N:B: Simu ndogo zisizozidi 6.3' (Mifano Pixel 9, 10, 11 Pro na Samsung plain S 24, 25, 26)
Mfano Pixel 9 Pro, 10 Pro na 11 Pro zimenivutia sana kwa sababu zina size ndogo ya 6.3" ambayo ni rahisi kushika mkononi, lakini zaidi ya hapo zinakuja na camera kali sana 📸🔥.
Ukilinganisha na S25 na S26...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayeshughulikia Oganaizesheni, Paulo Chacha, amesema CCM imejijengea msingi imara wa kisiasa unaoiwezesha kuendelea kushinda uchaguzi katika ngazi mbalimbali za uongozi nchini, huku ikijiwekea lengo la kuendelea kuongoza dola...
Wana JF tuweke utani pembeni kidogo.
Hapa kuna watu wanaendesha miradi mikubwa, wafanyabiashara, wakandarasi, wafugaji, investors na wengine wenye connection za hatari.
Mara ya kwanza unashika zaidi ya Tsh. billion 1 ulikuwa na umri gani? Hiyo pesa iliingia kupitia opportunity gani? Biashara...
Kisayansi inawezekana mwanamke kupata mimba nyingine akiwa tayari ana mimba, ingawa jambo hili ni adimu sana na hutokea kwa nadra mno duniani.
Hali hii ya kitabibu inajulikana kama Superfetation.
Katika historia ya kitabibu, kuna visa vichache sana (visivyozidi 15) vilivyothibitishwa duniani...
ni kweli vijana wengi wa sasa hawataki kuoa single mothers, hamuoni kwamba hali hiyo inaweza kuwafanya mabinti wa Gen Z ambao ndo wengi bado hawajazaa kuwa waangalifu kupita kiasi kuhusu kupata mtoto kabla ya ndoa?
Msichana akiona kwamba dada zake waliizaa halafu wakaachwa soko linapungua...
Kwako Mama Dorothy Gwajima. Natumai unaendelea vizuri na majukumu yako.
Hivi Mama Gwajima, suala la ushoga hapa nchini Tanzania unaliona linavyozidi kasi au hulioni? Nakuelekezea wewe hii mada nikiamini kabisa ni eneo unaloliweza vilivyo tu, ila siku hizi umelikalia kimya, kama halikuhusu...
Hamjambo wote!
1. Kwenye mambo ya Intelligence(ujasusi, ushushushu, unjangu) kuna kitu inaitwa Missing System/s.
2. Kitu hii ukikosa hata MTU binafsi mambo yako yanakuwa hatarini, usalama wako unakuwa mashakani.
3. Missing System ni uwepo wa ombwe la kimkakati, mfumo muhimu ambao unapaswa...
Kuna baadhi ya watu hawamtaki Samia ila wanamuunga mkono Nchimbi.
Ila kiuhalisia wote hawafai, Samia akivuliwa urais itabidi aondoke yeye, makamo wake na baraza lote la mawaziri .
Itakuwa sawa na kutwanga maji kwenye kinu kama Samia sheria itambana ajihudhuru halafu Nchimbi akapandishwa kuwa...
Baadhi ya picha za waumini wakiendelea kuomba Mungu kuelekea siku muhimu ya uchaguzi Oktoba 29 lakini na kile kinachotajwatajwa kama MO 29.
Umetenga dakika ama saa ngapi kuliombea taifa kuelekea oktoba 29?
Mao
KADA wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM), Ezekia Wenje amesema anakishangaa chama chake cha zamani CHADEMA kwa kushindwa kusimamia malengo ya kuanzishwa kwa chama hicho. Akizungumza leo Oktoba 19, kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea urais kupitia CCM, uliofanyika mkoani Rukwa Wenje amesema msingi wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Jesca Magufuli mtoto wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli Ameibuka kidedea na kutakata katika Kuwania ubunge wa viti maalumu Tanzania Bara kundi la vijana kwa kushika nafasi ya pili Nyuma ya Mwanadada machachari Ng'Wasi Kamani aliyeshika nafasi...
GT
Kwanza tujupongeze sisi sote tulioweza kumsikia mhe polepole mwanzo mwisho. Japo maCCM walijaribu kupambanana na technology tusimsikie lakini tuliyapiga knock out.
Ndugu zangu kumbukeni Mhe polepole alishwahi kuapa kwamba atailinda na kuitetea katiba ya JMT lakini pia hatatoa siri za...
Naenda moja kwa moja kwenye maada.
Nina miaka 33, kabila langu (siri), kazi yangu (siri) na mkoa ninaoishi kwa sasa (siri) ingawa ni kanda ya ziwa.
Nina watoto wanne, wakiume wawili na wakike wawili pia. Watoto watatu nimepata kwa mama mmoja na mmoja nimepata kwa mama mwngine.
Mzazi mwenzangu...
Katika kiwango cha atomu, wazo la "kugusa" (touch) ni udanganyifu.
Atomu nyingi zina nafasi tupu, zikiwa na kiini kizito katikati na wingu la elektroni.
Unapojaribu kugusa kitu, elektroni katika atomu zako na atomu za kitu hicho zinakataa kukaribiana (repel each other)
kwa sababu ya nguvu ya...
Wabunge wazee wamemlaumu Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyata kwa kuwataka Vijana wa Africa mashariki waamke kutoka usingizini
Wabunge hao wamesema Vijana wakipewa madaraka makubwa nchi za Africa mashariki hazitatawalika
Source: Citizen tv
Kwako kijana Lucas Mwashambwa
Sometimes maisha sio magumu kiasi hicho vipaumbele na mipango ndiyo vinagharimu watu sasa kuliko kumiliki simu worth 2 million na huna usafiri binafsi why don't you go for Tecno then vuta hii chuma tia full tinted kula zako kishoka unapiga harakati zako bila kupakana jasho na watu