kushinda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni nani ana majeraha mabaya zaidi mpaka sasa miongoni mwa team zinazopambana katika vita vya ufisadi ndani ya CHADEMA?

    Na ni nani anakwenda kuibuka kidedea na mshindi wa vita hiyo ya ufisadi ndani ya chadema kati ya team Lema & Sugu wanaopinga ufisadi ndani ya chadema, dhidi ya team Heche & Mnyika wanaotetea ufisadi ndani ya chadema? Kwasababu sote ni mashuhuda wa vita hivyo vinavyoendelea na kuibua maswali...
  2. JamiiForums Tanzania HAKI YA KULIPWA FIDIA BAADA YA KUSHINDA KESI

    Habari ndugu zangu wanajamii forum, Nimekuja huku kuomba kujengewa uwezo na wataalam wetu mliopo katika jukwaa hili la Sheria. Mwaka juzi nilikuja na post yangu kuomba msaada baada ya kufukuzwa kazi serikalini Kwa zengwe la kutengenezwa. Ninashukuru Kwa yote, mambo yalienda sawa nikaja...
  3. K

    JamiiForums Tanzania CCM chaweza kuwa chama bora endapo kitashindana na kushinda kwenye box la kura

    Sio kwamba CCM kimepoteza imani kwa wananchi kwa kiasi hiki la khasha CCM kimebweteka baada ya kujitoa kwenye chama cha siasa na kuwa chama cha kidola Tunaihitaji CCM inayopenda kushindana na ili ishinde au ishindwe Hatuitaku CCM iliyojigeuza kuwa dola na kuviamrisha vyombo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa, Iran katupia missiles ngapi huko Marekani mpaka aelekee kushinda vita,?

    Wana jamvi hamjamboni? Kunazo tarifa lukuki zikitokea Iran ya Madale kuwa, Tayari huko vita vya Beberu mkuu na Iran ya wairan wanaouumia ukiachana na wairan wa Miswe, eti viko mwishoni mwishoni kuimalizika huku Iran akiwa ndiye mshindi wa vita kwa kumchakaza Marekani kisawasawa Swali langu ni...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Motjaba walishamla kichwa au ? unaogopaje kutoka hadharani nchi unayoiongoza iliyojigamba kushinda vita kwenye msiba wa kiongozi mkubwa na mzazi ?

    Kiongozi Mkuu wa Iran, Mojtaba Khamenei, hatohudhuria shughuli za mazishi ya baba yake, Ali Khamenei, Taarifa hiyo imetolewa na mwakilishi wa kiongozi huyo nchini India wakati Iran ikiendelea na maandalizi ya shughuli za mazishi. kuna possibility kubwa hata huyu walishapita nae
  6. JamiiForums Tanzania Revealed: Mbinu Mpya ya Kushinda Uchaguzi Tanzania.. Must read

    Jamani nawapenda sana.. Nimeamua kuwapa mbinu ya kishinda cheo chochote Tanzania.. Fuata hatua hizi... Msiache kunitumia alkasusu☕ ☕ KAMA UNATAKA KUWA MWANASIASA WA CCM, FUATA HIZI HATUA Hatua ya kwanza: Jibadilishe na ujionyeshe kama mtumishi wa wananchi. Vaa nguo za kawaida, nenda sokoni...
  7. JamiiForums Tanzania Sasa nimeamini dhana kuwa, 'ukilala ukiwa umenyooka unaweza kushinda kirahisi ndotoni'

    Natumai sote tumeshapitia zile ndoto zinazohusisha mapambano kama kupigana, kufukuzwa na mnyama, kujamiiana, kubishana nk. Sasa kunakipindi mimi nilikuwa nashindwa kirahisi nikiwa napambana nikiwa ndotoni. Jambo hili huwa linaniumiza sana maana huwa sipendi kushinda, haijalishi ni wapi...
  8. JamiiForums Tanzania Kama kidume unapojenga nyumba kabla haujavuka miaka 35 unajiona mwamba, ni feeling ya kibabe sana kushinda ile ya kuhimili round moja kwa dakika 10

    Mapambano mema hustlers!
  9. JamiiForums Tanzania Arsenal Kushinda Ubingwa ni dalili kuwa EPL imeshuka viwango

    Arsenal ni sawa na JKT au TRA! Matusi hayaruhusiwi hapa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kanuni za Ki Mungu za Kushinda Uraibu (Masterbation, porn, pombe nk)

    KanKanuni ya Kwanza Kutojihurumia Bali nautesa mwili wangu na kuutumikisha; isiwe, nikiisha kuwahubiri wengine, mwenyewe niwe mtu wa kukataliwa. — 1 Wakorintho 9:27 Watu wengi ambao wamekuwa na tabia za kujirudiarudia au uraibu wa kitu fulani, wamekuwa na tabia ya kujionea huruma. Kuna mtu...
  11. JamiiForums Tanzania Siasa za picha mitandaoni ni kujifariji na kujidanganya tu, kiukweli hazijawahi kusaidia chama chochote cha siasa kushinda uchaguzi.

