kura

Rúben de Almeida Barbeiro (born August 21, 1987 in Leiria), better known by his stage name KURA, is a Portuguese electro house DJ and record producer. Kura has released tracks through labels such as Hardwell's Revealed Recordings, Flashover Recordings, Musical Freedom, and Spinnin' Records, among others.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuelekea 2025: Hawa wafuatao bora niharibu kura yangu kuliko kuwachagua

    Maoni yangu binafsi kuelekea uchaguzi mkuu 2025. Hapa Nina orodha ya Watanzania wenzetu,wanasiasa ambao Kwa namna moja au nyingine huenda miongoni mwao watakuwepo wenye tamaa ya kutaka kuwania kiti cha urais uchaguzi mkuu utakapofika. Hii ni sehemu yangu ya kujiwekea kumbukumbu Ili nisije...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Serikali ya Tanzania ina ubavu wa kuweka uwazi kwenye kuhesabu kura kama walivyofanya Kenya?

    Nakumbuka vizuri mwaka ule kambi ya CHADEMA pale Mlimani City ilivyoshambuliwa wakati wakiwa katika kujumlisha kura zao kama walivyozipata kutoka kwa mawakala wao! Hivi hapa nchini Serikali inaweza kuwa na ubavu wa kuruhusu uwazi/transparency kiasi ambacho kila Mtanzania anaweza kuona kiasi...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Hongera Rais wetu mpya, Dkt. William Ruto

    Japo sikukupigia kura, na binafsi haujanishawishi ila Wakenya walio wengi walifaulu kukuchagua, inabidi tukubali maamuzi ya wengi ila tulio wachache tusiklizwe pia. Nakumbuka kitambo nikiwa kijana, nilikua mmojawapo wa vijana tuliokusanyika pale Eldoret kukushangilia siku ya kwanza ulipotangaza...
  4. JamiiForums Tanzania Ripoti ya hesabu ya kura katika maeneo 15 yametoka,kuna la kujifunza!

    Jumla ya masanduku 45 yamekaguliwa katika,dosari zimejitokeza katika masanduku yote ya maeneo 6 kama yalivyobainishwa na upande wa Raila Odinga.
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Wapiga kura hewa nusu milioni walipiga kura katika uchaguzi wa Kenya-Mlalamishi Okiya Omtatah adai

    Seneta mteule wa Busia Okiya Omtatah Jumatano alidai kuwa kuna zaidi ya kura 500,000 ambazo hazijaelezewa katika takwimu zilizotangazwa na Tume ya uchaguzi baada ya Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9. Akizungumza katika Mahakama ya Juu, Bw Omtatah alisema “wapiga kura hewa” 508,687 walishiriki uchaguzi...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Uchaguzi Kenya: Masanduku 9 kati ya 15 ya Kura zilizoagizwa kuhesabiwa upya hayana hitilafu

    Uchunguzi wa kundi la kwanza la masanduku 9 kati ya 15 ya kura zilizoagizwa kuhesabiwa upya na Mahakama ya Juu haukuweza kuonesha hitilafu zozote za wazi katika matokeo ya uchaguzi wa Urais. Wakati wa kuchapisha, ni masanduku tisa pekee kati ya 15 ya kura yalikuwa yamefunguliwa, kuchunguzwa na...
  7. JamiiForums Tanzania Mbunge Saashisha Mafue, unawakera wapiga kura wako

    Umekumbushwa tu kuwa huu ni mwaka wa tatu tangu uchaguliwe na fedha za mfuko wa jimbo unazila na hujui hatima ya waliokutuma Bungeni. Ukumbuke 2025 sio mbali na CHADEMA tunakuangalia tu.
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Raila Odinga anatapatapa: Ameibuka na hoja tofauti, sasa anadai Ruto hakufikisha kura 50% + 1

    Ruto did not attain 50+1 threshold, Azimio says in court papers! Matokeo ni haya hapa: Last updated: 15/08/2022, 18:59:28 local time (GMT+3) Final results from IEBC Candidates Vote William Ruto 50% 50.5% 7,176,141 Raila Odinga 48.8% 6,942,930 Other Candidates 0.6% 93,956...
  9. JamiiForums Tanzania Watoto wa wapigiwa kura hata mahabusu wanalala VIP

    Hili tabaka la wapigiwa kura na wapiga kura linazidi kuonekana. Rafiki yangu siku nyingi aliniambia wapigiwa kura hata wakiugua hawatibiwi katika zahanati zetu zilizojaa paracetamol. Watoto wao wanasoma Feza na hata ikitokea watoto wao wakumbane na mkono wa sheria, polisi atalala kwenye ofisi...
  10. JamiiForums Tanzania Kura za maoni ya Wamarekani 57% waunga mkono FBI kumpekua Trump

    Asilimia kubwa ya Wamarekani waliopiga kura ya maoni kuhusu uamuzi wa FBI kufanya upekuzi nyumbani kwa Rais wa zamani wa taifa hilo, Donald Trump wamesema upekuzi uendelee na hakuna kibaya kuhusu uamuzi huo. Kituo cha NBC News kilianzisha mchakato wa kura ya maoni kuona ni sahihi kile...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi 2025 Watanzania tupige kura 5

    Heshima kwenu wakuu! Kama wengi tunavyojua watanzania tunatarajia kufanya uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 na uchaguzi mkuu mwaka 2025. Kwa kujifunza kutokana na uchaguzi mkuu uliomalizika nchini Kenya hivi karibuni ni wakati sasa kwa Tanzania kuendesha uchaguzi wa serikali za mitaa...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 MAHESABU YA KURA: Kumbe elimu ya Kenya ipo chini sana na upeo wa wakenya upo chini mnoo!

