Kumezuka wimbi la watanzania ambao wamekua wakijiingilia aiport utadhani ni stendi ya basi.
Hili limekua ni tatizo kubwa muda mwingine linapunguza hata usalama.
Sasa tufanye yafuatayo ili kutokomeza tatizo hilo.
1. Mtu anayeenda kumpokea mgeni wake awe na kopi ya visa, tiketi ya kusafiria na...
Baraza la Jumuiya ya Afrika Mashariki limeongeza muda wa kusitishwa kwa matumizi ya pasi za kusafiria za zamani.
Katika wakati wa mkutano wao wa 41 wa Jumuiya hiyo uliofanyika Jijini Arusha, Tanzania ilipitishwa kuwa tarehe ya mwisho ilikuwa 4 Aprili 2022, lakini sasa Novemba 2022 ndio tarehe...
habari zenu.
samahani nahitaji msaada ninafanya maombi ya passport kubwa ya kusafiria lakini nilipofika kwenye page ya kuingiza taarifa za wazazi baba na mama ninapata error inayosema tarehe siyo sahihi na wakati tarehe hizo zipo sahihi naweza kufanya nini maana bila kurekebisha hapo siwezi...
Makamu wa Rais wa Ghana ametangaza kutambulika ramsi kwa Kitambulisho cha Taifa cha nchi hiyo kama hati ya kusafiria kuanzia robo ya pili ya mwaka 2022.
Hatua hiyo ya Ghana inatokana na kutambuliwa kwake kama mwanachama wa Taasisi ya Kimataifa ya Usafiri wa Anga (ICAO), ambapo Kitambulisho...
Wakuu naombeni mwongozo wenu tafadhali, nilikua nafatilia pasi ya kusafiria (International Passport) kidogo nimekumbsna na vikwazo. Mimi niko mkoani huku (Chuganian)
Nimejaribu kuulizia uhamiaji wa hapa nimeelezwa niwe na:
Cheti cha kuzaliwa (Ninacho)
Namba za Nida (ninazo)
Cheti cha kuzaliwa...
Habari zenu wakuu
Samahani, nilikuwa nataka kujua gharama za kupata hati ya kusafiria (passport)
Na endapo taratibu zote zikakamilika, huchukua muda gani mpaka kutoka.
Natanguliza shukrani zangu za dhati
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.