kupigwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

    Mlinzi wa msafara amtwanga bonge ya ngumi raia mwema aliyekuwa akijumuika barabarani kwenye maombolezo ya msiba wa Lowassa Sio kwa ngumi hii aisee halafu huyu aliyepigwa inaonekana kama amekata Moto kabisa.
  2. JamiiForums Tanzania Uwanja wa JKT Tanzania pale Mbweni

    Nasikia simba watacheza apo sasa kama huo uwanja unaweza kuchezewa ligi kuu kwa nini na sisi tusicheze pale bunju upi mzuli kati ya uwanja wao na wetu
  3. JamiiForums Tanzania Je umeshawahi kupigwa kitu kizito mpaka ukasahau mbinu zako za kuiba UCHAGUZI?

    https://youtube.com/shorts/Q-lZqr4sOQM?si=tYeBkv32gKrQKx0- CCM haya ndiyo yanayokuja acheni kuliteka Taifa letu kwa MASLAHI yenu wachache. CHADEMA PEOPLE'S POWEER!!!✌️✌️✌️🤞
  4. JamiiForums Tanzania Gary Lineker: Mtangazaji wa Mechi Bora Amefuta chapisho lake mitandaoni la kuitaka Israel kupigwa marufuku kujihusisha na soka

    Nyota huyo wa zamani wa Uingereza, ambaye sasa ni mmoja wa watangazaji maarufu zaidi kwenye Kituo cha utangaji cha BBC, alituma tena chapisho la Kampeni ya Palestina ya Kususia Kielimu na Utamaduni ya Israeli (PACBI) kwenye X, ambayo zamani ilikuwa Twitter. Katika Chapisho Hilo, PACBI ilitoa...
  5. JamiiForums Tanzania Kufa kufaana; Wanakijiji wagawana nyama baada ya ng'ombe 16 kupigwa radi

    Wananchi wa Kalebezo kata ya Nyarubungo Wilaya ya Biharamulo, wakigawana kitoweo baada ya maafa ya radi kuua ng'ombe 16, mali ya Richard Daudi. Ajali hiyo ilitokea Januari 13 mwaka.
  6. JamiiForums Tanzania Iran yalalamika kwa Houthi kupigwa, ilitaka waendelee kufanya chochote bila kunyooshewa kidole

    Ajabu sana yaani, kwamba hawa magaidi wa kidini ilipaswa waachwe waendelee kulipua meli za watu bila kufanyiwa chochote, jameni Mungu tulinde sana haya mataifa ya uzombi wa kidini yasije kuwa supapawa dunia hii..... In a statement on Friday, Kanaani described the attacks on Yemen as a clear...
  7. JamiiForums Tanzania Geita: Auawa kwa kupigwa risasi wakati akichanja kuni kwenye hifadhi

    Jeshi la Polisi mkoani Geita linawashikilia Askari wanne wa maliasili kwa tuhuma za kumpiga risasi na kumuua Semeni Hamisi (34), mkazi wa Kijiji cha Nyamigota, Kata ya Nyamigota, baada ya kukutwa ndani ya Hifadhi ya Msitu wa Samina akiokota kuni za matumizi ya nyumbani. Mkuu wa Wilaya ya Geita...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Rais wa Burundi asema wapenzi wa jinsia moja wanapaswa kupigwa mawe na hilo halitakuwa uhalifu

    Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye amesema wapenzi wa jinsi moja nchini Burundi "wanapaswa kupigwa mawe" na kwamba hiyo haitakuwa uhalifu. Rais alisema hayo katika mkutano wa moja kwa moja na waandishi wa habari siku ya Ijumaa, akijibu swali la mwandishi wa habari. Alisema kuwa nchi zenye...
  9. JamiiForums Tanzania Burundi: Rais Evariste Ndamishiye asema mashoga wapigwe mawe hadharani

    Rais wa Burundi Jenerali Evariste Ndamishiye amesema anadhani inafaa mashoga wakusanywe kwenye viwanja harafu wapigwe Mawe Hadi Kufa hadharani. -- Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye amesema wapenzi wa jinsia moja nchini Burundi wanapaswa kupelekwa kwenye viwanja vya michezo na kupigwa mawe...
  10. JamiiForums Tanzania Kupigwa bomba haja kubwa kunasaidia nini?

    Huko Tanganyika nilisikiaga watu wanakamatwa na kushindiliwa mabomba kwenye haja kubwa. Wengine wakadai ati wanawashindilia wenzao mabomba ili kutoa mbegu! Katoto kakionekana ni kashoga kanadakwa haraka haraka kanapelekwa kwenye zahanati ya kijiji kushindiliwa bomba la kutoa mbegu. Kuna...
  11. JamiiForums Tanzania Marekani yapata kipigo chake cha mwanzo Red Sea. Yakiri meli yake kupigwa makombora ikihusiswa na vita vya Israel

    Pentagon imekiri meli yake ya kivita iitwayo USS Carney imepigwa kwa makombora kwenye bahari nyekundu.Vipigo hivyo vimehusishwa na vita vya Israel huko Gaza na kwamba meli nyengine za kibiashara zinazohusishwa na Israel nazo pia zimeshambuliwa. Bado haijawekwa wazi kiwango cha hasara na nani...
  12. JamiiForums Tanzania Nyimbo za Bongo Fleva kupigwa Airport ni uamuzi wa busara?

