kupunguza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Serikali itoe tamko au waraka kupunguza adhabu ya fimbo mashuleni;watoto watavunjwa nyonga

    Bila jitihada za serikali kuweka msisitizo wa kuzuia au kupunguza adhabu ya viboko mashuleni; kuna uwezekano mkubwa wa kuzalisha taifa lenye walemavu wengi! Binafsi niliwahi kuchapwa enzi hizo nikiwa sekondari kwa kosa la jumla (darasa zima) na walimu karibu 10 kwa wakati mmoja. Nilipata...
  2. JamiiForums Tanzania Kufuatia hali ilivyo URUSI kupunguza uzalishaji wa mafuta tujiandae kisaikolojia

    Urusi imesema itapunguza uzalishaji wa mafuta ghafi kwa kiwango cha asilimia tano kuanzia mwezi ujao ikiwa ni kukabliana na hatua ya mataifa ya magharibi ya kuweka ukomo wa bei. Naibu Waziri Mkuu wa Urusi, Alexander Novak amesema Urusi itapunguza uzalishaji wa mafuta ghafi kwa kiwango cha...
  3. JamiiForums Tanzania DELL kupunguza Wafanyakazi 6,650 baada ya soko la Kompyuta kushuka duniani

    Kampuni ya kuunda Vifaa vya Kielektroniki ya Dell itawaachisha kazi Wafanyakazi 6,650 sawa na 5% ya Wafanyikazi wote kutokana na mauzo ya Kompyuta kupungua kwa 28% kila mwaka. Dell imeripoti kushuka kwa soko la nje la Kompyuta kwa 37% katika kipindi cha mwaka 2022 huku washindani wao, kampuni...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli alitekeleza sera kadhaa za viwanda zilizolenga kukuza viwanda vya ndani na kupunguza utegemezi

    Rais John Magufuli alitekeleza sera kadhaa za viwanda zilizolenga kukuza viwanda vya ndani na kupunguza utegemezi wa bidhaa kutoka nje. Baadhi ya sera kuu ni pamoja na: Marufuku ya uagizaji wa bidhaa zinazoweza kuzalishwa nchini: Mwaka 2020, Rais Magufuli alipiga marufuku uingizaji wa bidhaa...
  5. JamiiForums Tanzania Google kupunguza wafanyakazi 12,000 duniani kote, mdororo wa Uchumi watajwa

    Sababu za punguzo hilo ni Mdororo wa Uchumi na Ukuaji Mdogo wa Uchumi wa Dunia usioendana na Mapato ya Kampuni hiyo kwa kipindi cha miaka miwili mfululizo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa Umma, Mkurugenzi Mtendaji wa Google na #Alphabet, #SundarPichai, tayari amewatumia Barua Pepe...
  6. JamiiForums Tanzania Microsoft kupunguza Wafanyakazi 10,000 ili kubana matumizi

    Uamuzi huo utaathiri hadi 5% ya Wafanyakazi wake wote duniani na utaigharimu kampuni kiasi cha Tsh. Trilioni 2.7 katika kujipanga upya. Kwa mujibu wa Financial Times, Microsoft inatarajia kufanya uwekezaji wa zaisi ya Tsh. Trilioni 23 katika utengenezaji wa Akili Bandia kupitia kampuni ya...
  7. JamiiForums Tanzania Israel: Zaidi ya Watu 80,000 waandamana kupinga Serikali kupunguza Mamlaka ya Mahakama

    Maandamano hayo yamekuja siku chache baada ya Serikali mpya ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kupendekeza Marekebisho yatakayoruhusu Bunge kubatilisha maamuzi yoyote ya Mahakama ya Juu. Wakosoaji wanasema mageuzi hayo yatalemaza Uhuru wa Mahakama, Kustawisha Ufisadi, Kurudisha Nyuma Haki za...
  8. JamiiForums Tanzania Mpango wa waziri Makamba wa kupunguza bei ya petroli kwa 75% na Tanzania kuwa petrol hub umeishia wapi?

    Ni zaidi ya mwaka mmoja sasa tangia waziri wa nishati, Mh. January Makamba, atangaze mpango wa serikali utakaoiwezesha nchi yetu kuwa petrol hub itakayokuwa inasambaza mafuta haya kwa nchi nyingi za SADEC na Afrika Mashariki. Mpango ulikuwa kwa kushirikiana na nchi rafiki za OPEC+ kujengwa kwa...
  9. JamiiForums Tanzania AMAZON kupunguza wafanyakazi zaidi ya 18,000

    Kampuni ya Amazon.com Inc (AMZN.O) inatarajia kupunguza zaidia ya wafanyakazi 18,000 kama sehemu ya upunguzaji wa wafanyikazi kwa mujibu wa Mtendaji Mkuu Andy Jassy Maamuzi hayo yanatarajiwa kutangazwa kwa wafanyakazi Januari 18, 2023 ambapo yanatajwa kuwa yataathiri kwa kiasi kikubwa biashara...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Siasa za serikali mabarabarani hazisaidii kupunguza ajali

    Haya hapa ni madhila barabarani yakiwahusisha wale vinara wa kutuasa kuhusiana na ajali barabarani: Miili ya wanandoa wapya kuzikwa leo Mbeya Kwanini kama nia ni njema hatujifunzi kutoka kwa wengine? Speed Cameras Introduced on Nairobi Expressway Kwanini kuwa na magari barabarani yenye...
  11. JamiiForums Tanzania Rai imetolewa kwa walimu wote wa shule za msingi na sekondari na vyuo nchini kupunguza matumizi ya viboko

