kusaidia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Denmark yatoa zaidi ya Tsh. Bilioni 103 zilizotumika kwa ajili ya kusaidia Sekta ya Afya kupitia Mfuko wa Afya

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akizungumza wakati wa Mkutano na Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo na Sera za Mabadiliko ya Tabianchi wa Serikali ya Denmark, Mhe. Dan Jørgesen (hayupo pichani) aliyeambatana na ujumbe wake, ambapo wamefanya mazungumzo kuhusu ushirikiano wa nchi...
  2. J

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Namna makuzi/ malezi yanavyoweza kuwa chanzo cha matatizo ya afya ya akili

    Je, unafahamu kuwa Kumbukumbu ya Matukio Mabaya (Trauma) ya Utotoni huweza kuathiri Afya ya Akili ya Wahusika? Tafiti zimeonesha kuwa Watoto wanaopitia changamoto kama Unyanyasaji, Kutelekezwa au Kuishi katika Mazingira magumu wana uwezekano mkubwa wa kupata na kuishi na changamoto za afya ya...
  3. JamiiForums Tanzania Nimejifunza mwenyewe GIS ili kusaidia wachimbaji wadogo

    Kuna kitu kimoja watanzania tunafeli ni Ili. Unakuta una laptop au kompyuta ila ujajua zinakusaidia nini?. Kwa Dunia ya Leo Kuna internet ila Kwa kwetu ni kama matumizi haya yamekuwa tofauti sana na mapokeo. Mara ya kwanza sikuwa mpenzi wa mambo ya madini ila kutokana na kuishi nao na kuona...
  4. JamiiForums Tanzania "AIM LOW ENOUGH": Njia ya kusaidia kukuza ujuzi wa mtoto mwenye uwezo mdogo

    Tunapush sana watoto katika level ambayo sio uwezo wao. Kinachofatia ni mtoto kuwa muoga zaidi wa kuthubutu na kukuogopa wewe bila kukuheshima. Tambua uwezo wa mtoto wako alafu mwekee challenge ya chini ambayo unayojua akitumia uwezo kidogo wa ziada atashinda tu. Hii itamfariji mtoto ila pia...
  5. JamiiForums Tanzania RC Mwassa Asisitiza Wanufaika Kutendewa Haki - TCRS Wazindua Mradi wa Kusaidia Walioathiriwa na Mvua Kagera

    RC MWASSA ASISITIZA WANUFAIKA KUTENDEWA HAKI - TCRS WAZINDUA MRADI WA KUSAIDIA WALIOTHIRIWA NA MVUA KAGERA Mkuu wa Mkoa Kagera Hajat Fatma Mwassa amezindua mradi wa kusaidia kaya 482 zilizoathiriwa na Mvua kubwa iliyonyesha Mwaka jana ikiamabatana na upepo mkali na kusababisha maafa makubwa kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Njia ambazo mtu anaweza kusaidia kupunguza mabadiliko ya tabianchi

    Tabia Nchi inahusu mabadiliko ya hali ya hewa duniani kwa muda mrefu. Ni matokeo ya ongezeko la gesi chafu katika anga, kama vile dioksidi kaboni, ambayo husababisha joto kuongezeka duniani. Matokeo yake ni mabadiliko makubwa katika hali ya hewa, kama vile kuongezeka kwa joto, mafuriko, ukame...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Mifumo mitatu mipya ya utumishi itakavyosaidia kupima utendaji wa watumishi na kusaidia wananchi

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema mifumo mipya mitatu iliyobuniwa na kufungwa kwenye utumishi wa umma itasaidia kwa kiasi kikubwa sana kupima utendaji kazi wa mtumishi yeyote aliyepangiwa majukumu na kuona kiwango cha utekelezaji wa majukumu yake...
  8. JamiiForums Tanzania Sweden kusaidia gharama za ujenzi wa SGR Lot 3 (Makutupora - Tabora - Isaka)

    Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Mhe. Charlotta Ozaki Macias, ambaye ameahidi kuwa nchi yake itashiriki kugharamia ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR kipande cha tatu kinachoanzia Makutupora mkoani Singida hadi...
  9. JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini wana nafasi ya muhimu kusaidia harakati za kuidai Tanganyika

    Kama ambavyo wapigania uhuru wa awali waliiwezesha Tanganyika kupata uhuru kwa njia ya amani, hata sasa njia za kidiplomasia zinaweza kusaidia Tanganyika kurejeshewa uhuru wake. Katika mapambano ya awali, viongozi wa dini walishiriki japo si kwa uwazi sana. Historia inaonesha kuwa viongozi wa...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda kutoa Katapila 20 kusaidia kurekebisha barabara za Jimbo la Kawe

    Katibu wa Itikadi , Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Paul Makonda leo Januari 19, 2024 ameahidi kukabidhi katapira 20 kwa mbunge wa jimbo la Kawe, Josephat Gwajima kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa barabara. Makonda ametoa ahadi hiyo kutokana na wananchi wa jimbo hilo kulalamikia ubovu wa...
  11. JamiiForums Tanzania Eicher zilizoelezwa kuwepo kusaidia shughuli za mwendokasi zimeishia wapi?

