kupitia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais wangu, kupitia uzi wangu Martha karua aruhusiwe, haya ndiyo yanayokuja, poor analystologist!....

    Hakika sifurahi kwa hili, jamani, tuliosomea haya tupo wengi mitaani and we know much in deep, ten step ahead!
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baba Levo ajitosa Ubunge Kigoma, anajiweza kweli kuchuana na Zitto Kabwe?

    Aloooo, kweli uchawa unaenda kuharibu nchi, na kimasihara anaweza 'kumshinda' Zitto🤣🤣 kama jinsi wagombea 'walivyoshinda' viti 2020! Wana Kigoma tutawashangaa sana kura zikienda kwa chawa, itabudi tuingie kwenye rekodi ya Guiness ya kuwa wapumbavu wa Dunia! === Msanii na Mtangazaji maarufu...
  3. JamiiForums Tanzania Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano

    Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kupitia Akaunti zetu za Instagram: ikulu_mawasiliano, Facebook: Ikulu Tanzania Facebook fanpage: Ikulu Mawasiliano Twitter: ikulu_Tanzania Youtube Channel: Ikulu Tanzania Tovuti: https://ikulu.go.tz
  4. JamiiForums Tanzania HESLB na NIDA kushirikiana kuwatambua waombaji mikopo kupitia NIN

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) leo Ijumaa Mei 16, 2025, wamefanya kikao na waandishi wa habari katika ofisi za HESLB Kanda ya Mashariki zilizopo Dar es Salaam kwa lengo la kuutarifu umma kuhusu kuanza kushirikiana kuwapatia namba...
  5. JamiiForums Tanzania MwanaJF Dennis Roberts ni mtu sahihi kuwania Urais kupitia CHADEMA

    Kamati kuu ya CHADEMA impigie magoti kumuomba ajiunge na chama chao na kumpa nafasi ya kugombea urais wa Tanzania. Kwa miaka mingi CHADEMA imekuwa ikijitambulisha kama chama cha watu wasomi wenye akili nyingi. Huyu Dennis ni msomi anayeongelea kwa undani sana kuhusu Nuclear power, Solar systems...
  6. JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata mitandao ya kijamii ya mtu kwa kupitia picha yake.?

    Kuna some people nimepoteza contacts zao ila nina picha zao nahitaji kuwapata kupitia facial recognition
  7. JamiiForums Tanzania Tiba ya ugonjwa wa Kansa aina zote inapatikana kupitia njia hii hapa

    Kama Rais msisitizo utakuwa kwenye hizi njia mbili Predict all cycles of abnormal protein mutation Integrate all cycles of target abnormal protein mutation into single equation so as it can be easily target by novel therapeutics compound Hata sisi waafrika tuna-uhuru wa kufikiria njia ya...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa China Wawazawadia Watoto wa Zanzibar Tabasamu Jipya Kupitia Upasuaji wa Mdomo

    Timu ya 34 ya Madaktari wa China waliopo Zanzibar hivi karibuni imekamilisha upasuaji mitano ya midomo iliyopasuka juu na upasuaji 19 ya matatizo ya kaakaa kwa watoto ndani ya siku tano tu, huku kila upasuaji ukifanywa bila shida yoyote na hatimaye kurejesha afya na kuwapatia zawadi ya tabasamu...
  9. JamiiForums Tanzania Hela ya Mwanaume ni ngumu, usiwe na mazoea ya kuomba msaada kutoka kwa Wanaume wenzio, wengine watarudisha kupitia mke wako

    Hela ya Mwanaume ni ngumu, usiwe na mazoea ya kuomba msaada kutoka kwa Wanaume wenzio, wengine watarudisha kupitia mke wako Binadamu wanatofautiana sana, wema ni wachache, jinsia yetu ya kiume inatofautiana sana kifikra, wapo baadhi ya wenzetu fikra zao zimejikita sana kwenye ngono kwa maana...
  10. JamiiForums Tanzania Kama una kipaji cha U Mc na haujui jinsi ya kupata kipato kupitia kipaji chako waone Maduskodusko Entertainment. Wana manage Ma Mc ( Washereheshaji)

    Wewe una kipaji cha U Mc( Ushereheshaji?) Haujui jinsi ya kupata kipato kupitia kipaji chako? Kama jibu lako ni NDIO basi hii ni HABARI NJEMA Sana kwako. Maduskodusko Entertainment Promotion tuna manage Ma Mc wenye vipaji kwa kuwatafutia events mbalimbali za Ku perform ndani na nje ya jiji la...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza namiliki DSTv, lakini nimechemka kupata sauti kupitia sabufa

