kupigwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Shahidi Kesi ya Askari kumjeruhi Mtoto: Majeraha aliyokuwa nayo Mtoto yalitokana na kupigwa

    Kesi Namba 59 jinai, 2023 inayomkabili Askari wa Kituo cha Polisi Bariadi Mkoani Simiyu H.4178 Abati Benedictor anayedaiwa kumpiga hadi kumsababishia majeraha mtoto wake mwenye umri wa miaka 7 imeendelea tena Oktoba 12, 2023 katika Mahakama ya Wilaya ya Bariadi mbele ya Hakimu Mfawidhi wa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali ikague ubora wa Ujenzi wa Reli ya SGR Lot 3. Tunaandaliwa kupigwa na kitu kizito siku za usoni!

    Nimelazimika kuandika hiki ninachokiandika kwa kuwa nimeona ukimya wangu unaweza kuja "kuli-cost" Taifa baadaye na mimi nikaonekana kama sikukitendea vema kizazi changu. Naweza kusema nimesoma andiko hili nikashawishika nami kuandike kile ambacho kipo kichwani kwangu na ndio ukweli halisi...
  3. MK254

    JamiiForums Tanzania Maeneo saba yakatikiwa na umeme Urusi na kuachwa kwenye giza baada ya kupigwa bomu na Ukraine

    Warusi wanandelea kukipata pata ndani ya nchi yao.... Seven settlements in Kursk Oblast, Russia, have been left without electricity following an alleged attack by a Ukrainian drone. Source: Roman Starovoyt, Governor of Kursk Oblast, on Telegram Quote from Starovoyt: "This morning a Ukrainian...
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Picha zasambaa zikionesha uharibifu uliofanyika kwa submarine ya Urusi, baada ya kupigwa na drone

    Dunia ijiandae parefu kwenye vita vya kisasa vinavyotumia drones, yaani drone ya gharama ndogo tu inaondosha submarine/nyambizi ya gharama kubwa sana, urubani wa drones unafanywa na vijana, madogo ambao wanacheza kama kwenye video games. Waafrika tujiandae, tuache kupasua matofali kwenye...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Mkulima, Mfugaji wafariki kwa Kupigwa na Radi wakati wakisuluhishwa

    WATU wawili wakazi wa Kitongoji cha Salawe A, Kijiji cha Salawe, Kata ya Ubagwe, Halmashauri ya Ushetu, Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga, wamefariki dunia baada ya kupigwa na radi nyumbani kwa mwenyekiti akiwasuluhisha mgogoro uliokuwa ukiwakabili. Tukio hilo limetokea nyumbani kwa Mwenyekiti...
  6. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Al-Merrikh vs Yanga kupigwa Ijumaa 15/09/2023

    Kuna mashabiki watakuwa bado wapo njiani kwenda https://www.sofascore.com/young-africans-sport-club-al-merrikh/vLCsvLdb#11589251
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tuko tayari kupigwa na kubaguliwa kwa kuitetea Israel

    Mzuka Wanajamvi! Hili halipingiki. Tuko tayari kufa, kupigwa na kubaguliwa na Wa Israeli/wayahudi. Myahudi akikupiga, kukuua na kukubagua hiyo ni mibaraka. Mungu alilinde taifa teule la Israel. Pia tunawaombea kheri ndugu zetu wa Palestina kikubwa tu waitafute na waijue Kweli.
  8. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Singida: Mwenyekiti UWT Ashauri Vigodoro kupigwa Marufuku

    HABARI Mwenyekiti wa UWT Taifa Mary Chatanda, ameiomba serikali kupiga marufuku miziki inayojulikana kwa jina la vigodoro kwa kuwa imekuwa ikisababisha mmomonyoko wa maadili nchini. Akizungumza katika mkutano wa hadhara wilayani Manyoni mkoani Singida katika ziara yake ya kukagua miradi ya...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ecuador: Mgombea Urais auawa kwa kupigwa risasi

    Fernando Villavicencio ameshambuliwa wakati akitoka kwenye mkutano wa kampeni wa uchaguzi ujao wa Rais katika Mji wa Kaskazini wa Quito. Mwanasiasa huyo ambaye pia ni Mbunge baada ya kuhitimisha kampeni akiwa anelekea kupanda gari ndipo Mwanaume akajitokeza na kumpiga risasi tatu kichwani...
  10. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Kusavaivu hadi leo hii wengi wetu bila kupigwa chale tusingetoboa

    Nisikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!  Maisha haya ya kitanzania yaliyojaa dhiki, umasikini, roho mbaya, husda, vijicho, masengenyo na masimango ingekuwa ngumu sana kutoboa kimaisha kama wengi wetu tusingepita kwa kina karumanzira ili kuwekwa sawa. Kila mtu anafahamu kilichompeleka kwa...
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania Putin alia sana kwa daraja kupigwa, asema ni ukatili huo

    Huyu jamaa akili zake anazijua mwenyewe, kwamba yeye apige lakini asipigwe, akiguswa anasema wanamfanyia ukatili.... July 17 (Reuters) - Russian President Vladimir Putin said on Monday his defence ministry was preparing proposals for a response to an overnight attack that damaged the road...
  12. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Sababu za kupigwa Marufuku nchini Tanzania Mkutano wa Nabii ezekiel Ezekiel Odero toka Mombasa zatajwa .

