kushinda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wetu kucheza ligi moja na Pacome, Mpanzu, Diara ni bahati kwao, tumieni ujuzi wao kushinda CHAN.

    Kuna uzoefu ambao wachezaji wetu wa ndani wangeweza kukutana nao kwa timu zetu kualika timu za kigeni au kushiriki mashindano ya CAF, lakini wachezaji wetu waishukuru TFF kuruhusu na timu zetu kusajili wachezaji wenye viwango vikubwa sana kama Pacome, Mpanzu, Diara, Camara, Aziz Ki, Sowah...
  2. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Sura ya 6: Kushinda Hofu

    Kutoka Kitabu: The Winner’s Laws – Bodo Schäfer Katika sura hii muhimu, Bodo Schäfer anaeleza kuwa hofu ndiyo kikwazo kikubwa cha mafanikio ya watu wengi. Washindi si watu wasiokuwa na hofu, bali ni watu wanaojifunza kuchukua hatua licha ya kuhisi hofu. Dondoo Muhimu za Sura ya 6: 1. Hofu Ni...
  3. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Mwanaume hakuumbwa kufurahi: Aliumbwa kupambana na kushinda

    Suala la kufurahi ni kwa ajili ya wanawake na watoto ila siyo kwa wanaume (akina Baba). Maisha katika zama tunazoishi yamejawa na misongo na matatizo hayahitaji kujionea huruma. Ikumbukwe unachokitaka wewe na mwingine anakitaka hivyo njia ya pekee hapo ni kupambana na kushinda na siyo...
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi hawa wanaipa Yanga ari ya kushinda makombe

    Mchango wa wachambuzi usibezwe katika kuisukuma Yanga kuendelea kufanya vizuri viwanjani. Kuna wachambuzi ambao wanatafuta na kuyasema mapungufu tu ya Yanga kila siku na kila wakati wanapopata muda wa kuruka hewani na kuisemea vizuri Simba hata kama inafanya vibaya. Kwa mtu asiyefahamu tabia za...
  5. majumba 6

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hawa ndio miamba wawili wanaotarajiwa kushinda ubunge kwa kishindo

    Hawa ni wabunge watarajiwa katika Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025-2030 Mmoja aliyevalia fulana nyeupe atakuwa mbunge na mwakilishi wa wananchi KIGOMA MJINI na mwenzie aliyevalia t-shirt nyeusi atakuwa mbunge na mwakilishi wa wananchi Jimbo la mvomero. #KAZI NA UTU, TUNASONGA...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natabiri: Hotuba ya Rais Samia atalazimika kuitataja No reforms mara nyingi kushinda hata uchache wa alichofanya kwa awamu yake hii!

    Tega masikio utaniambia niko paleee!
  7. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Utopolo msijisifu saana, wenyewe Simba tunaojua mambo ya ndani tunajua haikutaka kushinda derby ya jana

    Inashangaza sana kuona mtu anakaa kudai eti Yanga imeshinda kwa ubora. Ukweli ni kwamba kuna mambo ya ndani kwa ndani huko Simba yanayopelekea kupigisha timu shoti na hata mgomo baridi wa wachezaji. Turudi mechi ya nusu fainali dhidi ya Singida. Hivi unahitaji akili kubwa kiasi gani kujua Simba...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ukiangalia movies za Kituruki zilr za Azam utajua ugumu wa Iran kushinda vita. Waarabu huongoza kwa usaliti na unafki

    Hii ni tamaduni ya kiarabu kuongoza kwa usaliti na unafki...Ni rahisi sana Baba wa kiarabu kumzalisha mkwe wake... Ni rahisi sana kuwagombanisha familia za kiarabu kupitia mali... Ndio maana uoana wenyewe kwa wenyew kwenye familia ili tu kwa ubinafsi waliona.. Ndio maana kwenye ya kiislamu...
  9. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Nusrat Hanje kushinda ubunge Ikungi 100%

    Mheshimiwa Nusrat kwa namna anavyokubalika duniani. Kura zote ni kwake Tu. Kidumu Chama Chetu
  10. Setfree

    JamiiForums Tanzania Zijue mbinu za kushinda uzinzi/zinaa

    Uzinzi unasababisha mateso makubwa kwa watu wengi duniani. Miongoni mwa mateso hayo ni kuambukizwa Virusi vya Ukimwi(VVU), vinavyodhoofisha kinga ya mwili na kuhatarisha maisha. Kwa mujibu wa ripoti ya UNAIDS ya mwaka 2024, jumla ya watu wanaoishi na VVU duniani ni takriban milioni 39. Uzinzi...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Profesa Azaveli Lwaitama: 'Kuteka Watu Hakusaidii Kushinda Uchaguzi hata ukiifuta CHADEMA Haitasaidia'

    https://www.youtube.com/live/SnKA8e1XBWI
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hakuna nyakati ambayo mwanamke alishindwa kuzishinda limitation za mwanaume. Kwa wakati huu hii ndio silaha yao na hakuna vita itakayowashinda.

