kusema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Hivi ni kwanini viongozi wa Yanga SC wanapenda kusema wameonewa wakati madhaifu ni yao na ushamba wao?

    Umetuma majina 13 huku la Tuisila Kisinda likiwa la 13 TFF na unajua fika kuwa Mfumo wa TMS huchukua majina 12 tu ya kwanza ambayo ndiyo yanatakiwa kikanuni. Mnaacha kukiri Kosa kuwa ni upuuzi, ugeni na Ushamba wenu mkubwa ndiyo umewaponza na kukosea huku mnakimbilia kumtuma mpuuzi wenu mfungwa...
  2. Hii kauli ya "acheni kulalamika tafuteni hela" ni mbinu ya kuzuia watu kusema ukweli au kudai haki zao?

    Kwa sasa kumekuwa na watu wengi sana wakitumia hiyo kauli. Je, inawezekana ni mojawapo ya mbinu ya kuwafanya wananchi waache kusema yanayowasibu kuhusiana na haki au stahiki zao?
  3. Unawezaje kukopi maandiko yaliyopo zaidi ya miaka 600 na kusema ni mafunuo yako mapya

    Kuna baadhi ya mambo yanasikitisha sana pale unapoona mtu anaweza kupata wafuasi wengi kwa kuwaeleza kwamba amekuja kwa kutumwa. Mtu huyo anakusanya yaliyoandikwa kwenye vitabu vilivyopo mjini halafu anakaa mahali anavikariri na kuongezea vichache kisha anasema hivi vyote ni vipya vimeshushwa...
  4. Suala la China vs Taiwan, vita ya Urusi na Ukraine. Kusema ukweli kuna mataifa yametu-disappoint sana. A luta continua

    Kiukweli niliwaamini sana Urusi, sasa sina imani nao. Hii vita kwa nguvu ambazo wanazo Russia ilikuwa waimalize ndani ya week moja zikizidi mbili. Sasa sielewi kwa nini wanapiga dana dana nyingi sana?! Russia ni Taifa ambalo tumekuwa tukitegemea liitishe Marekani. Sasa Ukraine ka nchi ambako...
  5. B

    Chebukati na Watuhumiwa: Wanaposubiriana kusema "SU"

    Ilikuwa Chebukati kwa watuhumiwa, sasa watuhumiwa nao wadai kumbe Chebukati alikuwa na biashara kwao na ushahidi upo. Tuju: Chebukati, two commissioners were bidding before the elections Hadi mwisho wa shauri hili, enyi walamba asali wa kwetu tambueni kuwa ujanja ujanja wenu umefikia mwisho...
  6. P

    Sera ya CCM ya kula na kila anayebwatuka na kusema udhaifu na ubadhirifu wake, umeonesha jinsi gani viongozi wetu wanavyopenda pesa na si kutetea

    Hii ni dhahiri kuwa, Kwa Africa na Tanzania, kuwapata viongozi wenye focus na maisha ya watu wao ilivvyo ngumu kupatikana. Sera ya CCM ya kuwalambisha Asali wote wenye vidomodomo na kiherehere, imetuomyesha jinsi watu hao malengo yao si kuwatetea wananchi, Bali kutafuta furusa za kwao na...
  7. L

    Hayati Baba Wa Taifa amewahi kusema kuwa Hatuna mjomba wa kuja kutujengea nchi yetu

    Ndugu zangu napenda niwaambie kuwa Tanzania itajengwa na sisi wenyewe watanzania, Hatuna mtu atakuja kutujengea nchi yetu, Katika kufikia ndoto ya Tanzania tuitakayo na kuwa Kama ulaya Ni lazima tufahamu kuwa Kuna kipindi Cha mpito. Lazima tupitie maumivu Kama walivyo pitia mataifa ya ulaya...
  8. Ulaya wasifia uchaguzi wa Kenya na kusema umeweka kiwango kipya Afrika

    Vyombo vyote vya habari vina takwimu za matokeo kituo kwa kituo, data zipo kote, kila mmoja yupo huru kukotoa na kuibua popote penye tashwishi au kasoro, binafsi sikumchagua Ruto, sikumpa kura yangu ila nimependa namna uchaguzi uliendeshwa kwa njia za wazi kabisa, Afrika haijatokea uchaguzi...
  9. Manara: hili la kusema wenye akili Yanga ni wawili tu halikubaliki

    Wanayanga wenzangu hivi kweli kwa ukubwa wetu hapa nchini ndugu haji manara anatudhalilishaje kuwa wenye akili ni wawili tu tena mpaka na majina amewataja. Hii haikubaliki
  10. Hayati Magufuli: Ningeweza kusema ninawaongeza mshahara halafu nikaongeza elfu tano tano