    Rai imetolewa kwa walimu wote wa shule za msingi na sekondari na vyuo nchini kupunguza matumizi ya viboko na vitisho kwa wanafunzi kama njia ya kufanya wafaulu katika masomo yao kwa kuwa huo si mtazamo sahihi. Rai hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam na Kamishna wa Elimu, Dkt. Lyabwene Mtahabwa...
  12. JamiiForums Tanzania Mfungo wa umeme wenye kupunguza uwezekano wa moto katika jengo

    "Wall and underground concealed conduit wiring" Habari wakuu, Ningependa kuelezea aina hii ya ufungaji umeme kwenye makazi,tofauti na ule wa kupitisha waya juu ya dari na ukuta. Katika mfumu huu kiasi kikubwa cha wire zinapita katika ukuta na chini ya sakafu. Mara nyingi upitishaji wa...
  13. JamiiForums Tanzania Umeshawahi kusikia kidonge cha kupunguza matumizi ya mafuta kwenye gari na vyombo vya moto. Kimekufikia

    kidonge kinaitwa Govvi petrol pill Kimeshatumika sana duniani na kimeshafanyiwa tafiti nyingi na kuonekana kuwa kinafanya kazi. Uki youtube au ku google kidonge hiki utakikuta kinajulikana sana. Na sasa kuna watu hapa Tanzania wanakitumia. Utaweka petrol kidogo kwenye gari au chombo chako cha...
  14. JamiiForums Tanzania Ronaldo aendelee kusugua benchi, Aaache kizazi kipya kifanye maajabu, kumlazimisha acheze ni kupunguza uwezo wa timu

    Nina uhakika kwamba Vijana wa ureno wapo moto sana, waachwe waendelee kupewa nafasi kwa hakika Ureno inaweza kufika hata fainali. Ronaldo akae bench, Fullstop, hana jipya dimbani Tatizo linapokuja ni kwamba fans wa Ronaldo wanachukia wakiona Timu inashinda huku Ronaldo kasugua benchi :) :)
  15. JamiiForums Tanzania Tegemea haya unapoacha pombe, bangi au sigara, kimoja kitakurudisha uanze upya, kingine kitakufanya uache kuwa mraibu na kuanza maisha mapya

    Kwa kuanza niseme tu kwamba kama vilevi hivyo havikuathiri kimaendeleo basi we endelea tu kuselebuka, Wapo watu kama kina snoop dog wanavuta bangi kwa muda mrefu na maisha yao wala hayana shida zaidi ya kutoboa zaidi. Maada hii ni kwa wale ambao wanataka kubadili maisha yao na kuona wazi kwamba...
  16. K

    JamiiForums Tanzania CCM jikiteni: Kupunguza rushwa na Katiba

    Mimi nashauri CCM badala ya kupoteza muda kusifia kinafiki mngetumia muda kwenye vitu viwili 1. Rushwa ambayo inarudi kwa kasi 2. Muwe na mapendekezo yenu kwenye katiba badala ya kutumia muda na nguvu kuzuia mchakato. Kwenye katiba tumieni mijadala na ipinzani kujadili mambo ambayo...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu amefanikiwa kupunguza gharama za kilimo

    Rais Samia Suuhu amefanikiwa kupunguza gharama za kilimo kwa kutoa ruzuku ya mbolea inayowapelekea wakulima kununua mbolea kwa nusu bei Ahueni 4 kwa wakulima toka kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu: 1. Kaondoa kodi ya ongezeko la thamani (VAT) kwenye mbolea ya ndani 2. Kaweka ruzuku kwenye...
  18. JamiiForums Tanzania Twitter kupunguza wafanyakazi kuanzia leo Nov 4, 2022

    Kupitia Barua Pepe iliyotumwa Novemba 3, 2022 kwa wafanyakazi 7500 imewaeleza kuwa watajulishwa kuhusu mustakabali wa ajira zao leo Novemba 4, 2022. Hatua hiyo inakuja siku chake tangu Tajiri wa Dunia Elon Musk kukamilisha ununuzi wa kampuni hiyo kwa Tsh. Trilioni 102 ambapo alitangaza kufanya...
  19. JamiiForums Tanzania TPA yaruhusu rasmi magari kuhifadhiwa kwenye bandari kavu (ICDV) kupunguza msongamano

    Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imeruhusu rasmi kuanzia tarehe 24 October 2022, magari kupelekwa kwenye bandari kavu za nje za kuhifadhia magari kwa ajili ya kupunguza msongamano wa magari ndani ya bandari ili kuongeza ufanisi. Chini ni tangazo rasmi kutoka website ya bandari na gazeti ya...
  20. JamiiForums Tanzania Kupunguza bei ya Internet ni muhimu katika kuhamasisha ulinzi wa taarifa binafsi na matumizi sahihi ya mitandao

    Matumizi ya Internet ni muhimu sio tu kwa mtandao usiolipishwa na wazi, lakini pia kwa kutambua haki za binadamu mtandaoni. Lakini hakuna faida yoyote kati ya hizi inayoweza kupatikana bila ulinzi thabiti na wa kina wa data, usalama wa data, ulinzi wa faragha na mifumo ya haki za binadamu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…