kushinda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Prof Janabi anaweza kushinda nafasi ya WHO Africa?

    What is happening ni kwamba Wamarekani waliiahidi Serikali ya Tanzania kuipa chanjo za magonjwa mbali mbali kwa masharti kwamba Tanzania lazima ikubali genetic experiments zifanyike on the Tanzanian population. Yaani hizi genetic experiments zifanyike with no or limited monitoring by our own...
  2. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Janabi kushinda WHO ni finyu

    Mwamba kwenye CV yake hakuna popote unapomuona alifanya kazi za kimataifa/WHO (Magonjwa ya milipuko) zaidi ya Teuzi za hapa na pale. Na lile Jambo letu!
  3. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Waimbaji wa Nyimbo za Kisukuma Wenye Melodies Tamu Kushinda Waimbaji wa Bongofleva

    Wasukuma ni watu wanaopenda sana utamaduni wao hasa katika suala la nyimbo. Ni kabila pekee hapa nchini Tanzania lenye waimbaji wengi pengine idadi yao ni kubwa hata kulingana na waimbaji wa bongofleva. Kama unabisha, nenda youtube andika nyimbo za kisukuma, utaona waimbaji wasio na idadi...
  4. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA wanafahamu hata wakishiriki uchaguzi hakuna msimamizi atawatangaza kushinda hata kata moja licha jimbo

    Kama mwaka jana wagombea wa Chadema na ACT waliondolewa uchaguzi wa serikali za mtaa unadhani wasimamizi wale wale wataweza kumtangaza diwani wa upinzani? Uchu wa madaraka umekuwa mkubwa lakini undugu na ufamilia umeongezeka sana nchini jambo ambalo linapelekea utu kuondoka mioyoni mwa wajukuu...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa China wasaidia vijana wa Kitanzania kushinda Kifua Kikuu sugu kisichosikia dawa

    “Leo nimeweza kujumuika na watu wengine wa sehemu mbalimbali duniani kuadhimisha Siku ya Kifua Kikuu Duniani, hii yote ni kutokana na hatua ya kuokoa maisha ya kikundi cha 34 cha timu ya madaktari wa China visiwani Zanzibar,” alisema Seif Hassan Mbarouk mgonjwa wa kifua kikuu Zanzibar , huku...
  6. FestoKaguo

    JamiiForums Tanzania Usipende kushinda mwenyewe, yatakukuta haya

    All I know is that " Huwezi kujua kama hujui kitu mpaka utakapokutana na watu wengine waliopo kwenye field yako wakashare some tips ambazo wewe unajikuta huzijui ndio utajua kuwa aah! kumbe hiki nilikuwa sikijui" Maana yake nini, ukiamua kujifungia peke yako mda mwingi pasipo kujichanganya na...
  7. Damaso

    JamiiForums Tanzania Ni hatari sana kwa Mwanaume kushinda nyumbani

    Mwanaume kushinda nyumbani umelala au kuangalia TV ni hatari kuliko maelezo. Uwe umeoa au hujaoa, haitakiwi kabisa ukae nyumbani mchana umeangaliana na mkeo, dada zako, shemeji yako, wazazi wako au kucheza na watoto. 1. Kwanza kabsa kama umeoa, ni rahisi kugombana na mkeo, hii jinsia ikikuona...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa rais usitumie mabilioni ya maskini Watanzania kushinda uchaguzi au kujitetea pale unapokosea

    Tafadhali mheshimiwa rais tunaomba sana usitumie fedha nyingi za walipa kodi maskini kwa ajili ya kushinda uchaguzi. Watanzania wanahitaji maji ya kunywa, barabara angalau za vumbi, vituo vya afya, elimu ya msingi, nk. Inasikitisha mno kuona mabilioni ya fedha ambazo zingetumika kuwasaidia...
  9. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wapinzani amkeni sasa hakuna muujiza wa kushinda kwenye sanduku la kura pasipo kujiandikisha

    Haijalishi kwenye kampeni umejaza watu kiasi gani, wingi wa watu sio wingi wa wapiga kura. Kama hawajajiandisha hao ni watazamaji tu . Haijalishi una sera nzuri kiasi gani ila ili sera zako zishinde zinahitaji wapigakura waliojiandikisha kupiga kura Haijalishi mnapambana na yapi lakini...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo ukaribu wa Mshindi Leonardo na Ommy Dimpoz, Injinia Hersi Said pamoja na GSM ndiyo Kigezo Kikuu cha Yeye Kushinda Tuzo leo Masaki?

