Nathubutu kusema nimeushinda uraibu

Nathubutu kusema nimeushinda uraibu

Yofav

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
4,326
Reaction score
7,939
Hakuna kisichowezekana chini ya jua, nilijaribu kuacha nikashindwa nikaacha nikashindwa nikaacha nikashindwa x7 sabini ikafika muda nikakiri kuwa hakuna awezae kuacha uraibu huu, Lakini sikupenda uraibu huo hata kidogo, nikamshirikisha Mungu mara kibao lakini sikufanikiwa kwani nilipozidi sana ilikuwa not more than 30days kisha nikaanguka tena na kujilaumu.

Guess what? Niliamka tu siku moja nikauambia mwili nikijiangalia kwenye kioo kuwa “Nitakuongoza kwa akili na sio hisia tena, Utafanya kile akili inataka na sio hisia… Sitokuendekeza tena nitakuadhibu kwa maumivu na kukunyima kile unachohisi kuhitaji na utanitii”

Nikafanikiwa kwa week mbili za kwanza kisha nilipoona Mwili nimeumudu ndipo nikasema sasa niset goal kwa kutumia mobile app fulani inaitwa Iron Will na sasa nimefika siku ya 360 bila tabia ile mbaya and i’m okay kiakili na kimwili, Nimekuwa na uwezo wa kuongoza mwili wangu dhidi ya tabia ile na sioni nikianguka tena.

Kwahiyo tabia yoyote uliyonayo ambayo ni uraibu inaachika kwa maamuzi ya dhati kabisa.
IMG_0100.jpeg
 
Hakuna kisichowezekana chini ya jua, nilijaribu kuacha nikashindwa nikaacha nikashindwa nikaacha nikashindwa x7 sabini ikafika muda nikakiri kuwa hakuna awezae kuacha uraibu huu, Lakini sikupenda uraibu huo hata kidogo, nikamshirikisha Mungu mara kibao lakini sikufanikiwa kwani nilipozidi sana ilikuwa not more than 30days kisha nikaanguka tena na kujilaumu.

Guess what? Niliamka tu siku moja nikauambia mwili nikijiangalia kwenye kioo kuwa “Nitakuongoza kwa akili na sio hisia tena, Utafanya kile akili inataka na sio hisia… Sitokuendekeza tena nitakuadhibu kwa maumivu na kukunyima kile unachohisi kuhitaji na utanitii”

Nikafanikiwa kwa week mbili za kwanza kisha nilipoona Mwili nimeumudu ndipo nikasema sasa niset goal kwa kutumia mobile app fulani inaitwa Iron Will na sasa nimefika siku ya 360 bila tabia ile mbaya and i’m okay kiakili na kimwili, Nimekuwa na uwezo wa kuongoza mwili wangu dhidi ya tabia ile na sioni nikianguka tena.

Kwahiyo tabia yoyote uliyonayo ambayo ni uraibu inaachika kwa maamuzi ya dhati kabisa. View attachment 3602548
Hongera !
 
Back
Top Bottom