Nisaidieni Kurudisha Nywele Zilizopotea!

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
14,895
Reaction score
28,672
Nimekuwa nikipata hair loss kipindi cha miaka ya hivi karibuni! Nashangaa hili kwa sababu katk ukoo wetu hakuna mwenye uwalaza.

Hii husababishwa na nini, na ni supplements gani nitumie kurudisha nywele?

Je, kuna natural remedies (tiba au vyakula vya asili yenye kusaidia kurudisha nywele zilizo potea?

Napenda sana nywele na nisipofanyikiwa hili kwa kweli nitakwenda kuplant dreads ila sitaki hilo.

Naombeni msaada ndugu zangu, mwenye uelewa wa haya maswala, anipe mwongozo.

Asanteni.
 
Punguza tuu stress
 
Achana na sukari , punguza stress.

Kunywa sana tangawizi bila sugar

Kila siku usiku kabla hujalala meza ile chumvi ya bahati walau vipunje vitano.

Fanya hivyo baada ya miezi 8 Rudi hapa
 
Una uhakika gani kwenye ukoo wenu hakuna hair loss? Kapime DNA halafu uje hapa tena.
 
Achana na sukari , punguza stress.

Kunywa sana tangawizi bila sugar

Kila siku usiku kabla hujalala meza ile chumvi ya bahati walau vipunje vitano.

Fanya hivyo baada ya miezi 8 Rudi hapa

Chumvi ya bahati ndo ikoje mkuu
 
Jamaa ndio uhenga unaanzaga hivyo,nakushauri ukae kwa kutulia uache uhenga ufanye kazi yake let me assure you by 40 utakuwa plain.
Mkuu kama hii taarifa ni ya kweli hapa chini ujue umekwisha
Screenshot_20260920-154954_Instagram.jpg
 
Inawezekana una upungufu wa madini mwilini. Kapime
Au muulize hata chat upungufu wa madini gani huwa unasababisha hair fall. Na supplements gani zinafaa
I thought of it kuna supplement nimeliona mtandaoni sijui inaitwa minoxidil nilitaka kununua ila naona wanasema haiko effective unaweza kununua hata chupa 3 bila matokeo.

Ila uko sahihi I need to do some research
 
Ukoo wetu hakuna mwenye kipara, ila mimi ndo nimeanza nao; kwangu naweza sema chanzo ni stress na mlimbikizo wa majukumu ya kiume. Nina mvi nyingi kuliko Mama yangu na nina kipara ila ndo breadwinner wa familia.
Niko mid 30s
 
Back
Top Bottom