kusaidia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utatu kati ya Serikali, elimu na uchumi utakaoleta mabadiliko katika sekta ya elimu na kusaidia kujenga uchumi wenye tija

    Utatu kati ya serikali, elimu na uchumi Serikali. Ili serikali iweze kukuza uchumi ni lazima kufanya kwanza maboresho katika mifumo yake ya elimu, kwa kuweka miundo mbinu wezeshi kumwezesha mwanafunzi kujifunza mfano majengo ya maabara na ya utafiti yawe hata kuanzia shule za msingi watoto...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Sensa ni kwa ajili ya Serikali kusaidia watu?

    Kumekuwa na kujinadi kuwa Sensa ni kwa ajili ya Serikali kusaidia watu. Serikali hii hii ya tozo? Kwamba basi Ina mpango lini wa kuachana na makamuzi ya tozo yasiyokuwa na chembe ya uhalali Ili ianze kusaidia watu? Serikali hii hii ya walamba asali? Beberu anasema - "too good to be true."...
  3. JamiiForums Tanzania Fahamu kwanini ukiwa na tatizo ndugu yako Polisi hawezi kukusaidia bila wewe kutoa pesa

    Hello! Ikiwa uko selo ya polisi Tanzania, au ndugu yako yuko lupango ukimfuata rafiki yako au ndugu yako polisi akusaidie kumtoa jamaa yako lazima atakuzungusha na mwisho wa siku atakurudisha kwa mwenye jalada (a.k.a mwenye dili lake) Ni kama wameapa hakuna kuingiliana madili. Ukiwa na tatizo...
  4. JamiiForums Tanzania Hapa nchini ukipiga namba za dharura wanafika kusaidia?

    Ndugu Zangu hii kitu naiwazaga Sana. Kuna huduma zinatakiwa zitolewe Kwa uharaka mkubwa na Kwa nchi za wenzetu ukifanya hivyo ukapiga hizi namba mfano Ukapiga mamlaka mengine za huduma za dharula haichukui dakika washaamsha safari Kwa Kasi ya kubwa. Hapa bongo vipi??? Najua pia tupo wengi...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Rais Hussein Mwinyi kuongea na Serikali ya Muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia Waislam

    Nimemsikia Rais wa Zanzibar akieleza kwamba eti waombe kibali Serikali ya Muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia waislam wanapoenda Hija. Nimeshtushwa na hili ombi kwani Zanzibar inazuiwa kujianzishia mfuko? Au ni kanjia ka kuitaka Serikali ya Muungano igharamie ibada ya dini moja?
  6. JamiiForums Tanzania The Voices From Within: "Mahakamani Watashindwa Tena!" Sababu ni Mawakili! Jee Tanzania Tuna Mawakili wa Calibre ya Murtaza Lakha?Jitokezeni Kusaidia!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa huja na makala za "Kwa Maslahi ya Taifa" Makala ya leo ni The Voices From Within kuwa "Japo Hawakutendewa Haki Ndani ya Chama Chao Chadema Kwa kufukuzwa Kwa kuvuliwa uanachama Kikangroo na CC ya Chadema iliyokaa as a kangaroo court, ikawavua...
  7. JamiiForums Tanzania Bilionea wa Urusi auza medali yake ya Nobel Prize kwa dola milioni 103 kusaidia watoto yatima na wakimbizi wa Ukraine

    Nobel peace prize auctioned by Russian journalist Dmitry Muratov fetches record $103.5m Muratov, who was awarded the gold medal in October 2021, said proceeds would go to Unicef to help children displaced by Ukraine war The Nobel Peace Prize that Russian journalist Dmitry Muratov was...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali ilete sera maalumu kusaidia single mothers maana kwa hali ilivyo tunaelekea pabaya kama taifa

    Naomba serikali iangalie namna nzuri ya kusaidia taifa katika hii hali inayozidi kulikumba taifa. Hawa wanawake wanateseka sana na wanakuwa cheap na matokeo yake wanazidi kunyanyasika. Ikiwezekana hata kwa kuanzisha kampeni maalumu kuwahimiza wanaume wawaoe hawa akina mama waliozaa nao. Iwe...
  9. JamiiForums Tanzania Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

    Wakuu salaam, Tofauti na mama yako na mke wako wanawake wengine wote achana kujifanya kuwasaidia wanakuchora tu. Wanawake ni viumbe wabinafsi kuliko viumbe wengine wote chini ya mawingu mpaka chini ya bahari. Kuna tofauti ndogo ndogo baina yao ila kwa ujumla package nzima wako sawa wote...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya China yazindua mfuko wa maendeleo kusaidia jamii nchini Sierra Leone

    Kampuni moja ya uchimbaji madini ya China jana ilitangaza kuzindua mfuko wa maendeleo ya kijamii ili kusaidia kuhimiza maendeleo ya jamii nchini Sierra Leone. Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa na kampuni ya Leone Rock Metal, kampuni hiyo itachukua asilimia 1 ya mapato yake ya kila mwaka kwenye...
  11. JamiiForums Tanzania Dar: Vicky Kamata atoa Msaada kwa Shule ya Sekondari Mbwenitete, iliyopo Jimbo la Kawe, Wadau Waombwa kuendelea kusaidia

