kupotea

  1. JamiiForums Tanzania Ufalme wa Kivuli: Tafakari ya Kifalsafa Juu ya Siasa za Kijiopolitiki na Hatari ya Kupotea kwa Utu

    Tangu kale, mwanadamu amekuwa akitafuta maana ya kuwepo kwake kupitia mahusiano na wenzake. Hata hivyo, pale ambapo jamii zinapokutana na mipaka ya kijiografia, dhana ya utu mara nyingi humezwa na dhoruba inayojulikana kama siasa za kijiopolitiki (Geopolitics). Kwa jicho la kifalsafa...
  2. JamiiForums Tanzania Ni maeneo gani jijini Dar es salaam umewahi kupotea, na mpaka leo bado yanakuchanganya?

    Mimi kuna siku nilizunguka kariakoo karibu masaa matano natafuta njia ya kutokea ili nije nipande gari nirudi mbagala.. wakati naenda nilikuwa na mwenzangu ambaye tuliachana katikati pale mitaa ya azam icecream sijui pale..maana kila mtu alifata mahitaji yake... Sasa mimi baada ya kupata...
  3. JamiiForums Tanzania Mtoto ni wa nani, aliyeweka mbegu na kupotea au aliyemrutubisha tumboni na kutoa matunzo?

    Kumekuwepo na changamoto nyingi za kifamilia, mojawapo ikiwa ni wanaume baadhi kujikuta wakitunza na kulea watoto ambao si wao. Aliyeweka mimba ni mwingine na aliyerutubisha mimba mpaka kulea mtoto akawa mwingine pia. Kati ya hawa wawili, ni yupi anastahili kuwa baba wa mtoto?
  4. JamiiForums Tanzania TANAPA na POLISI wasema wanashirikiana na Wananchi wa Kisaki Morogoro kufuatilia madai ya watu kupotea hifadhini

    Baada ya kusambaa kwa video ikionesha Wananchi wa Kijiji cha Kisaki Mkoani Morogoro wakidai kuna ndugu zao wamepotea katika mazingira tata kwenye Hifadhi ya Taifa ya Nyerere, mamlaka husika imetoa ufafanuzi. Kuangalia Hoja ya Wananchi hao bofya hapa ~ Clip ya Wananchi wa Kisaki kupinga mauaji...
  5. JamiiForums Tanzania Baada ya kupotea miaka kadhaa sasa nimerudi, nilikua kwa kina smigo 😂😂,Nina madini mengi kutoka huko, huku Duniani Kuna mpya gani tuanze nalo

    Baada ya kupotea miaka kadhaa sasa nimelud, nilikua kwa kina smigo 😂😂,Nina madini mengi kutoka huko, huku Duniani Kuna mpya gani tuanze nalo.
  6. JamiiForums Tanzania Huyu haogopi kupotea?

    Mchekeshaji Andrew Ngonyani maarufu Braza K, amelikosoa Bunge akilitaja kuongoza kwa utoaji wa taarifa pasipo mpangilio wala utaratibu kuliko bunge zote ambazo amewahi kuzishudia akiomba mabadiliko, zaidi wampe mualiko ili awasilishe hoja hiyo Bungeni. "Tokea nimeanza kuona Mabunge, hili...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyofilisika na kupoteza Tsh Milioni 25 kupitia kamari ya Aviator

    Siku zote jambo usilolijua ni usiku wa Giza, sikuwahi amini Wala sikuwahi kuelewa kitu kinaitwa URAIBU , ila sasa nimejua kwa vitendo Nini maana ya URAIBU Nilikua nikisikia neno KAMARI , lakini sikujua kama Kuna siku nitakua MRAIBU WA kamari. Nimeshuhudia kwenye maisha yangu kwa vitendo ...
  8. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waweke mwongozo wa viongozi/ wanachama namna ya kujihami na kuitwa polisi na kupotea as if hawajaitwa na polisi

    Kaeni na wataalamu wa mambo ya usalama hata kama kuwatafuta nje ya nchi, wawape namna mtu akiitwa na polisi afanye nini kabla ya kwenda polisi. Nimesoma Mwenyekiti wa Vijana Kanda serengeti ameitwana polisi / walifika Nyumbani kwake na sasa hajulikani alipo Wekeni protocol mtu afanyeje...
  9. JamiiForums Tanzania Nacheka ninapofuatilia ziara za Mwigulu Nchemba (PM), suala la mbuzi wa zawadi kupotea nalo litampa kick?

    Madelu hana ujanja wa kutengeneza mazingira au maigizo ili aonekane kama anakubalika. Kwa mantiki hii nakubaliana nae kuwa ukiacha mechi ya dabi ya simba na Yanga kinachofuata kufatiliwa ni ziara zake hii ni kwa sababu ni Comedy mwanzao mwisho.
  10. JamiiForums Tanzania Ndege iliyoibiwa na kupotea mazima

    Jioni ya tarehe 25 Mei 2003, uwanja wa ndege wa Quatro de Fevereiro huko Luanda, nchini Angola, ulikuwa kimya kama kawaida. Lakini kimya hicho kilivunjika ghafla pale ndege kubwa aina ya Boeing 727-223, yenye usajili N844AA, ilipoanza kujisogeza polepole kwenye njia ya kuruka bila kibali...
  11. JamiiForums Tanzania App za mikopo kama YakoMkopo, PesaSasa kupotea Play Store – hii ni hatua sahihi?

