Je, upo tayari kupima VVU na mchumba, mchepuko au mkeo na kupokea majibu pamoja?

yuda75

JF-Expert Member
Aug 16, 2020
520
1,379
Habarini wadau,

Swala la kupima limekuwa swala gumu sana mana vijana wanauza mechi, au kuteleza sana pasipo sababu za msingi pia kujisahau
sasa ukiambiwa upime na majibu mpewe kwa pamoja vipi wadau?

Wa kimasihara na wanunua dada poa na wale wa massage wakushusha mlima vipi mnasalimika? Au tuungane na chaputa kwa usalama wa afyaaa.

1645086541258.png

 
Habarini wadau,

swala la kupima limekuwa swala gumu sana mana vijana wanauza
mechi,au kuteleza sana pasipo sababu za msingi pia kujisahau
sasa ukiambiwa upime na majibu mpewe kwa pamoja vipi wadau
wa kimasihara na wanunua dada poa na wale wa massage wakushusha mlima
vipi mnasalimika

au tuungane na chaputa kwa usalama wa afyaaa
Kila mtu ashinde mechi zake,namla kwa condom kwanza kama mara nne kisha nampa na tarehe ya kupima tena twende hospital kbsa ndio tutajua kipi bora kati ya nyuki na upupu.

Ukiwa huna pesa utaulizwa sana swala la kupima, vigezo na masharti, ukiwa na muonekano wa kisure au cheo they don't ask all what they expect is the money bundle flowing coherently. We things of mkunajimpemba
 
Back
Top Bottom