kupitia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. britanicca

    JamiiForums Tanzania Kupitia video hii ni kweli viongozi wanahusika kwenye kusafirisha madawa ya kulevya alafu wanouwawa ni vijana

    Binti anayeenda kunyongwa Vietnam inaelezwa kwenye video hii na inaonekana Njoroge ambaye ni miongoni mwa watu wa Serikali waliofuma mbinu kwa Nduta kusafirisha madawa ya kulevya huko Vietnam, Baada ya kukamatwa wao wakazima simu , https://youtu.be/VK_s6RGOlps?si=EZe_9fBY4mHLeXyH
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wahuthi wameipiga biti USA kwamba meli zao haziruhusiwi kupitia Red Sea.

    Muda mwingine unakaa unawaza hivi hawajamaa hata wanapolala unakuta kile wanachokiota ni israel na Usa, wanapojiangalia kwenye kioo wanaona bendera za Us na Israel Hawana kingine cha maana cha kufanya zaidi ya kufanya fujo. Fujo ndio motivation yao, fujo ndio tulizo lao la munkali. Wako...
  3. Financial Market 255

    JamiiForums Tanzania Umegundua Jinsi Ya Kupata Kipato Zaidi Kupitia Uwekezaji Katika Hisa?

    Ndugu Mwekezaji Mtarajiwa... Baada ya kusoma ujumbe huu mpaka mwisho, utakuwa na SIRI MUHIMU za kuwekeza kwenye hisa kwa faida kubwa, huku ukiepuka makosa yanayowaangusha wawekezaji wengi. LAKINI… Kabla sijakufundisha mbinu hizi, hebu nikupe STORY FUPI inayoonyesha kwa nini Watanzania wengi...
  4. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania TANESCO iwaunganishie wateja umeme kwa makubaliano ya kulipia kidogokidogo kupitia manunuzi yao ya umeme Kila wanunuapo luku.

    Wakuu ili kujenga taifa lenye uchumi imara na imara ni muda wa shirika la umeme Tanzania TANESCO kuweka utaratibu wa kuwaungia umeme wateja wapya ambao hawana uwezo wa kulipia gharama za umeme kwa mkupuo kwa utaratibu wa malipo ya polepole. Faida kuu itakayopatikana ni pamoja na: 1. Kuimarisha...
  5. Damaso

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Japani kupitia Shirika lake la Maendeleo (JICA), zimetiliana saini mkataba wa msaada wa kuboresha huduma za afya ya mama na mtoto.

    Tanzania na Japan kupitia Shirika lake la Maendeleo (JICA), zimetiliana saini mkataba wa msaada wa Yen za Japan bilioni 1.527 sawa na shilingi bilioni 27.3 kwa ajili ya kuboresha sekta ya afya nchini. Mkataba huo umesainiwa katika Ofisi za Hazina Ndogo jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu Wizara...
  6. youngkato

    JamiiForums Tanzania Confession: True story: mwaka 2024 Nimeshuhudia vijana (watu wa karibu) wakitengeneza zaidi ya 15M+ kila mmoja kwa mwaka kupitia content creation

    Confession: True story: mwaka 2024 Nimeshuhudia vijana (watu wa karibu) wakitengeneza zaidi ya 15M+ kila mmoja kwa mwaka kupitia content creation. Siwezi kuwataja (wanaona hii tweet) Leo nitakupa sori na njia wanazotumia kupata hizo pesa Wengine wapo chuo, dropout Nimewashuhudia wakiwa...
  7. funaku

    JamiiForums Tanzania Tanzania isijiingize kwenye mtego wa upigaji kupitia magonjwa ya milipuko!

    Inawezekana na Iliwezekana huko kwa nchi za wakubwa wetu..kutumia Afya,magonjwa na milipuko ya magonjwa kama chanzo cha upigaji fedha. chondechonde tusiingie kwenye mtego huu. Makampuni ya dawa,vifaa tiba na other medical supplies yamekamata uchumi duniani na yapo katika ushindani wa kiuchumi...
  8. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Kwanini ninamdharau sana mtu aliepata mafanikio kupitia connection

    Kwa miaka hii nimekuwa nikikutana na watu waliopata mafanikio au maendeleo yoyote Yale kupitia connection huwa Nina mdharau sana, na muda mwingine huwa naudharau hata ushauri wake,..akiwa anaongea huwa najisemea kimoyomoyo "huyu ataniambia nini!"
  9. Dialogist

    JamiiForums Tanzania Haya ya Simba niliyatarajia toka jana kupitia Ahmed Ally

    Wakati wa pre-match press conference, na kwa wale wataalamu wa saikolojia mtakubaliana nami kwamba Msemaji wa Simba na semaji la CAF Bwana Ahmed Ally alionesha ishara zote za Leo timu yake kutokuingia uwanjani. Hii ni baada ya kua na muonekano usio changamfu, na hata baada ya kuulizwa swali na...
  10. Masoud06

    JamiiForums Tanzania Je! watanzania wako tayari kupokea mabadiliko ya kutafuta nyumba za kupanga kupitia Webs au Apps zilizosajiliwa kisheria zinazowaondoa madalali ?

