande wa kushuto, msaada wenu tafadhari

    Upande wa chini wa kinywa maeneo ya gego(meno makubwa) upande wa kushoto chini , ninapata maumivu makali sana , leo usiku sijalala kabisa , ni tiba ipi inafaa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Udhaifu wa misuli na maumivu mkono wa kushoto

    Jamani naomba msaada na ushauri kwenu, Mkono wa kusho unaniuma unakosa nguvu na mda mwingine unapata ganzi nakosa hamu ya kula na kichechefu Nimepima UTI na MARELIA vyote wamesema sina Naomba kujua inaweza kuwa tatizo gani au nitumie dawa gani inisaidie maana nateseka sana
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msichana mwenye bleach kichwani dela kikuku mguu wa kushoto na sendoz ya manyoya

    Wenye uzoefu na mabinti wenye type hiyo tupeni sifa na changamoto zao.
  6. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Maana ya Mistari ya mikono ya kushoto na kulia, picha na decoding

    Usomaji wa alama za viganjani ulianzi nchini India na sasa ni maarufu sana duniani kote kama njia ya mtu kujua hatima ya mtu hapa ulimwenguni. Usomaji hufanyika kwa kuangalia mistari, umbo la kiganja na rangi pia. Mistari hiyo kama inavyoonekana kwenye picha hapo mwanzo inawakilisha vitu...
  7. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Maajabu! Je, namna iliyo rahisi kukutanisha vidole kwako ni ipi? Kushoto/kulia?

    Maajabu ya Mungu kaumba watu wa jinsi/namna mbalimbali! Fanya tuone. UTAFITI: Kuna ambao wapo confortable kidole gumba cha kulia kikiwa juu, na wako ambao kile cha kushoto kikiwa juu ndio sahihi zaidi kwao. Fanya zoezi pichani kisha niambie je ni kushoto ama kulia?
  8. Torch

    JamiiForums Tanzania Wahenga hawa ninkina nani? Anzia kulia kwenda kushoto

  9. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Amkata mumewe korodani ya kushoto akiwa usingizini

    Songea. Helena Mchauru (40) Mkazi wa Mabatini Tunduru anashikiliwa na Jeshi la Polisi akidaiwa kumkata mumewe korodani ya kushoto akiwa usingizini. Akizungumza na Mwananchi kamanada wa polisi mkoa wa Ruvuma, ACP Joseph Konyo alisema tukio hilo lilitokea mwishoni mwa mwezi uliopita majira ya...
  10. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kushangaza kuhusu matumizi ya mkono wa kushoto

    Watu wengi duniani hutumia mkono wa kulia kwa shughuli nyingi na si ajabu kwamba vitu vingi huundwa kwa kuwafikiria wanaotumia mkono wa kulia. Wanaotumia mkono wa kushoto husumbuka sana katika kutumia vitu kama vile mkasi, vitabu au hata kufungua milango. Fikiria pia kuhusu kipanya katika...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Nauza hearing aid kifaa cha kuongeza usikivu, pia inasaidia kupunguza kelele

    nauza hearing aid kifaa cha kuongeza usikivu , pia inasaidia kupunguza kelele maikion bei laki 4 dar gongolamboto 0684340704 sikio la kushoto
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini pete ya ndoa inavaliwa mkono wa kushoto?

    Wengi wetu tunajua na tunaona pete za ndoa zikivaliwa na wanandoa katika kidole cha pili kutoka mwisho, mkono wa kushoto. Naomba nisaidiwe kujua, Je, ni kwa nini pete hiyo ya ndoa inavaliwa kwenye kidole hicho cha mkono wa kushoto na si kidole kingine kwenye mkono huohuo au mkono wa kulia...
Back
Top Bottom