    Kituko kikubwa cha karne kuhusu hesabu leo kimeonekana huko Kenya baada ya makamishina wanne wa tume ya uchaguzi waliotangaza kujitoa kwenye mchakato wa kutangaza matokeo ya urais kuja na hoja finyu za ukilaza wa mahesabu. Mbali na sababu zingine walizozitoa, kubwa lilikuwa ni wao kujenga hoja...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu anakwenda kuzoa kura zote uchaguzi ujao

    Ndugu zangu wahenga walishasema "nyota njema huonekana asubuhi", kwa kazi nzuri na ya kutukuka anayoifanya Mh. Rais katika kuijenga Tanzania mpya, ni dhahiri uchaguzi ujao utakuwa mwepesi Sana kwake kuweza kupita. Kwa Sasa hakuna mpinzani yeyote mwenye mwelekeo wala nguvu ya kuweza kuja...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Jumla ya ya kura za uRais Kenya ni 100.01%

    Hongera sana wana Kenya kwa uchaguzi uliokuwa wa uwazi mkubwa. Katika Afrika bado sijaona uchaguzi ulioendeshwa vizuri kuliko huu wa Kenya. Ukweli mchungu Uchaguzi Tanzania ni sehemu ya kupotezeana muda tu. Nirejee kwenye mada kila nikipiga hesabu jumla ya matokeo yote ya uRais naishia kupata...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Tulieni, tupo kwenye zoezi la kuhakiki kura na mpaka sasa hakuna aliyekidhi idadi ya kutunukiwa Urais

    Naona MaCCM humu yamechachamaa kufungua nyuzi ili kutafuta mbinu za kupaka tope uchaguzi uliofanyika Kenya, yanajaribu kutumia hizo mbinu kuficha aibu ya dhuluma zao kwao huko Tanzania. Ifahamike kawaida baada ya kukamilisha zoezi la kuhesabu kura, huwa hatukimbilii kumtangaza mshindi na...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Uchaguzi Kenya: Matokeo rasmi ya kura za Urais Kenya 2022

    William Ruto (UDA) 50.49% 7,176,121 Votes Raila Odinga (AZIMIO) 48.85% 6,942,930 Votes George Wajackoyah (RPK) 0.44% 61,969 Votes David Waihiga (AGANO) 0.23% 31,987 Votes ============== Wakati Wakenya wakisubiri majibu ya Uchaguzi wa Urais, upande wa timu ya Raila Odinga wamedai kuwa...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Sababu ya majibu ya kura za Urais kutofautiana ni kwa kuwa matokeo yote siyo rasmi

    Sababu ya mwendelezo wa matokeo ya Urais kutofautiana katika vyombo vya habari sababu imeelezwa ni kwa kuwa wamepewa ruhusa ya kuhesabu kutokana na vyanzo vyao lakini matokeo rasmi ni yake ambao yatatangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) baada ya zoezi la kuhesabu kura kukamilika...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Kenya: Mwanamuziki Gabu ashindwa katika kura

    Mwanamuziki wa Kenya, Gabriel Kagundu ‘Gabu’ ameshindwa katika uchaguzi alipokuwa akiwania nafasi ya uwakilishi wa Woodley kupitia tiketi ya ANC ambapo amezidiwa na Davidson Ngibuini 'DNG' wa UDA. Baada ya matokeo, Gabu ambaye amewahi kuwa memba wa Kundi la P-Unit ameshukuru wafuasi wake na...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Polisi wamekamata watu watatu wakisafirisha karatasi za kupigia kura zikiwa tayari zimewekwa alama

    Polisi eneo la Kilgoris katika Kaunti ya Narok wanazuilia watu watatu wakiwemo maafisa wawili wa polisi kwa tuhuma za kusafirishwa karatasi za kupiga kura ambazo tayari zimetiwa alama na vifaa vingine vya uchaguzi Kupitia kwa taarifa, Kamanda wa Polisi wa Kaunti ya Narok Kizito Mutoro amesema...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Nairobi: Ruto ashinda Kura kituo walichopiga Kura familia ya Uhuru Kenyatta

    Licha ya Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, kuwataka Wakenya wasimpe kura mgombea urais wa Kenya Kwanza na Naibu Rais, William Ruto bali wampe kura hizo mgombea urais wa Azimio la Umoja, Raila Odinga ameshindwa kumbeba mgombea huyo katika kituo alichopigia kura. ====== Licha ya Rais wa Kenya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…