Habari mbaya sana kwa wenzetu wa Sgang!
Inavyosemwa Maza anafungua nchi Kweli ameifungua! Haya sio maneno yangu someni hapa!
Tumeanza kukamata chati katika kufanya vizuri kwenye mambo mbalimbali
Ni katika muendelezo wa kukirimu wageni, ile kamati nguli ya mapokezi inajipanga kupokea VAR na wasimamizi wa VAR watakapowasili nchini kwa mechi kati ya mabingwa watarajiwa wa confederation cup mwaka huu SIMBA SC. na pirates
Hatua hiyo ni maandalizi ya kuwapokea orlando pirates au wanaume...
Baada ya kuwasilishwa bungeni leo ripoti ya Uchafuzi wa Mto Mara, wabunge wameikataa na kutaka kuundwe tume huru ya uchunguzi.
"Ripoti ya Kamati ya Kitaifa kuhusu Uchafuzi wa Mto Mara ina upotoshaji. Isiwekwe hata kwenye tovuti ya wizara. Hakuna mafuta Ziwa Victoria. Ikiwekwa kwenye tovuti...
Ukiona World Bank wananunua hisa za Equity bank ujuwe kwamba wao wameona Equity bank ina future nzuri. Britam insurance ilinunua shares za Equity zamani sana wakati bado Equity ilikuwa kampuni ndogo. Britam imeuza 6.7% ya shares ya Equity kwa IFC ambayo ni taasisi ya World Bank na kulipwa ksh 13...
Leo Rais Samia atakuwa anapokea ripoti ya CAG Charles Kichere kwa ukaguzi wa hesabu za mwaka 2020/202. Shughuli hivo pevu itaanza saa 4 asubuhi.
CAG ana machagua mawili tu,ama kuanika uozo wote wa awamu ya sita au kuchakachua kutaka kuonyesha mama anaupiga mwingi.
Kama amenyofoa kurusa zenye...
Naam uzi huu ni kwa mashabiki wenzangu wa chelsea.
Kutokana na vikwazo iliyowekewa klabu na serikali ya uingereza, inaonekana kuna nafasi kubwa kwamba klabu yetu pendwa inaenda kupata anguko kubwa sana.
Hakuna hela inayoingia kwenye klabu kwa sasa kwaio kutokana na matumizi makubwa ya klabu...
Habari zenu wakuu,
Kutokana na Paypal kutoruhusiwa kupokea pesa Tanzania, nafikiria kuanzisha huduma itakayosajiliwa ambayo itawawezesha watanzania kupokea pesa kutoka paypal na kuingia kwenye mitandao ya simu ya Tanzania kama M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money.
Napokea maoni, ushauri na...
Mmiliki wa Klabu ya Chelsea, Roman Abramovich
Mmiliki wa Klabu ya Chelsea, Roman Abramovich anatarajiwa kushawishiwa kukubali kuiuza klabu hiyo, ikielezwa kuna ofa tatu zitatolewa wiki hii.
Kumekuwa na presha kubwa kwa bilionea huyo kuiuza Chelsea kutokana na ukaribu wake na Rais wa Urusi...
Kundi la kwanza la raia wa Ghana wakiwemo wanafunzi limewasili Accra Nchini Ghana wakitokea Ukraine ambapo kuna machafuko kwa taifa hilo kushambuliwa na Urusi.
Serikali ya Ghana kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wamekuwa wakifanya jitihada za kuwatoa raia wake Ukraine ambapo bado hali ya...
Habarini wadau,
Swala la kupima limekuwa swala gumu sana mana vijana wanauza mechi, au kuteleza sana pasipo sababu za msingi pia kujisahau
sasa ukiambiwa upime na majibu mpewe kwa pamoja vipi wadau?
Wa kimasihara na wanunua dada poa na wale wa massage wakushusha mlima vipi mnasalimika? Au...
Kutokana na mlundikano wa watu waliokwisha lipia gharama za kuunganishiwa umeme na kupelekea kusubiri kupatiwa huduma hiyo kwa muda mrefu, busara yangu inanituma kuishauri Wizara huska KUIELEKEZA TANESCO kuhudumia wahanga hao kwanza kwa muda utakaokadiwa vizuri kumaliza zoezi hilo.
Haipendezi...
Lipo tatizo kubwa la rushwa Kila sekta.
Kisingizio kikubwa Watumishi wa umma ni mishahara midogo. Nakishauri Mhe. Rais weka kifungu cha sheria kinachomwajibisha mpokea Rushwa akiwa mtumishi wa Umma na pale anapofukizwa kazi pengo lake lizibweKwkwa haraka arudi uraiani akaishi bila mshahara...
Je, Simba kapata windo lingine?
Huenda nyota wa Bongo Naseeb Abdul Juma almaarufu kama Diamond Platnumz ana mke wa siri. Matamshi yake ya hivi majuzi alipokuwa anarekodi video ya wimbo 'Unachezaje' yamezua mjadala mkubwa mitandaoni iwapo mwanamuziki huyo amenyakua kipenzi kipya.
Katika video...
Kwamba Laigwanan, Aboubakar Mbowe kapokea ugeni mzito huu mahakamani:
Kwa hakika mtenda mema hajifichi.
Tunayo mengi ya kujifunza kutoka kwa mja wake mola huyu.
Eeh mola wetu umpishilie mbali mabalaa yote mtumishi wako huyu.
Hata tutakopoonana naye tena - ndugu yetu huyu katika mapambano...
Miezi sita iliyopita kampuni ya Meta ilitoa Wallet yake ya Crypto ambayo inaitwa Novi Wallet na inatumia Stablecoin ya Pax Dollars (USDP) ambayo ni crypto yenye thamani sawa na Dola 1.
WhatsApp imeanza majaribio ya kuunganisha Wallet ya Novi na WhatsApp hivyo utaweza kutuma na kupokea pesa...
Licha ya juhudi zilizowahi kufanywa na viongozi wa Jiji la Dar es Salaam kudhibiti biashara ya ukahaba na uzururaji jijini humo, shughuli hiyo inaendelea kama kawaida, Mwananchi limebaini.
Baadhi ya viongozi waliowahi kuongoza Dar es Salaam, akiwemo Paul Makonda walianzisha kampeni za kupambana...
Abdul mobile payment plugin, hii haijawahi tokea. kwanza kama umeshawahi kujiuliza ikiwa kuna uwezekano wa mtanzania kutengeneza wordpress plugin, yenye kiwango cha hali ya juu kama hii ya kufanya malipo mtandaoni. Jibu ni kwamba yupo na anaitwa Abdul Bunju.
Kwa historia fupi. Abdul Bunju ni...
===
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Hussein Ally Hassan Mwiny amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe Samia Suluhu Hassan kwa Upambanaji wake kwa Taifa lake la Tanzania na kumtaka aendelee hivyohivyo kuumizwa na umasikini wa watu wake anaowaongoza toka pande...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.