    Mchungaji Maarufu wa kanisa la Newlife nchini Kenya, Ezekiel Odero aliyekuwa afanye mkutano mkubwa wa Injili Jijini Arusha, amezuiwa na polisi kuendelea na mkutano huo,huku sababu zikitajwa kuwa ni kupisha mlipuko wa Ugonjwa wa kuhara. "Sitisha mkutano wako na usifanye shughuli hiyo Hadi tamko...
  13. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Kupigwa na mafundi kunaepukika vipi ama kupunguzika vipi?

    Fundi ukimpata kanjanja utajenga hata nyumba iliyopaswa kugharimu milioni 50 iwe milioni 80, ndio maana huwa sishangai mtu anaposema kajenga nyumba kwa milioni 100 wakati nyumba hio hio mwengine kajenga kwa milioni 70 maeneo hayo hayo.. Maana wengi wanapoanza kujenga huwa ni wageni wa haya...
  14. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya Ngao ya Jamii hii hapa, kupigwa jijini Tanga

    Hatimae TFF wameachia ratiba ya Ngao ya Jamii kwa timu nne ambazo ni Yanga, Simba, Azam na Singida. Mechi zote kupigwa katika dimba la Mkwakwani kuanzia August. Kwa ratiba hii unamuona nani akiwa bingwa?
  15. Webabu

    JamiiForums Tanzania Marekani yaongeza vifaru vya Bradley Ukraine baada vya mwanzo kupigwa vibaya.

    Baada ya idadi kubwa ya vifaru vya Ukraine kuripuliwa miongoni mwao vikiwemo idadi kubwa ya Bradley kutoka Marekani sasa riaisi Biden ameamua kumuongezea Zelensky vifaru vingine katika vita vya kutaka kurudisha maeneo yaliyomegwa na Urusi.
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mazuzu Mkutanoni wametajiwa Kocha Mpya na Kusahau Kuuliza Maswali na Kuhoji Kupigwa Fedha nyingi

    Injinia una Akili sana yaani ulianza Kwanza kwa Kuwadanganya kuwa mmepata Faida ya Tsh Bilioni 17 na kwamba kwa Msimu ujao mtatumia Tsh Bilioni 20 na ulivyoona hujaeleweka na Wanajipanga Kukuhoji ukaona isiwe taabu. Mazuzu waliojazana Kukusikiliza Ukiwaokota ( Ukiwadanganya ) hawakujua kuwa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Chawa wa Mama ni sahihi, ila ya kupinga huduma mbovu nchini ni kupigwa virungu!

    Maandamano yanayounga juhudi za mama yameenda vizuri kabisa, hakuna virungu, matamko ya kukataza maandamano kabla, wala askari kuwa standby kukamata watu! Inakuaje kinyume watu wakitaka kuandamana ikiwa hawajaridhika na utendaji wa serikali? Kwanini waandamanaji wanachukuliwa kama wahalifu na...
  18. Nyendo

    JamiiForums Tanzania TANZIA ERICK ADAMU (Nezo B-Msanii wa Bongo Fleva) Auawa kisa kudaiwa pesa ya umeme (LUKU)

    Mwanamke anayefahamika kwa jina la Blandinda Fredi Mkazi wa Kijiji cha Ilkrevi Kata ya Olturoto Wilayani Arumeru Mkoani Arusha anatuhumiwa kumuua Erick Adam ambaye ni Msanii wa Bongofleva na Mfanyakazi wa kiwanda cha mikate chanzo kikidaiwa kuwa ni kudaiana pesa ya LUKU (umeme). Mashuhuda wa...
  19. chiembe

    JamiiForums Tanzania Askofu Pengo ana upendo na watanzania? Awamu ya tano wakati wanaokotwa kwenye viroba na kupigwa risasi hakuongea! Ni rafiki mkubwa wa Makonda

    Najiuliza sana kuhusu huyu askofu lakini makosa jibu. Askofu Pengo alikuwa mtu wa karibu sana wa waandamizi wa awamu ya tano. Wakati huo hakufungua mdomo wake kukemea chochote kile, japo baadhi ya watanzania, na pengine waumini wake aliowabatiza na kuwahibiria upendo, waliokotwa ndani ya viroba...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Uzi maalumu wa tetesi mbalimbali za usajili kuelekea msimu mpya wa ligi 2023/24

    Salaam ndugu zangu, Kama ilivyo ada katika wakati huu ligi yetu ya Tanzania inaelekea ukingoni tetesi ndiyo mahala pake. Nimeona nisogeze uzi huu wa tetesi na sajili mbalimbali ili tuweke rekodi sawa. Hivyo, uzi huu nitajitahidi kuweka baadhi ya tetesi za sajili za Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC...
Back
Top Bottom