kupitia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mbunge Byabato Awafariji Watoto Yatima 200 Kupitia Tamasha la Bukoba Mjini Mpya 2024

    MBUNGE BYABATO AWAFARIJI WATOTO YATIMA 200 KUPITIA TAMASHA LA BUKOBA MJINI MPYA 2024 📌 Lengo ni kuwapa faraja katika msimu wa sikukuu 📌 Vitabu, Madawati, Vitanda vyatolewa 📌Wananchi wajitolea kuchangia Damu Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini, Wakili Stephen Byabato, kwa kushirikiana na wadau...
  2. N

    JamiiForums Tanzania NATANGAZA NIA YANGU YA KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI IFIKAPO 2025 PANAPO MAJALIWA YA MUNGU.

    Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu,ni haki yangu kikatiba,nina elimu ya kutosha,umri unaruhusu,hivyo kwa mapenzi yangu makubwa na nchi yangu ya Tanzania ,na kwa kiu yangu kubwa ya kutaka kuiona Tanzania inapiga hatua za kimaendeleo katika kila nyanja,nimeona ifikapo mwakani na mm...
  3. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akijiengua au kubanduliwa CHADEMA, Willbroad Slaa atarejea rasmi na kupewa fursa ya kugombea urais kupitia CHADEMA 2025.

    Hautapita muda mrefu, mara baada ya Tundu Lisu kuondoka chadema, Dr.Wilbroad Peter Slaa atarejea Chadema na kupewa fursa ya moja kwa moja kugombea nafasi urasi Oct 2015. Huyo ndie hasa alikua chaguo namba moja, kama mgombea urais wa Chadema Oct 2025. Wanaojaribu kumu-outshine na kumu-thwart...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Haya maisha jamani nimejifunza sana kupitia Qatar world cup 2010

    Mzuka wanajamvi! Shirikisho la mpira duniani tarehe 2 December 2010 kupitia rais wake wakati huo Sepp Blatter walitangaza taifa dogo tajiri la uarabuni kuwa mwenyeji wa kombe la dunia 2022. Yani kumbuka hiyo 2010 nikawa najiuliza 2022 mbona mbali jamani wakati ndo mgeni mgeni kwenye Facebook...
  5. JamiiForums Tanzania Mwanamke hata kabla hujamtongoza anakuwa amesha tambua lengo lako kupitia lugha ya macho

    ikitokea umekutana na mwanamke akakuvutia kwa mara ya kwanza na ukamtazama directly machoni/usoni. Basi tambua ubongo wa huyo mwanamke unaanza kukudescribe papo kwa hapo kama unafaa kuwa nae au hufai, na baadae huyo mwanamke hukaa na kukufikiria kisha atajipa jibu yeye mwenyewe kama ni YES au...
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: Mgombea urais kupitia CHADEMA uchaguzi mkuu 2025, ni ama DR. W.P.Slaa au J.S.Warioba

    Za chini kwa chini yasemekana kwamba, Warioba ana nafasi kubwa zaidi kupewa nafasi hiyo, huku mwenyewe akidai kutokua fiti kwa jukumu hilo zito na muhimu la uongozi, kwa sababu za kiumri. Kuna shinikizo ni kubwa mno kutoka kwa viongozi waandamizi wa vyama vya siasa hususan chadema, na hilo...
  7. JamiiForums Tanzania Monalisa ahitimu Chuo Kikuu licha ya kupitia dhihaka na kejeli kisa umri

    Yvonne Cherrie, msanii maarufu wa filamu, Monalisa, ameweka historia baada ya kuhitimu Chuo Kikuu katika fani ya Usimamizi wa Biashara na Miradi, licha ya changamoto za dhihaka na kejeli alizokumbana nazo kutokana na umri wake. Monalisa, ambaye alikuwa miongoni mwa mwanafunzi waliokula chumvi...
  8. JamiiForums Tanzania Je unaweza pata mahusiano yanayoeleweka kupitia Dating Site?

    Basi bwana, mimi ni ke Nikasema nimekua single miaka 3 ngoja nijiunge dating site nione kama naweza pata mpnz. Looooh....Najutraaa Hivi unaweza pata mpnz wa na kuanzisha mahusiano kwenye dating app.?. Maana kila mmoja anataka kupiga na kusepa. Je wapo waliopata wampenzi na mahusiano kwenye...
  9. JamiiForums Tanzania Njombe: Mwenyekiti wa Kijiji kupitia CCM akimbia ofisi baada ya kupokea vitisho

    Barua za vitisho zilizosambazwa na watu wasiojulikana zimesababisha taharuki kubwa katika ofisi mbalimbali za kata ya Ruhuhu, wilayani Ludewa, mkoani Njombe. Kwa mujibu wa kituo cha habari cha Kings FM, barua hizo ziliripotiwa kubandikwa usiku wa kuamkia Desemba 3, 2024, kwenye ofisi za...
  10. JamiiForums Tanzania Unaweza kupata wazo la biashara kupitia njia hii ambayo naifanya hapa. Ikawa faida kwako na kwangu pia