    Nikiwa kama Mdau ninayejitegemea wa Uchekeshaji na Mtaalam pia Leonardo siyo Mchekeshaji bali ni Mbahatishaji tu!!!!
  11. F

    JamiiForums Tanzania Ujanja wa ki mantiki ( logical fallacy) ama Debate strategy ambazo watu wajanja wanapenda kutumia ili kushinda hoja. Ukizijua hizi ngumu kutapeliwa

    Hapa kuna orodha ya baadhi ya ujanja ujanja wa kimantiki kwa kiingereza zinaitwa logical fallacy ambazo wajanja huwa wanazitumia kwenye debate ama mabishano ya hoja ili kushinda mabishano hayo Ad Hominem - Kushambulia mtu anayetoa hoja badala ya kushughulikia na kuijibu hoja yenyewe. Strawman...
  12. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Ethiopia iliwezaje kushinda vita ya Tigray waliokua wanakaribia Adis Ababa afu DRC inashindwa na m23 kisa vifaaa?? Inashindwa kukopy na kupaste

    Jeshi la kongo na Ethiopia yote yapo top 10 ya majeshi yenye nguvu. Lakini kama unavo jua Technologia huwa haimsamehe mtu. Anaeendana nae mara zote huwa na faida kubwa kwene vita. Jeshi la Waasi wa tigray waliku na support ya Western technologically. Hapa n pamoja na kuwavujishia satellite na...
  13. Tembosa

    JamiiForums Tanzania Full Time: Fountain Gates FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kwaraa Stadium, Babati | 06-02-2025

    SIKU YA MECHI KALI. VIKOSI VINAVYOANZA LEO. p UPDATES..... 4:15pm Kandanda imeanza tayari, Game inapigwa zazuri kabisa. DK 2 Simba wanafanya move nzuri hapa, inababatizwa na Mchezaji wa FG inakuwa warusha. Unarushwa hauleti madhara yoyote 0-0 DK 4 Mpira unaendelea vizuri kabisa hapa. Simba...
  14. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Kendrick Lamar na record ya dis track ya kwanza kushinda tuzo za Grammy

    Kendrick Lamar amefanya yake kwenye tuzo za Grammy. Ngoma yake ya Not Like Us imezoa tuzo za kutosha. Drake na wafuasi wake wana wakati mgumu sana.
  15. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Utabiri: 2025 CHADEMA kushinda Uchaguzi Mkuu

    Habari ni kwamba nguvu iliyopo na ushawishi ndani ya chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA nikubwa na yakushangaza vijana wengi wanaunga mkono chama hicho pamoja na mawakili wengi tanzania ambao wengi wao niwanaharakati , wapiga kura kumbukeni siyo wazee ni vijana ambao wamemaliza vyuo...
  16. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mnaouliza Kuwa Lissu kushinda nini kitabadilika, angeshinda Mbowe nini kingebadilika?

    Wana CCM wanauliza Lissu kushinda nini kitabadilika, na Mimi nawauliza Mbowe angeshinda, nini kingebadilika? Swali la pili, hicho ambacho hakitabadilika kwa ushindi wa Lissu ni kitu gani? Jee ni maslahi ya Taifa letu au ni maslahi yenu CCM? Nini hicho ambacho kama Lissu asingeshinda...
  17. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa rafu nilizoziona za Chama cha Mapinduzi kwenye mkutano mkuu itoshe kusema Lissu ni tishio kwa chama kile hivyo hawezi kushinda uchaguzi

    Utaratibu wa kawaida wa chama kile ni mgombea wa urais ni kujaza fomu ya kuomba apate ridhaa ya kukiwakilisha chama kwa kuzunguka mikoani kutafuta wadhamini ili athibitishwe kuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya chama hicho. Lakini hilo suala jana limetupwa kampuni na hatimaye wajumbe...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kiasili na kisheria, uchaguzi ni gharama. Ni muhimu sana wagombea uongozi wa CHADEMA kutumia fedha ipasavyo bila rushwa wala hofu ili kushinda uchaguz

    Nimeona nakuskia watu mbalimbali mitandaoni na kwenye vyombo vya habari wakipiga wayowe na kulalamika ati mgombea uongozi Fulani wa uongozi chadema Taifa ametenga kiasi fulani cha fedha kwaajili ya uchaguzi. Nikashangaa na kucheka sana, kwamba mpaka karne hii ya sayansi na teknolijia kuna watu...
  19. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mipango ya Team Mbowe (FAM) kushinda uchaguzi, Kujitangaza ni 100%

    1. Kuna idadi ya makatibu wengi sana wanabadirishwa kipindi hiki. Makatibu ni waajiriwa ukigoma huna kazi. 2. Makatibu wa ngazi za chini kupeleka majina yenye makosa mikoani ili washi dwe kujisajili. 3. Support ya sirikali, kama ilivyo tokea kwa mbatia nccr mageuzi. 4. Vitisho vinaendelea...
  20. Rula ya Mafisadi

    JamiiForums Tanzania Odemba: Je, endapo Lissu atachaguliwa kuwa mwenyekiti utamuunga mkono? Yericko; Hawezi kushinda yule

    Odemba: Je endapo Mbowe atachaguliwa kuwa mwenyekiti utamuunga mkono?? Gwamaka: NDIYO, Kama atashinda kihalali nitamuunga mkono. Lyenda: NDIYO, Nilimuheshimu, ninamuheshimu na nitaendelea kumuheshimu, Odemba: Je, endapo Lissu atachaguliwa kuwa mwenyekiti utamuunga mkono?? Yericko: Hawezi...
Back
Top Bottom