    Nyimbo za bongo fleva, kwa asilimia 96% ni matusi, chache ni matusi ya mafumbo lakini mafumbo ya wazi na za mapenzi, zile zenye maadili za kina Afande Sele, na wengine hazipendwi, za matusi zinaimbika na pia zina amsha hisia hivyo hupendwa , ndicho kitu naibu waziri ameona Watanzania wanakitaka...
  13. JamiiForums Tanzania Barabara ya Kibada mpaka Kimbiji kupigwa lami

    Serikali imesema ipo katika hatua za mwisho za maandalizi ya ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya Kibada - Mwasonga - Kimbiji yenye urefu wa KM 41 Wilayani Kigamboni, Dar es salaam. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema hayo leo akiwa Kigamboni ambapo amesema hatua hiyo ni...
  14. JamiiForums Tanzania Simba ilishawahi kupigwa 9 na Yanga

    𝗩𝗜𝗣𝗜𝗚𝗢 𝗩𝗜𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔 𝗭𝗔𝗜𝗗𝗜 Matukio na vipigo vikubwa zaidi kuanzia (5+) kwenye derby ya Kariakoo: FT: Yanga SC 9-0 Simba SC (1938) FT : Yanga SC 5-0 Simba SC (1968) ⚽⚽ Maulid Dilunga 18' Pen, 43' ⚽⚽ Salehe Zimbwe 54', 89' ⚽ Kitwana Manara 86' 𝗠p𝗶𝗿𝗮 𝗸𝘄𝗮𝗽𝗮𝗻𝗶: Tarehe 3 Machi 1969: Simba SC...
  15. JamiiForums Tanzania Mbunge ataka Bunge lisitishe shughuli zake kujadili vurugu, watu kupigwa risasi

    Bunge limeagiza Serikali kwenda haraka katika Jimbo la Kwela mkoani Rukwa kwa ajili ya kusaidia mgogoro kati ya wananchi na Taasisi ya Epheta Ministry ambao umepelekea watu kupigwa risasi. Agizo hilo limetolewa bungeni leo Junanne Novemba 7, 2023 na Mwenyekiti wa Bunge, Daniel Sillo baada ya...
  16. JamiiForums Tanzania Sipingi Rashford kuenjoy maisha, ila kwenda kuparty baada ya kupigwa goals 3, daah!

    Kiukweli jamaa kazingua. Hapo sasa ndio tuje tuelewe mentallity za wachezaji waliopo katika hiki kikosi kisichoeleweka. Yeah they lose and they do not care
  17. JamiiForums Tanzania Askari wa Israel wazidi kupukutika. Watu wa Gaza washangaa kifaru kupigwa na bunduki za RPG

    Jeshi la Israel limekiri kupoteza askari wake 15 katika masaa 24 yaliyopita.Idadi halisi ya waliokufa huenda ni zaidi ya wale 67 waliotangazwa na Hamas hapo jana. Katika taarifa za leo vikosi vya Hamas vimesema mapambano makali ya ardhini yanaendelea katika viunga vya mji wa Gaza na kwamba...
  18. JamiiForums Tanzania Kupigwa kwa kambi ya Jabaliya. Watoto wanabeba maiti za wenzao

    Kambi yaJabaliya ambayo ipo kaskazini ya Gaza ni moja ya eneo lenye msongamano mkubwa zaidi katika Gaza na mitaa yake si rahisi kupita hata gari.Kambi hiyo ni matokeo ya kufukuzwa wapalestina kutoka maeneo yao jirani na hapo mnamo mwaka 1948. Katika taarifa yake serikali ya Israel kupitia...
  19. JamiiForums Tanzania Raia wa Kawe kupigwa kininja na MPs wa kambi ya Lugalo walaumiwe Polisi kwa kukaidi kumkabidhi muuaji Kato kwa hao MPs

    Kwa kifupi sana nasema hivi kama police wa Kawe wangemkabidhi muuaji ambaye ni Kato hayo yote yasingetokea. Hii iwe ni warning kwa jeshi la police popote. Kama unabisha sawa hayo ya Kawe yatakuwa sehemu ya maisha popote pale Tanzania. It is what it is, it pains but swallow it the hard way...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa ngumi ni wa kupigwa marufuku duniani

    Huu mchezo sio kabisa na hata kuita mchezo ni makosa kabisa. Watu wanaumizana huku wengine wanashangilia halafu eti unaitwa mchezo. Najua ngumi ni biashara kubwa duniani na ni ajira kwa watu wengi ukiacha mabondia wenyewe, ila ukweli unabaki pale pale kuwa huu mchezo haufai kabisa. Bahati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…