    Habari Kwa makazi nipo dar es salaam, Nina mtaji mdogo ambao Kwa upande wa frame ni changamoto Sasa Basi nataka kufanya biashara Kwa njia ya mtandao hasa kupitia WhatsApp Kwanini nataka kutumia platform ya WhatsApp? Kwasababu watu ambao nimesave namba zao wananijua na ninawajua vizuri kwaiyo...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Magari ya Matangazo Mbeya Jiji hayazingatii Usiku wala Mchana, imekuwa kero sasa

    Leo Jumatatu tarehe 2 Dec 2024, muda huu ni saa tatu na dakika 45 usiku Mitaa ya Forest Mpya kwa Mwamnyange kuna gari la matangazo linatoa tangazo kutoka Ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji kuhusu mauzo ya Viwanja maeneo ya Nsalaga. Jamani tumekuwa tukilalamikia hizi kero za haya magari ya matangazo...
  12. JamiiForums Tanzania Tetesi: Arusha: Kada wa CHADEMA na aliyekuwa mgombea wa Uenyekiti wa mtaa kwa kupitia chama hicho apotea

    Aliyekuwa mgombea wa uenyekiti wa mtaa wa Engosengiu kata ya Sinoni jijini Arusha kwa tiketi ya chadema ndugu Damiani amepotea na hajulikani aliko hadi sasa. Siku chache kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa gari za polisi zilionekana zikizunguka mara kadhaa katika mitaa anayoishi. Hata...
  13. JamiiForums Tanzania Kupitia Botswana na Msumbiji naiona Tanzania mpya kabla sijatoweka.

    Kwa wakongwe kama mimi, wanajiuliza, nini tutaona mageuzi ya maana na ya kweli. Walipofanya kweli Kenya, Malawi, na Zambia tulidhani ni wimbi na wingu vya kupita. Juzi tu, tuliona moto wa mageuzi na mapinduzi ukiwashwa kule Afrika Kusini ambapo ANC iliponea chupuchupu kujikuta pakanga. Kalba...
  14. JamiiForums Tanzania Imebainika: NATO wanataka kumhadaa Putin kukubali kusitisha mapigano na kisha kugawana Ukraine kwa kutumia mwamvuli wa kupeleka majeshi ya kulinda ama

    Majasusi wa Urusi wamebaini mpango wa siri unaosukwa na mataifa ya Magharibi yanayopanga ku "freez" mzozo kwa a fake "cease fire deal"na kisha kutumia muda huo kisha kupeleka majeshi yake ya kulinda amani ambayo lengo lake kuu ni: 1) Kugawana maeneo ya Ukraine kimkakati 2)Kulipa msaada wa...
  15. JamiiForums Tanzania LGE2024 Ludewa, Mkoani Njombe, Majina ya Wagombea Kupitia CHADEMA hayamo Kwenye Karatasi za Kupigia Kura.

    Mkoani Njombe, na hasa wilayani Ludewa, uchaguzi umevurugika kwa kiwango cha kutisha. Awali, katibu wa CHADEMA mkoani Njombe, alieleza kuwa wilaya ya Ludewa ilikuwa ya pili kitaifa kwa idadi kubwa kuenguliwa wagombea wa CHADEMA, ambapo kati ya wagombea 198 wa vitongoji, walienguliwa wote, kati...
  16. JamiiForums Tanzania Jinsi Makampuni yalivyowahi / yanavyowaibia Wananchi kupitia Nishati na kujinufaisha wao na Vikaragosi vyao...

    Ni Hesabu ndogo tu... Gharama za Uzalishaji zikiwa kubwa basi na Bei ya Mtumiaji itaongezeka; IKIWA MZALISHAJI NI UMMA; Gharama za Uzalishaji zikiwa kubwa sababu Nishati ni Huduma huenda ikatolewa Ruzuku kupunguza hizo gharama au Mteja hana jinsi lazima atatumia tu IKIWA MZALISHAJI NI BINAFSI...
  17. JamiiForums Tanzania LGE2024 Kigoma: Mgombea Uenyekiti kupitia ACT Wazalndo ajitangaza mshindi kabla ya Uchaguzi akihitimisha kampeni

    Waguu Mgombea wa Uenyekiti kupitia Chama cha ACT Wazalendo huko Kigoma amejitangaza kuwa ni mshindi kabla ya Uchaguzi wakati wa kuhitimisha Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
  18. P

    JamiiForums Tanzania Azam TV rekebisheni muonekano wa mwanga kwenye mechi zinazochezwa kwa Mkapa kupitia TV

    Mara zote mechi zinazochezwa mida ya saa kumi, watazamaji wa TV kupitia kisimbuzi chenu hukutana na muonekano wa giza katika nusu ya uwanja, jambo linalosababishwa na jua. Cameraman na uongozi wa Azam TV, fanyieni kazi tatizo hili la giza na tafuteni nafasi nzuri ya kuchukua video tofauti na...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna watu kwa enzi hizi bado wanasikiliza mpira kupitia redio?

    TBCtaifa wanatangaza mpira wa ligi kuu na ile ya championship. Hivi kuna watu bado,wanasikiliza mpira kupitia redio wakati Tv zimetapakaa kila kona?
  20. JamiiForums Tanzania Msaada namna faida inavotengenezwa kupitia uwakala

    Kwema wakuu!? Naomba msaada wa namna faida inavotengenezwa kupitia uwakala wa mitandao ya simu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…