    Salaam Wakuu, Alfonce Peter Swai, Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Serikali ya Mbwenitete iliyopo Mbweni, Kawe Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar Es Salaam, ameomba Wadau wa Elimu kusaidia Shule kwani ina Ufaulu Mzuri pamoja na Changamoto zilizopo. Amesema Komputa ni Somo lipo kwenye Mtaala...
  12. JamiiForums Tanzania Weka taarifa za ada na ubora wa shule hapa ili kusaidia wazazi kufanya uamuzi sahihi

    Katika moja ya mambo ambayo huumiza kichwa ni mzazi kufanya maamuzi ya shule ipi binafsi apeleke mwanae kwa masomo ya O level na A level. Tuweke taarifa au swali kuhusu ada na ubora wa shule na pia michango. Naanza kuuliza shule ya Kaizirege, Cannosa na Marian Boys
  13. JamiiForums Tanzania Uturuki yajitolea kusaidia mazungumzo ya Ukraine na Urusi

    Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amemwambia mwenzake Volodymir Zelensk wa Ukraine kwamba taifa lake lipo tayari kutoa kila usaidizi katika mchakato wa majadiliano kati ya Urusi na Ukraine. Ofisi ya Rais ya Uturuki imesema ahadi hiyo imetolewa wakati wa mazungumzo kwa njia ya simu baina ya...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Usafirishaji cha Taifa (NIT) kina mchango gani katika kusaidia kupunguza ajali nchini?

    Nimeangalia hali ya usalama wa abiria katika vyombo usafiri wa umma kwa maana mabasi na wale ambao tunatumia vyombo binafsi na wadau wengine wanaotumia barabara nchini, ni kwamba kumekuwa na wimbi kubwa la ajali katika kipindi hiki kifupi cha Januari hadi March hii 2022. Ukiangalia vyanzo vya...
  15. JamiiForums Tanzania Video: Maelfu ya makomando wa kujitolea wanaingia Ukraine kila siku ili kusaidia kwenye mapambano

    Hali inazidi kuwa ngumu kwa Urusi kadiri wanavyoshindwa kuiteka Kiev, maelfu ya makomando wazoefu wa kivita wanazidi kutiririka Ukraine, ukizingatiia pia silaha nyingi zinapitishwa kuingia Ukraine kutokea kwenye mataifa ya NATO. Putin anazidi kuwa frustrated na hivi vita vitamsumbua muda mrefu...
  16. JamiiForums Tanzania Hata Spika wa Bunge awe nani, hawezi kutufaa kama taifa. Ufizi ukioza jino hata liwe zuri vipi litauma tu na huenda likang'olewa tena

    Habarini za saa hizi ndugu, adui, rafiki na jamaa yangu wa humu JamiiForums. Nataka kuzungumzia hili suala la watu wengi kufikiria (ponder] juu ya nani ajaye kama spika wa bunge. Kama wengi wetu wakitabiri kwa maoni na mitazamo yao Kabudi, Chenge au Lukuvu na hata Waitara sio mbaya. Hawa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Njia ya PPP yaweza kusaidia pia kwendeleza miradi nchini

    Wana JF nimejaribu kuwaza hivi kwanini nchi yetu haitumii sana njia ya PPP- Public Private Partnership katika kuanzisha miradi ya maendeleo nchini? Njia hii naona inakuwa na unafuu sana maana sio mkopo bali ni ubia kati ya serikali na mwekezaji wa mradi. Mwekezaji analeta pesa yote ya mradi na...
  18. JamiiForums Tanzania Vitu viwili vitakavyo kusaidia kutimiza malengo malengo yako

    habari ndugu zangu chukua dakika chache kumshukuru Mungu kwa wema na Fadhila zake juu yetu.katika maisha ya mwanadamu kuna vipindi fulani ambavyo kama wanadamu tunapitia, kuna vipindi vingine vinakuwa vigumu sana kiasi ambacho tunatamani hata kujiondoa hapa duniania hii haimaanishi kuwa Mungu...
  19. JamiiForums Tanzania Asante Mwigulu kwa kutoa funzo la kuwa na moyo wa kusaidia

    Ni Upendo Imani na Miujiza tu kuwapata watu wenye roho ya kujitolea ya kuwasaidia wengine. Wakati Msanii wa miondoko ya HIPHOP Chidbenz akihojiwa radio Wasafi FM kipindi cha malavidavi alipata nafasi ya kueleza namna Dr Mwigulu alimtafuta kwa udi na uvumba kumsaidia pale alipopata janga la kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Tukitumia maexpert kutoka nje inaweza kusaidia kuendesha mashirika kama TAZARA?

    Zamani kuna historia kuwa Mobutu alipoona uchumi unaenda hovyo akaajili mbobezi kutoka Ulaya kuwa gavana wa benki kuu. Jamaa akaja na mipango mizuri sana ya kuokoa uchumi. lakini alikuta vikwazo kibao, Mobutu alikuwa anaifanya benki kuu kama kibubu chake. Wakashindwana jamaa akasepa. Mkapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…