    Je! watanzania wako tayari kupokea mabadiliko ya kutafuta nyumba za kupanga kupitia Webs au Apps zilizosajiliwa kisheria zinazowaondoa madalali ?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Vodacom, ZICTIA Zaungana Kukuza Matumizi ya Kidijitali Zanzibar Kupitia Nyaya za Chini ya Bahari

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Zanzibar (ZICTIA), Shukuru Awadhi Suleiman (kushoto) na Mkurugenzi wa Mtandao wa Vodacom Tanzania Plc Andrew Lupembe, aliyemwakilisha Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, wakisaini nyaraka za makubaliano ya ushirikiano lenye lengo la kuboresha huduma...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo Bondia Dulla Mbabe alisubiri Kwanza hadi apewe na Rais Samia Tsh Milioni 2 kupitia Msemaji Msigwa ndipo aseme si Mitano bali Kumi tena?

    Yaaani Bondia Dulla Mbabe kapigwa, Rais kampa Tsh Milioni 2, ila Chama cha Mabondia Tanzania hakijapewa chochote.
  13. Wakwetu03

    JamiiForums Tanzania CHANGAMOTO ZA KUOMBA AJIRA ZA ZIMAMOTO KUPITIA MFUMO WAO

    Ndugu wanajukwaa,nimepata changamoto ya kuomba kazi kupitia mfumo wa kuomba kazi katika jeshi la Zimamoto. Nimefuata taratibu zote za kujisajili kwenye mfumo wa ajira ili kuomba kazi kama ilivyotangazwa hata hivyo napata changamoto katika hatua ya mwisho ya kuwasilisha maombi yangu kwani link ya...
  14. Akilindogosana

    JamiiForums Tanzania Serikali ipunguze bei ya viwanja vya kujengea viwanda, hadi 1000 kwa sqm 1 au 500 kwa sqm 1. Ili kuongeza ajira kwa vijana kupitia viwanda vidogo

    Serikali ipunguze bei ya viwanja vya kujengea viwanda, viwanja vya kuweka biashara. Kuuza kiwanja cha kiwanda kwa @20,000 kwa mita moja ya mraba au 30,000 kwa sqm au 50,000 kwa sqm ni bei juu mno na inaua uzalishaji wa bidhaa hasa kwa vijana na wazawa, hakuna kijana mwenye milioni 500 au 1B kwa...
  15. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Vodacom acheni kuwabambikia mawakala madeni kupitia songesha

    Huu ni wizi mpya kwa kampuni ya Vodacom songesha, mtu hujawahi kopa unakuta deni eti ulipe Ama kuna wanaotumia hiyo huduma lakini overdraft huenda ni laki moja wakala anakuta deni la laki moja na nusu huu ni wizi Ukiwapigia wanakupiga kiswahili
  16. MBOKA NA BISO

    JamiiForums Tanzania Jeshi la S.A kurudi kwao, kupitia Kigali

    Baada ya AFC/M23 kuomba serikali ya Afrika kusini kuondoa wanajeshi wake, na nchi hiyo ikakataa, hatimae ombi la M23 limekubaliwa, na njia pekee iliyotolewa(corridor) ikiwa ni Rwanda, jumapili ya leo, Februari 23, 2025, wanajeshi hao watasafilishwa kuelekea uwanja wa ndege wa Kanombe, uliopo...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kupitia Zelenskyy na vita ya Ukraine

    Trump na Elon Musk wanamuita Zelensky dikteta,asiye na huruma,asiyependa watu wake, tapeli n.k. Mazungumzo ya kumaliza vita yanafanyika Saudi Arabia bila uwepo wa Ukraine, Zelensky anaambiwa atoe sehemu ya madini yake muhimu kwa Marekani Ili kufidia gharama za vita, Urusi kachukua maeneo muhimu...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Serikali inapaswa kuratibu madarasa ya kufundisha watoto wadogo dini kupitia mfumo rasmi wa elimu

    Video ya inayosambaa mitandaoni ya mwalimu wa madrasa huko Mbagala akiwapiga fimbo watoto wadogo ni mbaya sana. Hata hivyo ukisikiliza wanaochukua hiyo video wanasema siku nyingine huwa anawapiga mpaka hasira zake ziishe! Hii ni hatari kwa usalama wa hao watoto. Kwa kumuangalia tu huyo mwalimu...
  19. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Heshima kwa YOUTUBE kumbe unaweza kujifunza udereva kupitia video tutorial

    Myself napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa platform ya YOUTUBE maana halisi ya Elimu na Burudani. Kupitia YouTube kuna skills nyingi nimejifunza probably direct ama indirect zimeweza kuwa na impact kwenye maisha yangu binafsi. Sina maana ku underestimate vyuo vya udereva ila ukiwa...
  20. Red shadow

    JamiiForums Tanzania MnaoTengeneza Pesa kupitia CHATGPT mnafanyaje??

    Watekinologist Mnaendaje nayo hiii Naona advertisement kwamba watu wanatumia CHATGPT kutengeneza had 100$ kwa siku mnafanyaje
Back
Top Bottom