kusaidia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tony254

    Asante Rwanda kwa kusaidia Msumbiji. Wachana na Waoga wengine waliokataa kutuma jeshi huko

    Licha ya nchi fulani kujificha chini ya kitanda na kukataa kutuma jeshi msumbiji, jeshi la Rwanda jana lilitangaza kwamba limeikomboa port ya Mocimboa da Praia kutoka kwa magaidi. Pia wamekomboa airport na hospitali katika eneo hilo. Bila shaka Jeshi la Rwanda linawapa viboko hawa watoto wadogo...
  2. B

    Yanga yatupwa nje Kagame. Badala ya kusaidia kujenga timu mashabiki wao wanakalia kumsakama Mo

    Habari ndiyo hiyo Mipasho FC aka Manara FC.
  3. Bamileck

    Roundabout vs traffic lights: Kipi kinasaidia watu kutopoteza muda barabarani?

    Suala la foleni katika miji limezidi kuwa changangamoto. Nini kinaisaidia kutokomeza watu kukaa Barabarani muda mrefu Kati ya roundabouts na trafic lights? Kwa upande wangu, roundabout nazipa asilimia 100 katika upunguzaji wa foleni
  4. Marjo Mlekwa

    SoC01 Waathirika watumike kusaidia mapambano dhidi ya matumizi ya Dawa za Kulevya

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri na mapambano dhidi ya dawa za kulevya yaendelee!! Kutana na kijana Mtanzania Faraja, umri wake ni miaka 23, hakumaliza masomo yake kwenye chuo cha sanaa Bagamoyo, sababu kubwa ikiwa ni msukumo na ushawishi mbaya wa vijana wenzake ambao siku zote aliamini kuwa ndio...
  5. Logikos

    Kuongeza ufanisi na tija kwa Magereza ili kusaidia jamii na mazingira kwa ujumla

    Kutumia nguvu kazi ya Magereza zote nchini kuwapa kazi ya kukusanya taka na kutumia taka hizo kwa uzalishaji wa Biogas kwa ajili ya kupikia. Kusambaza Magereza zilizopo katika Sehemu Tofauti ili kupata nguvu kazi hio (wafungwa wengi wafanye community service ya kusafisha mazingira / kukusanya...
  6. Petro E. Mselewa

    SoC01 Funzo kutoka kwangu binafsi: Dini, utii, heshima, kusaidia/kujitoa na bidii ni nguzo muhimu maishani

    Kila mtu ana lake la kusimulia maishani mwake. Laweza kuwa jema au baya; la kufurahisha au la kusikitisha na kuhuzunisha. Langu ni la kufurahisha na kufundisha. Lahusu maisha yangu binafsi. Nimeona vyema kuliweka hapa kama sehemu ya kujifunza katika kutekeleza azma ya Mtandao huu wa JamiiForums...
  7. Kifurukutu

    SoC01 Ni wajibu wetu kujitoa kuwasaidia watu wenye mahitaji muhimu katika jamii

    JF Katika jamii kuna makundi ya watu mbalimbali, wapo watu wanaojiweza kumudu mahitaji yao yote lakini pia kuna makundi ya watu hawajiwezi kumudu mahitaji yao ya kila siku katika maisha Mahitaji muhimu katika maisha ya mwanadamu ni Chakula, malazi na mavazi,, katika jamii yetu hii kuna watu...
  8. M

    Kuhusu Katiba Mpya: Hoja ya Rais Samia haina mashiko

    Rais Samia anasema eti suala la kipaumbele kwake ni uchumi kwanza halafu mambo ya katiba mpya ni ya baadae huko mbeleni. Ningependa kumkumbusha Rais Samia kuwa, hoja ya Katiba Mpya ni hoja nyeti, ni suala muhimu sana na haliwezi kuwa option ya pili katika mambo yanayopaswa kufanyika nchini kwa...
  9. B

    EU yatoa mamilioni kusaidia mradi wa Eco - Fish ziwa Victoria

    30 June 2021 Dar es Salaam, EU YATOA MAMILIONI KUSAIDIA MRADI WA ECO - FISH ZIWA VICTORIA Mkurugenzi Wizara Ya Mifugo na Uvuvi Bwana Emmanuel M. Bulai akizungumzia kuhusu Mkutano wa Usimamizi wa raslimali za Uvuvi Ndani ya Ziwa Victoria unaosimamiwa na nchi tatu wanachama wa Jumuiya ya Afrika...
  10. mama D

    Hivi ni kweli uke wenza unaweza kusaidia kupunguza zinaa duniani?

    Wanaume nyie ndio wa kutoa huduma zote kwetu na familia na mnaujua uzito wa mzigo mnaoubeba sawasawa. Hebu tusaidieni uzoefu na mawazo tusijeyaharibu mambo huku Wanawake kupendana buana
  11. Analogia Malenga

    Benki ya Dunia yajizatiti kusaidia nchi masikini kupata chanjo

    Benki ya Dunia (WB) imesema inasaidia nchi zinazoendelea katika zoezi zima la kupata na kutoa chanjo ya COVID19 Pia itasaidia kuimarisha mifumo ya utoaji chanjo na kuhakikisha utoaji chanjo kwa watu walioko katika hatari zaidi ya kupata maambukizi Wamesisitiza kuwa hakuna atakayebaki salama...
Back
Top Bottom