kupigwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Webabu

    Marekani kushindwa vita kulianza kwa meli zake zilizoingia vitani kwa kishindo kupigwa,ikafuatia kudondoshwa kwa ndege ya F 35 na kupigwa Dimona

    Ile meli ya kubeba ndege ya Abraham Lincolin imekuwa haitajwi muda mrefu japo Marekani imekanusha kuzamishwa kwake. Kwa meli kubwa kuliko zote ya Gerald Ford wamekubali kuwa moto mkubwa ulizuka na ikabidi kuiondosha kwenye uwanja wa vita siku chache kiwanda cha kusafishia mafuta cha Haifa...
  2. tpaul

    Patrice Motsepe kupigwa chini CAF kwa sababu ya kujihusisha na ufisadi

    Ni suala la muda tu. Rais wa CAF bilionea Patrice Motsepe yupo kikaangoni baada ya kuhusishwa na ufisadi wa kutisha ndani ya CAF. Wafuatiliaji wa kiintelejensia waliotega mitambo yao ndani ya shirikisho hilo wamegundua ufisadi wa kutisha unaomhusisha Motsepe moja kwa moja, akishirikiana na ofisa...
  3. Traxtion

    Taliban yaruhusu wanawake kupigwa ila wasivunjwe mifupa au kupata majeraha

    Kiongozi mkuu wa Taliban, Hibatullah Akhundzada amesaini sheria mpya ya adhabu nchini Afghanistan ambayo inaruhusu wanaume kuwapiga wake na watoto wao, isipo kuwa vipigo hivyo havisababishi kuvunjika kwa mifupa kwenye miili yao. Aidha mazingira ya kisheria kwa wanawake yamezidi kuwa magumu...
  4. Traxtion

    Mtoto wa miaka 13 aomba msaada wa matibabu kutokana na majeraha aliyopata kwa kupigwa risasi October 29

    Mtoto wa miaka 13, Angel Wariael Noel, ambaye alipata madhara kutokana na tukio la Oktoba 29, kwa kupigwa risasi ya bega iliyomuathiri uti wa mgongo na kumsababishia ulemavu wa miguu. Familia yake inawaomba wadau na watu watakaoguswa kuchangia ili kumsaidia kumudu gharama za matibabu na...
  5. Kipenzi Changu

    Tujadili; Mwanaume kamili unaruhusuje kupigwa na mkeo/mpenzi wako

    Kwa wanaome wanaopigwa na wake au wapenzi wao. Nini kinatokea mpaka mpaka mwanamke anakuwa na mamlaka ya kutoa kichapo? Mwanaume anakula mpole sana, hana nguvu wala uwezo wa kuhimili piga nikupige au ana huruma? Au anazingatia sana sheria hataki kufanya violence?! Naona ni kitu cha kushangaza sana.
  6. Joshua Mbezi

    Sababu Za Iran Kupigwa Tayari Zimepatikana Sasa Ni Suala La Muda;

    Mawaziri wa mambo ya nje wa Umoja wa Ulaya wamekubaliana kulitangaza jeshi la Walinzi wa Mapinduzi la Iran (IRGC) kuwa ni kundi la kigaidi. Akizungumza mjini Brussels wakati wa mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa EU, Mkuu wa sera za kigeni wa umoja huo Kaja Kallas amesema “utawala wowote...
  7. Allen Kilewella

    Kwa nini wanaoipinga CCM hutishiwa kubakwa,kulawitiwa,kuuawa au kupigwa?

    Miaka nenda miaka rudi CHADEMA imekuwa ikibagazwa kwa kila staili lakini sijawahi kusikia kuwa mtu yeyote akitishiwa kuuawa au kuteswa kwa namna yoyote ile na watu wa CHADEMA. Lakini ni jambo la kawaida kabisa kwa wana CCM kutishia kufanyia watu uovu watu hao wanapoikosoa CCM. Kwa nini wana...
  8. Genius Man

    Serikali haramu ikipiga tu picha na kiongozi wa US au ulaya utaona tambo kibao halafu kesho yake wanawanakataa na kupigwa spana yani ni machizi

    Serikali haramu ikipiga tu picha na kiongozi wa US au ulaya utaona tambo kibao halafu kesho yake wanawanakataa na kupigwa spana yani ni machizi . Wanajaribu kupiga picha na watu wa ulaya na US ili kututia viini macho bahati nzuri wazungu wamesha washtukia wanawakataa na kuwapiga spana hawa...
  9. K

    Wachungaji wadai kuvamiwa na kupigwa na vijana kwa kukataa mila, Arusha

    Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste mkoani Arusha, jana Desemba 13, 2025 ulifanya kikao cha dharura katika Kanisa la ARCC Sakina, kujadili madai ya Vitendo vya Unyanyasaji vinavyodaiwa kufanywa na baadhi ya Vijana wa jamii ya Kimaasai, dhidi ya Wachungaji wa Makanisa ya Kipentekoste, Wake zao na...
  10. Kaunara