    Mfano hapa Tanzania, kuna vyama vya siasa kwa muda mrefu sana, ukiachilia mbali kutumia matusi, vilikua vikijidanganya na kujifariji na picha au video za kutengeneza mitandaoni kuonyesha kwamba eti vina wanachama wengi au wafuasi wengi zaidi na badala yake wakati wa uchaguzi wakaambulia patupu...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Leo Simba ana uwezekano Mkubwa sana wa kushinda, nitawachambulia kwanini,

    Yanga Ameshinda mechi zake nyingi kila alikutana na simba. Fikiria interms of probability, una coin yenye pande 2, kichwa na mwenge.. umerusha mara ya kwanza ikatua kichwa, mara ya pili kichwa hadi mara ya sita zote mfululizo kichwa. hapa unajua kabisa chance ya kupata upande wa mwenge ni...
  13. JamiiForums Tanzania Ado: Imenigharimu milioni 30 kushinda ubunge jimboni kwangu

    Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini Ado Shaibu amesema imemgharimu milioni 30 za Kitanzania kushinda ubunge katika jimbo hilo Kwanza kabisa mazingira ya kisiasa yamebadilika sana ukifanya uchambuzi wa miaka 30 ya Demokrasia ya vyama vingi uwekezaji kwenye siasa umekuwa ukibadilika kutoka...
  14. JamiiForums Tanzania Ukiweza kushinda hamu na hashki umetoboa

    Katika haya maisha sikuwa najua kitu hicho kama kinaweza kukufilisi kabisa ila baada ya kushuhudia mtu aliyekua anamiliki maduka mawili ya vinywaji vya jumla kurudi kuuza matikiti ya vipande Nyege ni mbaya kwenye pesa kuliko wachawi Ukiweza kuishinda basi hata kama unauza karanga ...utatoboa
  15. JamiiForums Tanzania Mrembo huyu hapa akipiga kazi. Nyie wengine kazi kushinda saloon na kupiga simu za vibumu. (Mizinga)

    Urembo wako usiwe guarantee ya kudate na wanaume kibao Ili wakuweke mjini. Acha kushinda saloon binti acha kushinda mtandaoni kutingisha makalio, kurembuarembua Ili upate likes. Kama mrembo, mbona warembo wapo kibao na wengine walishaiga dunia. Na bado kuna wengine daily wanazaliwa. Punguza...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Wazee wa mikeka, uliwahi kushinda kiasi gani kikubwa cha pesa?

    Mimi nilipata 756M, lakini hapa nilishinda mara kadhaa mfululizo, Nilianza kwa kushinda 6M nikaibetia yote nikashinda 37M nikaibetia yote nikashinda 109M nikaibetia yote nikashinda 756M, nikaibetia yote ikapigwa... Lengo langu lilikua ni kufikisha 1B na ilibaki mara moja tu. Kilichonisaidia...
  17. JamiiForums Tanzania Tulipika kwa maji ya Mafuriko baada ya kushinda na kukesha barabarani

    "Tulipika chakula kwa maji ya mafuriko" —Huu ni ushuhuda wa kusikitisha wa mmoja wa wasafiri waliokwama usiku kucha katika eneo la Korongo la Fisi, wilayani Simanjiro. Wasafiri hao waliokuwa wakisafiri kutoka Arusha kuelekea Kiteto kwa basi la Simanjiro Express, walifika eneo hilo majira ya saa...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Fahamu haya kuhusu vitambi, sababu zake na namuna ya kushinda

    Fahamu kitambi, maana yake,na sababh zake Kitambi hutokea kwa sababu mbili tu 1.Kula chakula kisicho kadiri yako Yani kula chako,Cha watoto,Cha mkeo na Cha jamii Yako matokeo yake ni kitambi kwaufupi ni Ubinafsi 2.MaumbIle ya mtu Kwaujumla asilimia zaidi ya 90 ya wenye vitambi ni matokeo ya...
  19. JamiiForums Tanzania Toka dunia iumbe hakuna raisi aliyewahi kushinda kwa asilimia 98%

    Mfano mzuri hapo uganda pamoja na kwamba museveni amekaa madarakani muda mrefu lakini uchaguzi huu ana asilimia approximation 78% japo kuwa na yeye ni janjajanja atleast kidogo sasa huyu wetu daah 98% kweli? Hahahaha Hizo takwimu lzm dunia ishituke haiwezekani na haitowezekana kamwe tume ya ccm...
  20. JamiiForums Tanzania Kushinda mamlaka ya nchi hizi 6 ni kuishindia amani ya dunia kwa ongezeko hadi la asilimia 85.

    1: Uturuki 🇹🇷 2: China 🇨🇳 3: Russia 🇷🇺 4: Iran 🇮🇷 5: Qatar 🇶🇦 6: Pakistan 🇵🇰 Hawa ndio baba wa syndicates za ugaidi, kupandikiza madikteta katika nchi masikini, uundaji wa vikundi vya kuharibu amani katika nchi, kuchonganisha jamii ili wajichukulie rasilimali na mambo mengine mengi ambayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…