    Baada ya kelele nyingi za uhaba wa usafiri, au niseme kero ya mwendokasi. Miruzi ilikuwa mingi kuhusu uwezekano wa Mwendokasi kupata utatuzi na utatuzi ni kuleta Gari mbadala zitazoingia mjini na kutoka? Hivi ile project iliishia wapi? Nilisahau kabisa leo nikaamua nisubiri mwendokasi Pale...
  12. JamiiForums Tanzania Israel inawasihi China kusaidia mateka waachiwe na Hamas

    Wanaukumbi. Maneno mengi majingambo ya Netanyahu na wenzake wamekimbilia China kuomba msaada wa mateka wake huko Gaza, Hamas wao wapo kimya wanatoa kichapo tu huko Gaza. 🇮🇱🇨🇳 ISRAEL PLEADS CHINA TO HELP FREE HOSTAGE Netanyahu has reportedly asked Xi to assist in freeing Israeli hostage Noa...
  13. JamiiForums Tanzania Je, inawezekana mzazi akawasaliana na afisa wa utumishi kazini kwa mtoto wake ili kusaidia ombi la uhamisho

    Habarini za asubuhi wapendwa Naomba kuuliza kwa mwenye uelewa na haya mambo anijuze, hivi inawezekana mzazi kusaidia kuongea na afisa wa utumishi kazini kwa mtoto wake ili mtoto apate uhamisho baada ya mtoto kupitia changamoto kubwa kazini kuhusu mwanamke aliyezaa na ye yani ndugu wa mke wakawa...
  14. JamiiForums Tanzania Kenya kama Malawi, wapanga kupeleka vibarua wa Mashamba ya Israel kwa ujira wa Ksh. 228,000 (4,000,000Tsh)

    Kenya inapanga Kupeleka Vijana wapatao 1,500 kuwa Vibarua wa Mashamba ua Wayahudi Kufuatia Vibarua zaidi ya 10,000 wengi wao kutoa Thailand kukimbia Vita vya Israel vs Hamas hivyo kuacha mashamba ya waloweso yakiwa hayana Vibarua. Israel Kwa Sasa imekuwa inakimbilia Afrika ambako watu Wana...
  15. JamiiForums Tanzania Nigeria: Baraza la Mawaziri labariki Serikali kukopa zaidi ya Tsh. Trilioni 3 kusaidia Bajeti

    Waziri wa Fedha Olawale Edun, ambaye pia ni Mratibu wa Uchumi, amesema Baraza limetoa baraka hiyo kwa lengo la kufanya marekebisho ya Sera ili kukuza Uchumi ambao umeatajwa kuwa kwenye mdororo kwa miaka kadhaa. Tangu aigia madarakani, Rais Bola Tinubu amekuwa akibadili sera za Mtangulizi wake...
  16. K

    JamiiForums Tanzania TTCL tengenezeni App ya kuwezesha disapora kupiga simu! na kusaidia nchi !

    Hili ni wazo tatizo letu na hii katiba mbaya tulionayo hakuna ubunifu. Sisi diaspora tutanashida sana ya kupata simu za uhakika za kuweza kuongea na ndugu zetu Tanzania. Kuna App siku hizi ambazo unaweza kuweka na kupiga simu kutoka popote na kuwa na namba ya simu kabisa kama upo Tanzania. Hii...
  17. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Samizi aungana na wanamichezo kusaidia wenye uhitaji na kumuunga mkono Rais Samia

    Jana Jumapili imekua siku nzuri kwa Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Dkt. Florence George Samizi kufurahi na wananchi wake wa Jimbo la Muhambwe ambapo alipata mwaliko wa uzinduzi wa tawi la Yanga SC pale Mukabuye. Uzinduzi wa tawi hilo la Yanga SC umekuwa na shangwe na umati mkubwa...
  18. JamiiForums Tanzania Tujadili changamoto tunazokutana nazo tunapotoa misaada kwa ombaomba njiani na wenye shida katika jamii

    Wakuu huu ndio msimamo wangu katika kutoa msaada kwa chochote nitakachokuwa nacho. Sitaki kusaidia Pesa nataka huduma au vitu, Kama ni nauli, nitakukatia tiketi au namlipa konda, kama ni ada nitakupa bank slip. Kama ni chakula nitakununulia au nitatuma mtu akuletee manually kama uko mbali. Hii...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini watu wana moyo mgumu sana wa kusaidia??? (Na sijaomba hata pesa)

    Hii kitu imenikuta sana tena mda mwingine inakutokea kwa mtu wa karibu au uliyedhani kwamba ni rafiki au hata classmate. Yaani kwa mfano, unaweza kuwa na mtu unamfahamu kabisa na ambaye huwa mnawasiliana labda yupo kwenye shirika fulani mfano labda world vision. Halafu inatokea ghafla...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Moyo wa kusaidia

    Ilikuwa 2002, nikiwa na miaka 8 tunilipata ajali mbaya tena mzaingira ya mbali na nyumbani. Kwa wakazi wa mtoni mtongani kuna sehemu panaitwa ngazi mia kule relini. io siku mimi na jamaa zangu baada ya maumziko ya shule tulienda kutembea maeneo ya relini,zile ngazi zilikuwa nyingi sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…