    Wakuu, Nimegundua jambo la kushangaza – baadhi ya app za mikopo kama YakoMkopo na PesaSasa hazionekani tena kwenye Google Play Store. Uki-search zinaonyesha “This app isn’t available.” Swali ni: Je, hii ni hatua ya makusudi dhidi ya hizi app? Kama ni kweli zinafanya udhalilishaji, riba kubwa au...
  12. JamiiForums Tanzania Polisi wasema Dammour Nyakairo maarufu Ninja anashikiliwa kwa tuhuma za uhalifu, hii ni baada kelele mtandaoni kuhusu kupotea kwake

    Wakuu, Tarehe 02/05/2026 saa tatu asubuhi eneo la Mburahati Kinondoni alikamatwa Dammour Massoumbe Nyakairo, na kupelekwa kituo cha Polisi Chang'ombe kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya kihalifu. Baadhi ya ndugu zake tangu alipokamatwa walijulishwa na kwenye mahojiano ya awali ametoa...
  13. JamiiForums Tanzania Polisi Wataja Sababu za Kupotea Watu

    Kwa mujibu wa Jeshi la polisi sababu za kupotea watu ni kwa sababu ya mapenzi, imani za kishirikina, waliotekwa na watu wakitaka pesa ama mali, wahalifu ambao wanalipiana kisasi na wengine kutoroka kwa sababu ya kudaiwa madeni na kukimbia kesi #UkweliOktoba29
  14. K

    JamiiForums Tanzania Hii ishu ya nyeti kupotea na Niki kuachana na Mke wake-Ni michezo tu ya kuficha jambo kubwa na zito la Kitaifa kwa sasa

    Hizi Mbanga za eti mtu kaombwa 500 halafu kashikwa bega halafu nyeti zimepotea pamoja na Niki Mkuu wa Wilaya kuachana na Mke kisa DNA, hii ni michezo tu katika namna ya kuficha jambo kubwa la Kitaifa lisijadiliwe. Watanzania tujiulize jambo gani kubwa linalohitaji mjadala wa Kitaifa lijadiliwe...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kama Kulivyo Kupotea kwa Utawala wa Kiayatollah Iran, ndivyo Inaelekea Kupotea kwa Ufalme wa Uingereza

    Nimezungumza humu JF kuhusu Serikali kupiga Marufuku Dini. Basis kubwa ya dai hilo ni Unabii wa Biblia tafadhali soma Ufunuo Sura 17. Sura hiyo kwa lugha ya mfano inamtambulisha mwanamke kahaba na pia inamtaja kuwa ni Babilon Mkuu (kitovu cha mafundisho ya uongo yanayokinzana na Mungu). Ingawa...
  16. JamiiForums Tanzania Report ya CAG na upotevu wa nyeti wanaume umegundua nini?

    Habari mi sio mtaalamu sana ila kwann ishu ya nyeti imekuja kipindi hiki? Ambapo report ya cag inahadiliwa na watanzania Wakati huu pia report ya October ikisubiliwa Kwann nyeti zimepotea tunduma kwa watukutu imefika mbeya kabwe na sasa watoto wa gaza kimara? Ukweli kuhusu nyeti huenda ni...
  17. JamiiForums Tanzania Wakuu nimerejea tena kutoka sayari ya mbali baaya kupotea kwa mda wa miaka miwili

    Kama kichwa Cha habari kinavyo SEMA,pia nimewakumbuka sana ndugu zangu w kina jinuni wanawasalimia sana wakina maimuna na sharifu. Nambie una jambo gani linalo kutatiza nikusaidie mara Moja🙏🏽
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Sarafu za Sh. 100 na 200 zimepotea mtaani

    Hili suala la sarafu kuadimika limekaaje? Niliona kwenye forum Moja ya Mwananchi wakiuliza kwa Afisa Sarafu B.O.T kuhusu kuadimika kwa sarafu hasa Tsh 100, Tsh 200 lakini alijibu kua hakuna shida hio na sarafu zipo. Sasa swali ni kua nini kinaendelea kwa sababu mtaani hazionekani kweli na Kuna...
  19. JamiiForums Tanzania Wazazi msiweke wazi shida zenu kwa watoto wimbi la kupotea na kujinyonga linaongezeka

    Habarini wapendwa za jioni Nimeona tukumbushane kidogo Hasa kwa wimbi la matukio mbali mbali ya watoto hivi karibun mwanza geita na arusha Hawa watoto watatu Wote waliandika barua ..kwa wazazi wakimwomba mungu atatue shida za wazazi wao ikiwemo pesa za ada shule na pesa za marejesho Kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Pigo lako, kupotea kwako na uwe mwisho wako

    Kwa jina la Utatu Mtakatifu, nakusihi na kukuapiza, samia suluhu hassan wewe muuwaji, mwanamke, kwa jina la Mungu ajuae yote, kupitia Aroni kuhani mkuu, ambaye kwa msaada wake nawashinda na kuwatiisha mashetani wote; hii ijulishwe kwako, Moloch, na pia Lucifer atatumwa, na vilevile Mt. Mikaeli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…