Chadema andeni mikakati ya kushika dola kabla ya 2030.

Chadema andeni mikakati ya kushika dola kabla ya 2030.

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,703
Reaction score
10,201
CCM imekwama kila kona utawala huu haukubaliki ndani na nje ya CCM. Kuna dalili huu utawala usifike 2030 maana hata Mzee Warioba alishatamka haukuwekwa na wananchi.

Je, mmejipanga kukamata dola?
Je, mnaviongozi ambao watatosha kukamata nafasi zote muhimu?
 
Hata ikitokea hicho ulicho kitabili bado chadema ina nafasi ndogo sana ya kuchukuwa uongozi wa nchi.
Sana sana nchi itashikiliwa na kundi lingine kutoka ccm kama ilivyo tokea mwaka 2021 nchi ilipo toka kwenye kundi la sukuma gang na kuangukia kwenye kundi la Wana mtandao.
 
CHADEMA
Wana wanachama wangapi?
Wana ofisi ngapi katika Kila mkoa?
Wana matawi mangapi katika Kila mkoa?
 
CCM imekwama kila kona utawala huu haukubaliki ndani na nje ya CCM. Kuna dalili huu utawala usifike 2030 maana hata Mzee Warioba alishatamka haukuwekwa na wananchi.

Je, mmejipanga kukamata dola?
Je, mnaviongozi ambao watatosha kukamata nafasi zote muhimu?
Mjane wa Marehemu Sheteni la Chato sasa hivi eti umekuwa ndiye mshauri wa CDM
 
Back
Top Bottom