    Kila enzi mwanamke aligundua namna ya kuushinda ungangari wa mwanaume Yule Jamaa wa "Ooooh kabla sijajenga nyumba yangu nataka nikarabati ya wazazi" sasa hivi anatuma kodi ya miezi mitatu ya huyu tipwa tipwa 🤣 Najua Poor Brain anaelewa nachokimaanisha🤣
  13. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Baada ya janabi kushinda naona taasisi za kiislamu zinampongeza tofauti na alivyoshinda ndungulile

    Hii umenisgangaza sana sijajua kwanini wakuu labda wengine mnifafanulie naona baada ya kushinda janabi kuwa mkurugenzi wa WHO africa naona taasisi nyingi za kiislamu zinampongeza tofauti na ushindi wa ndungulile naona taasisi nyingi za kiislamu zilikaa kimya ila taasisis za kikiristo ndizo...
  14. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania 🐔 Wafugaji wa Kuku Karibuni! Jibu Maswali 3 Tu Upate Nafasi ya Kushinda Vocha ya Bure! 📱💰

    Habari ndugu mfugaji! 👋 Tunatengeneza App ya kusaidia wafugaji kama wewe kufuatilia chakula cha kuku, chanjo, matumizi na kupata faida zaidi 💪🐓 Tunaomba tusaidie kutengeneza App bora kwa ajili yako kwa kujibu maswali kadhaa kwenye fomu hii 👇 📋 Bonyeza hii Link kujaza fomu ...
  15. and 998 others

    JamiiForums Tanzania CCM kushinda uchaguzi Mkuu kwa 98%

    1. Ilani imetekelezwa kwa 100%, 2. Uongozi thabiti, 3. Amani imetawala.
  16. third eye chakra

    JamiiForums Tanzania Namna na mbinu za kushinda mijadala ya mtandaoni

    NAMNA YA KUSHINDA MIJADALA YA MTANDAONI!! Ghadhabu imepanda, joto limekuwa kali sana baada ya kuona Mtu fulani akipingana na mawazo yako ama kupost jambo usilopenda mtandaoni linalopinga mtazamo wako wa kidini, kisiasa, kiafya, kiuchumi na kijamii? Basi, suluhisho si kughadhabika. Hapa...
  17. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Fyatu kushinda urahis wa mafyatu kimiujiza

    Najua. Kaya yetu inafanya uchakachuaji, sorry, uchaguzi mwaka huu. Sambamba, nasi mafyatu tutafanya uchaguzi si uchakachuaji wa rahis wa mafyatu Mheshimiwa, Daktari, Profesa, ustaadh, Al haj, Muadhamu, Mtakatifu, Muona Mbali Fyatu Mfyatuzi. Hivyo, ili kujihakikishia ushindi wa kishindo na wa...
  18. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Bob Chacha Wangwe anasema wanao ondoka CDM hata kungkuwa na tume huru, haoni haoni wa kushinda

    Kuna ukweli hapa, sioni wa kushinda hata udiwani achilia mbali Ubunge.
  19. Shark

    JamiiForums Tanzania Ni Nani amewahi kushinda kesi baada ya kupelekwa kamati ya maadili haki na Madaraka ya bunge?

    Toka hii kamati imeanzishwa imekua kama ya kulisafisha bunge na upande wa Serikali tu. Wameshawai kupelekwa wengi mpaka Pasco, Luhaga na wengineo chungu mzima lkn wote imeonekana Wana makosa hata katika kesi ambazo ni wazi kabisa bunge limekosea. Hivyo basi sijashangaa kuona mbunge Mrisho Gambo...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia angekuwa Raia na amezaliwa Marekani angelazimishwa Kugombea Urais na angepita na kushinda kwa kura nyingi sana kuwahi kutokea

    Ndugu zangu Watanzania, Ukiiangalia Marekani ya Sasa unaona wazi kabisa kuwa inamhitaji sana mtu na kiongozi aina ya Rais Samia. Ilikuwa inahitaji kuwa na Samia wake kwa sasa wa kuweza kuiongoza Marekani. Marekani hii ambayo imeshindwa Kumaliza vita vya ukrein pamoja na mauaji kule Gaza...
Back
Top Bottom