    Nimenusurika Kupigwa Risasi na Polisi usiku huu

    Nimeumia sana ndani ya moyo wangu. Dk 45 zilizopita nilikuwa na mke na mtoto wa miezi sita tumetoka pharmacy kuchukua dawa na gari. Sababu za kiusalama siwezi taja ni sehemu gani. Navyorudi nikapaki kwenye duka pembeni ya barabara nilikuwa na kiu. Baada ya kupaki wife nae akawa ananiagiza...
  11. M

    PostGE2025 Wahadhiri wa Kiislam: Mwigulu Nchemba ameanza kupigwa fitina kwasababu siyo Mkatoliki

    Sheikh anasema kwasababu Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba siyo Mkatoliki zimeanza kuibuka fitina mbalimbali na kupigwa vita kutoka kwa Wakatoliki ili kumtoa kwenye reli
  12. curie

    Siku ccm walishindwa kusoma alama za nyakati na kupigwa chini.HAAMINI

    Bado hamshtuki kuwa @ChademaTZ2 ya sasa haina followers Bali diehards Bado mnaamini mbinu za kamata kamata bambikia kesi zitakuwa suluhisho ?
  13. Ojuolegbha

    Serikali yapokea msaada wa magari mawili kutoka Qatar kwa ajili ya kuhudumia viongozi wanaokuja nchini

    𝗪𝗮𝘇𝗶𝗿𝗶 𝗞𝗼𝗺𝗯𝗼 𝗮𝗽𝗼𝗸𝗲𝗮 𝗺𝗮𝗴𝗮𝗿𝗶 𝗺𝗮𝘄𝗶𝗹𝗶 𝗸𝘂𝘁𝗼𝗸𝗮 𝗤𝗮𝘁𝗮𝗿 Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imepokea magari mawili aina ya Land Cruiser Prado kutoka Taifa la Qatar kwa ajili ya kuhudumia viongozi wanaokuja kwa ziara za kitaifa na kikazi nchini. Qatar kama mshirika wa maendeleo ya...
  14. Teslarati

    PostGE2025 Wale ma-feminist uchwara wa women rights mbona mpo kimya? CNN wamethibitisha Mama mjamzito kupigwa risasi hadi kifo

    Ndio maana kuna jamaa aliwahi niambia hawa wanaojidai wanatetea haki za wanawake lengo lao kubwa ni kumdidimiza mwanaume tu. Na ndio maana wanakua kiherehere kuingilia mambo ya familia za watu na kukuza ugomvi kati ya mme na mke. Haya leo mwanamke mwenzenu ameshiriki kufanya mwanamke mwenzake...
  15. M

    Dar: Mwandishi Maneno Selanyika aliuawa kwa kupigwa risasi akiwa kwake

    Alikuwa hajasikia tangazo la Polisi la mwisho kutoka nje saa 12 jioni, akaenda kununua mkate... Majirani wanasema mtoto alilia juice akaenda kumnunulia, akapigwa risasi kifuani. Marehemu alikuwa nyumbani kwake, Mbezi Luis. Hadi jana jioni, bado mwili ulikuwa uko chumba cha kuhifadhia maiti...
  16. M

    THRDC Walaani mwandishi wa Watetezi TV kukamatwa na kupigwa akiwa kazini

    Mwandishi wa Habari wa Kituo Cha Watetezi TV, kinachorusha matukio ya ukiukwaji wa Haki za Binadamu na kinachomilikiwa na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) Ndugu JAHA Harith, Aliyechukuliwa tarehe 31/10/2025 na askari waliovalia kijeshi wakatiwa maandamano amepatikana ametupwa...
  17. M

    Vijana wanakusanywa mitaani na kupigwa risasi

    Please please ndugu saidieni. Maeneo mbalimbali ya Ilala Boma shule na sehemu zingine za Dar vijana wanakusanywa barabarani na kufungwa mikono kisha wanapigwa risasi. Pia kuna taarifa vijana walioumia wapo hospitalini wanakusanywa na kwenda kuwaua. Kuna hatari sana usiku. Yale ya Janjaweed...
  18. M

    Spika wa zamani wa Ukraine auwawa kwa kupigwa risasi

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kimataifa/aliyekuwa-spika-bunge-la-ukraine-auawa-kwa-kupigwa-risasi-5173452
  19. Zemanda

    Vijana m'meona tukio la binti wa UDSM kupigwa na mchumba wake?

    Nazungmzia tukio hili ambalo hadi sasa bado tunasikilizia mrejesho wa kamanda wa jeshi la polisi huko morogoro atupe kisa kizima cha mchumba wa binti huyu kufanyiwa mashambulizi kadhaa ya kimwili. Kwanza niweke bayana kuwa violence dhidi ya wanawake ambao physically ni dhaifu kwa mwanaume si...
  20. W

    GE2025 Kura ya Awali kupigwa Oktoba 28, 2025 Zanzibar

    Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imetangaza ratiba ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kumchagua Rais wa Zanzibar, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi pamoja na Madiwani. Akizungumza leo Agosti 18, Mwenyekiti wa ZEC Jaji George J. Kazi amesema kwa mamlaka aliyopewa chini ya kifungu cha 34(3) na (4)...
Back
Top Bottom