    Shujaa wa Afrika hakutaka kabisa kuigiza kwenye masuala yawahusuyo Watanzania. Nimekuwekea clip hapa chini.
  11. Zipo sababu nyingi sana za kusema hili taifa ni la ovyo, moja wapo ni michakato ya ajira kupitia Sekretarieti ya Ajira

    Taifa la hovyo na mambo yake ni ya hovyo hovyo tu tena yanafanywa na wanaojiita wasomi uchwara! Hivi mnatangaza ajira bila bajeti au shida nini? Sekretariet ya ajira kwanini watu wanaomba kazi inapota hadi miezi mitatu hawajaitwa hata kufanya usahili? nini maana yake sasa? Hili li taasisi...
  12. Ninayo sababu ya kusema sensa ni kwa ajili ya data kwenye Wikipedia

    Watu bado wanakunywa maji machafu
  13. Boris Johnson ajibu vijembe vya mtangazaji wa TV Russia kwa kusema "kama Putin angekuwa mwanamke vita isingetokea

    The war in Ukraine would never have happened if Vladimir Putin was a woman, Boris Johnson has claimed. The prime minister says the onslaught is a ‘perfect example of toxic masculinity’ and has called for more females to be given top roles. His remarks follow one of the Kremlin’s top...
  14. Wewe endelea hivyo hivyo kusema " Mimi situmi nauli"

    Kila uamuzi una gharama zake. Gharama za kutotuma nauli ni kubwa maradufu ya gharama za kutuma nauli Wakati wewe ukisema hutumi nauli, akina DeepPond wanatuma nauli ya laki umbali wa nauli ya buku tena na ya kutolea juu. # Ukiona jamaa anaenjoy na demu mkali, jua katuma nauli na ya kutolea..
  15. Baada ya Mwandishi Manyerere Jacton kueleza kinachoendelea Ngorongoro, sasa ndio naiamini Serikali, Wanahama kwa Hiyari

    Wanabodi Kunapotokea mgogoro wowote na kutokea sintofahamu yoyote inayowaweka wananchi kwenye njia panda, waamini lipi, kama kinachoendelea Ngorongoro, independent media ikiripoti hali halisi ya kinachoendelea, kitu hicho kinachoripotiwa huwa ndio ukweli halisi. Asubuhi hii nilikuwa naangalia...
  16. Sakata la Baraka Shamte: Hatari ya kusema yasiyotakiwa kusemwa

    SAKATA LA BARAKA SHAMTE: HATARI YA KUSEMA YASIYOTAKIWA KUSEMWA Katika kila jamii kunakuwa na ''mwiko,'' yaani kitu kisichotakiwa kufanywa na kwa kawaida huwa watoto wanafunzwa toka udogoni. Katika jamii nyingi watoto wa kiume hufunzwa kutofungua mifuko ya wanawake uwe mama au dada zao...
  17. Kwanza tuache kusema "Wamasai wa Ngorongoro"

    Nimekuwa napata ukakasi sana kuhusu matumizi ya haya maneno kwani ni dhahiri kuwa Matatizo pia yaweza kuwa yanaanzia hapa. Kwanza sitaki kuamini ya kwamba hilo eneo ni la/au ni kwa ajili ya Jamii ya Kimasai pekee, na pia siamini kama waishio huko ni hao Wamasai pekee. Pia kwa kutumia na...
  18. Ahmed Ally ungerahisisha tu kwa kusema ukweli kuwa sasa Mo Dewji ameishiwa Pesa na Klabu inaweweseka kimapato sasa

    “Klabu yetu ya Simba SC imeachana rasmi na dili la kumpata mshambuliaji wa kimataifa wa Niger Victorien Adebayor, na hii ni baada ya kushindwana kwenye upande wa dau analotaka yeye," Ahmed Ally, Afisa habari na mawasiliano wa Simba Sc. Chanzo: Dar Mpya Blog Mapema sana tu hapa hapa JamiiForums...
  19. "Mungu ameumaliza ugomvi" Je, hii ni kauli ya Nape kufurahia kifo cha hayati Magufuli? Ndio kusema Mungu alifurahi Membe kurudi CCM?

    Hii kauli inachanganya sana. Maana ni wazi kuwa Nape na kundi lake walifurahi sana ? March 21 202. Hii kauli inachanganya sana👇
  20. Mimi nachoweza kusema aliyeruhusu wanyamapori kuuzwa atenguliwe na afunguliwe mashitaka

    Hawa wanyamapori ni urithi wa Taifa letu. Hivyo ingekua vizuri walioruhusu kuwauza wanyamapori wachukuliwe hatua, watolewe kwenye hizo nafasi wawekwe watu wenye weledi na wanaotambua umuhimu wa wanyapori katika uchumi endelevu kwa taifa. Sii hivyo tu wafunguliwe kesi za uhujumu uchumi endelevu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…