SOMO LA LEO
"KUSHINDWA" sio "KUKOSA"
Karibu sana katika somo la leo, linaloletwa kwenu nami Mr. George Francis Mwanasheria na Mwalimu wa maisha. "A Lawyer and LifeCoach"
Leo napenda kuwaambia wasomaji wa makala zangu kwamba "KUSHINDWA" sio "KUKOSA"
Hapa sina lengo la kupingana na watu...