    Nimetoa Waya wa HDMI umeenda katika TV, na inawaka, pia nikatoa Waya wa two in one kutoka kwa king'amuzi kwenda kwa sabufa hamna sauti, tafadhali nisaidien anakosea wapi, asante wakuu nawapenda
  12. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuuza Bidhaa Kupitia Value-Based Marketing

    Jinsi ya Kuuza Bidhaa Kupitia Value-Based Marketing Katika dunia ya sasa ya ushindani wa kibiashara, njia bora ya kuuza bidhaa si kwa kushinikiza watu kununua, bali kwa kuwapa thamani kwanza. Hii ndio maana halisi ya Value-Based Marketing — mbinu ya kuuza kwa kutoa elimu, maarifa, na suluhisho...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Msiende kwa Rais kabla ya kupitia kwa IGP

    Polisi wamejipanga vizuri kuelekea uchaguzi mkuu ... Jambo hapa enzi hizo ikiitwa jambo furums mababu mnaikumbuka . Wamekamatwa wafuasi na wasiokuwa wafuasi wa CHADEMA siku ya mwanzo ya kesi ya Mheshimiwa Lisu kwa visingizio mbalimbali ,tuseme vinakubalika/havikubaliki. Kati ya habari between...
  14. JamiiForums Tanzania Ni nani anayefaidika na hizi kesi zetu Yanga huko CAS? Kuna watu wanapiga pesa kupitia huu upuuzi.

  15. JamiiForums Tanzania Ninavyosaidia brand za afya kupata wagonjwa wengi na mauzo zaidi kupitia victoria agency

    NINAVYOSAIDIA BRAND ZA AFYA KUPATA WAGONJWA WENGI NA MAUZO ZAIDI KUPITIA VICTORIA AGENCY. Unajua changamoto kubwa ya biashara za afya? Dawa nyingi za asili Herbal medicine zinasaidia sana watu wengi wanapona kwa gharama ndogo sana. Nimefanya kazi na brand za afya, Ila 👇👇 Unakuta mtoa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Majaliwa Kyara achaguliwa kuwa mgombea Urais kupitia SAU

    Mkutano Mkuu wa Chama cha Sauti ya Umma (SAU), umemchagua Bw. Majaliwa Kyara, kuwa mgombea wa nafasi ya Urais kupitia chama hicho, kwenye Uchaguzi Mkuu, unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu, wakisisitiza kauli mbiu ya chama chao Sala na Kazi, wakiamini italeta mafanikio katika...
  17. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengeneza Pesa Kupitia Personal Brand (2025 Guide)

    Katika dunia ya leo ya kidigitali, Personal Brand imekuwa moja ya njia zenye nguvu zaidi za kujitengenezea kipato. Iwe wewe ni mjasiriamali, mtaalamu wa taaluma fulani, msanii, au hata mwanafunzi — kuji-brand binafsi kunaweza kukuwezesha kuvutia fursa, wateja, na kipato kikubwa. Lakini, jinsi...
  18. JamiiForums Tanzania Pajue Iringa kwa kupitia picha

    Habari zenu wana JamiiForums, nimatumaini yangu wote ni wazima na wale wenye changamoto za hapa na pale nawaombeeni mzivuke salamaa.. Sasa basi kwakuwa jukwaa letu hili ,, linatuleta watu toka sehemu mbali mbali za nchi yetu ya Tanzania ,, leo nimeona niwaletee picha mbali mbali za mkoa wa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania NAOMBA KUULIZA FAVORS ANAZOPATA MTU MWENYE ULEMAVU KWENYE AJIRA ZA SERIKALI KUPITIA AJIRA PORTAL

    Napenda kujua Naomba kujua favor anzopata mtu mwenye ulemavu kwenye ajira za utumishi ikiwa labda kafeli oral au hata written wanamsaidiaje hapo? Nina ndugu yangu Kaomba Hz kazi za ualimu masomo ya biashara yeye kakatika mkono
  20. M

    JamiiForums Tanzania FAVOR ZA MTU MWENYE ULEMAVU KWENYE AJIRA ZA SERIKALI KUPITIA AJIRA PORTAL

    Ningependa kujua Naomba kujua favor anzopata mtu mwenye ulemavu kwenye ajira za utumishi ikiwa labda kafeli oral au hata written wanamsaidiaje hapo? Nina ndugu yangu Kaomba Hz kazi za ualimu masomo ya biashara yeye kakatika mkono
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…