kuruka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakati tunachukuà mazoezi ya kikomandoo kuruka toka kwenye ndege mwenzetu parachuti ilikataa kufunguka akafa

    Kozi ya paratruping Zimbabwe iligharimu maisha ya mwenzetu parachuti ilikataa kufunguka na ya emergency ilikuwa na hitilafu alidondoka umbali wa futi kama 500 akafa. Leo ni kumbukumbu. Miaka kadhaa nyuma.
  2. Mbeya: Watu wa Igurusi na Chimala msitoke nje Usiku, Simba wamekata kamba na kuruka kutoka kwenye gari

    Kuna simba wanne wameruka kutoka kwenye gari maeneo ya Chimala darajani ukitokea Igurusi.. Ukitoka Igawa ukiingia chini Hospitali karuka mmoja, Darajani karuka mmoja. So usiku kuweni makini na Chimala. Kati ya simba wanne kapatikana mmoja kapigwa risasi ya Mguu ya ganzi na TANAPA wamemkamata...
  3. M

    Vijana acheni kuruka hatua za ukuaji kwenye biashara

    Natumaini mko poa. Leo tena natumia haki yangu ya kikatiba kutoa maoni. Uzi huu unahusu vijana wanaoshangilia ushindi kabla mechi haijaisha. Ni kuwa kuna tabia ya wamiliki wa biashara ndogo kutofuata stages za ukuaji. Kama tunavyojua biashara ni kuhakikisha matumizi kidogo huku faida ikiwa kubwa...
  4. Makabila yapi Tanzania yana mila za wanaume kukanyaga au kuruka wanawake waliola chini?

    Mila nyingine zinachekesha sana, mojawapo ni hii mila ya kukanyaga au kuruka mawowo ya wanawake waliola chini.
  5. Ndege inaweza kuruka juu chini?

  6. Air Tanzanià Yapigwa Marufuku Kuruka Juu Ya Anga La Umoja Wa Ulaya.

    https://simpleflying.com/european-union-air-tanzania-ban/
  7. Nilioyaona kwa mkapa Yanga mna haki kabisa kuruka ukuta kimbien hizo getiii zao octb19

    Uchawi hautakaa uishe Niwakumbushe tu ndugu zangu wa Yanga octb 19 mjipange Nilioona jana hawa jamaa ukiwachezea wanakuchezea usipowatawalaa wanakutawala Tujitahidi sehemu wanapotupigia zile mechi za Derby n mlangoni na vyumban Zamuhiii andaen faiini kabisaa hizo dubwasha zaooo ziwarudie...
  8. M

    Nakemea vikali dada zetu kuruka ukuta!

    Tangu nikiwa na miaka 19 nimekuwa nikipiga vita sana dada zetu kuruka ukuta. Ila naona wazi ni kama wanatukatisha tamaa sisi wapinga hivyo vitu. Kuvuja kwa baadhi ya clips za wasanii wa kike wakiruka ukuta, tena kwa hiyari, kunarudisha mno juhudi nyuma. Hasa hasa hawa dada zetu wenye 'mikia'...
  9. G

    Wachezaji mpira wa ligi kuu wanakimbiza kwenye kumiliki pisi kali, wasanii wa bongo fleva wanafeli wapi?

    Niwapeni siri kwamba ukiachana na pesa, wanawake wanashobokea sana vijana maarufu hasa kwenye mambo ya sanaa na michezo, sijui kwanini ila ndivyo wengi walivyo. Katika makundi haya kwa sasa kuna waachezaji wa ligi kuu na wasanii wa bongo fleva, ila cha ajabu unakuta wachezaji mpira wengi wana...
  10. R

    Makonda: Naweza kuwa Mwenezi yeyote yule mnyeyekevu au mcheza rafu na mkorofi

    Katika upokezi wake wa Ukatibu Mwenezi Makonda amesema ataenda kwa Chongolo, Dr Mwinyi na pamoja na viongozi wa bunge la Tanzania kuomba mawazo yao wamwambie wanataka Mwenezi wa namna gani. Akisema yeye anaweza kuwa mwenezi wa aina yoyote yule wanayemtaka, mnyenyekevu au mkorofi.
  11. Fahamu jinsi ya kutengeneza ndege ya kichawi, kwenda kokote Duniani

    WAKATI baadhi ya watu wakiepuka kabisa mijadala kuhusu uchawi na kutilia shaka kuwepo kwake kwa sababu ya jamii zetu kupokea imani ya Kikristo, na imani ya Kiislamu, wengine tunaendelea kutafiti mambo hayo kinaga ubaga. Miongoni mwa vielelezo vinavyopatikana huko ni kwamba uchawi ni elimu ya...
  12. Mate kuruka kwasababu ya chakula kitamu

    Nimehaibika Leo ikabidi niache kuendelea kumkaribisha mgeni,nilitembelewa na mgeni Leo nikasema nipike ugali wa kutosha ni work mate wangu ,nikapika ugali na dagaa. Dagaa nilizikaanga tu na kuzitia limao nikatenga chakula ile kuanza kula mgeni akawa ananipigisha story nikawa namsikiliza huku...
  13. Kuruka na malaya ni kujiaibisha bora nipande mnazi

    Aisee nisiposema nitakuwa mbinafsi .. Mazingira niliyonayo sijui ni wangapi wanaweza toboa hii life style Kwanza Mama mwenye nyumba wangu anamiliki Bar na hana mume, sasa bitch zinazopishana hapa ni kasheshe, Na mm ndio huwa nafungua geti mala nyingi.. Wauza bia wapo wawili wanakujaga kulala...
  14. L

    Mtwara - Tandahimba "Wanajeshi wanakagua vitambulisho na mizigo" Kama huna jiandae kuruka kichura chura!

    Mtwara - Tandahimba "Wanajeshi wanakagua vitambulisho na mizigo" Kama huna jiandae kuruka kichura chura!,kubebana na kukoana makwenzi. Ni lazima ,kila mtu kubeba kitambulisho. Wenyewe wanasema Ni kwa ajili ya usalama wetu Note:Kama unapita mitaa hiyo beba vitambulisho vyako
  15. Mazoezi ya kuruka kamba ndiyo mazoezi bora kuliko yote

    Mazoezi bora yanatakiwa kuwa na sifa nyingi. Sifa moja kuu ni yachome nguvu za kutosha. Chakula tunachokula kinaenda kuupa nguvu mwili wetu. Kama tunakula zaidi ya mahitaji ya miili yetu, chakula hicho kinaenda kuhifadhiwa kama "Kitambi." Basi mazoezi bora yanatakiwa kuchoma kitambi cha...
  16. M

    Wabunge wamevuka mto kichawi kwa kuruka na ungo, harafu wanarudi nyuma kujenga daraja!!

    Mkataba staili ya MANGUNGO unawasuta!! Dhamiri zinawasuta!! Wanakula lakini hawashibi!! wanacheka lakini hawana furaha!!! KISA: Watanzania wamewagundua walivyoridhia mkataba wa kuuza bandari zetu kwa bei ya bure tena kinyume kabisa na sheria zetu zilizopo!! Sasa wanajipanga kurekebisha sheria...
  17. Dodoma: Sintofahamu yaibuka kuhusu uwanja wa ndege wa Dodoma kutokuwa na taa za kuwezesha ndege kuruka na kutua usiku

    Sintofahamu hiyo pia imeongezeka baada ya jana Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) kutoa taarifa kwamba uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Songwe umewekwa taa na huduma za ndege zinatolewa kwa saa 24. Ukosefu wa taa kwenye uwanja huo ulibainika baada ya ndege ya Precision namba PW 602...
  18. Rekodi za Yanga kuruka ukuta mechi za dabi inatisha

    Katika kila mechi za dabi Yanga imekuwa ni timu ya kupigwa faini kwa tabia za kugoma kupitia geti kuu. Ni wazi hayo yamekuwa maelekezo ya waganga mbalimbali wa Yanga. Mchezo uliopita Yanga ilipigwa faini ya shilingi Milioni tano na Shirikisho la Mpira wa Soka Tanzania(TFF) kwa kosa la kuingia...
  19. Nimegundua kuruka na ungo mchana, vipi serikali itanipa kibali?

    Waruka na ungo usiku mnafeli wapi? Kwanini ungo usitumike mchana na sio usiku kwanini umsiungane ukafanye sayansi yenu ikawe bora maana sayansi yenu bado ni duni means bado haina maboresho. Tunahitaji ungo uruke mchana na watu tusigeuzwe kuwa panya tubaki kuwa watu. Hapa ndipo wachawi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…