kupiga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Namba za kupiga na kutambua kama Simu yako imehakiwa au inafuatiliwa, kuibiwa n.k

    Umewahi kukutana janga la simu yako kufuatiliwa au kuingiliwa mawasiliano yako bila wewe kujua? Basi sasa unaweza kufuta ufuatiliaji wowote uliofanywa kwenye simu yako kwa kujua au kutojua. Pia kama umeibiwa simu yako unaweza kujua taarifa zake kwa urahisi zaidi. Kujua namba ya utambuzi wa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kufika mshindo

    Mimi nina miaka 40 na ushee, miaka mitano iliyopita nilipata tatizo la kutokurudia tendo yaani nikipiga goli langu moja basi mpaka kesho. Sasa mwezi mmoja uliyopita limeibuka tatizo lingine nikiwa KWENYE sex sikojoi yaan nafanyaa... halafu dushe linawyeaaa hapo ndio basi mpaka kesho tena...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ifanye maamuzi magumu ya kupiga marufuku bodaboda mjini, zitumike vijijini ili kupungiza ajali au iweke kodi kubwa

    Leo hii kuna ajali imetokoe huko. Misungwi ambapo bodaboda zinazodaiwa kuwa katika mwendo wa kasi zimegongana na waliokuwa kwenye hizo pikipi kuungua moto vibaya sana ingawa wanacnhi waliwaokoa kwa kuwamwagia mchanga. na sidhani kama wote wame-survuve (mtu anaangua kama nyama iliyowekwa kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanaye mkuu wa HAMAS aomba Israel isisitishe mpango wa kupiga Rafah, papigwe haswa

    Asema Israel iache kuskliza makelele ya dunia, pigaaaa!!!! Mosab Hassan Yousef, the disowned son of a Hamas co-founder Sheikh Hassan Yousef, appeared on Piers Morgan Uncensored on Tuesday, where he defended his stance that a Rafah operation was essential for defeating Hamas. Yousef insisted...
  5. JamiiForums Tanzania Aliniambia hana hisia na mimi ila sasa hivi hachoki kupiga simu

    Wakuu kwema? Nilikua na muhusiano na mwanamke mmoja hivi.. ikatokea siku tuligombana akanitamkia maneno kadhaa ambayo yalichoma moyo wangu sana. "sina hisia na wewe" ".sijawahi kukupenda" "Nina bwana angu nampenda" "Siku uliyonitongoza sio kwamba nilikua Sina mtu na mpaka Sasa hivi Niko naye"...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na chini ya milioni 100 ni heri uiweke fixed account, Kujenga nyumba ya kukodisha ni ngumu kupiga hatua

    Umenunua kiwanja ukaanza kujenga nyumba from scraatch kwa milioni 100 unakuja kukodisha kwa laki 2 na nusu, hicho kiasi ni ngumu kukupigisha hatua, ni pesa itayokuwa inaishia kwenye bills za mwezi, hapo kumbuka kuna muda nyumba inaweza isiwe na mpangaji ama mpangaji akawa msumbufu, Ukiweka pesa...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna msanii mkali wa kupiga live kama Frida Amani?

    Hii live show ya Frida Amani ni ya level za kimataifa sana. Msanii gani mwingine anaweza kupiga live kwa level hizi? https://youtu.be/vamUjgmitOo?si=lkBx8muRD9w-b2ek
  8. JamiiForums Tanzania Vietnam waonyesha njia, fisadi wa kike ahukumiwa kifo baada ya kupiga dola bilioni 12.5 ambazo ni asilimia 3 ya pato la Taifa

    Mwanamke mmoja wa Vietnam mfanyabiashara tajiri wa kutupwa anefanya biashara ya kuuza nyumba na majengo (Estate and property Developer) amehukumiwa kifo baada ya kupiga fedha kiasi cha dola bilioni 12.5 Katika kesi kubwa ya ufisadi na upigaji ilomkabili mwanamke huyo Truong My Lan, imedaiwa...
  9. JamiiForums Tanzania Yahusu kupiga search suruali pale unaponasa

    Pasaka na eid wake zimepita kibabe na kutuachia majeraha mifukoni kila unayethubutu kumpiga kizinga anakutolea nje visingizio vikiwa ni ada,kuumwa na mvua. Bado una nafasi ebu nenda kafanye ukaguzi kwenye mikoba na mabegi na nguo zako huenda ukabahatika Kama ambavyo mimi leo Mungu hajanitupa...
  10. JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG. Tunaishia kupiga kelele na hatuna la kuwafanya. Kuna ukweli...

    Kibonzo cha msanii Massoud Kipanya kinafumbua fumbo lisilojadilika. Nani mwenye uthubutu? Hata Rais mwenyewe anaonekana kuvuta miguu kwenye kuwachukulia hatua wabadhirifu waliotajwa kuhusika na ukwapuaji wa fedha za umma. Tutafakari pamoja..... Je, tunajadili kama wananchi kwa lengo gani...
  11. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa wazee wa kupiga deki

  12. JamiiForums Tanzania Siri yafichuka, Israel imepania kupiga vinu vya nyuklia iwapo Iran itafanya chochote

    Israel walipiga ubalozi wakijua Iran itaingia kwenye mtego wa kujaribu kulipa kisasi, ambapo hao Israel walitaka watumie fursa hiyo kutatua issue ya Iran kuendelea kuzalisha nyuklia, walipania kupiga vinu vyote hapo Iran. Iran washashtukia mchezo hivyo wameufyata maana hamna namna...
  13. JamiiForums Tanzania Mara yako ya mwisho kupiga kura ilikuwa mwaka gani? Kwanini?

    Kuna watu wamepoteza ari ya kupiga kura kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu. Wapo wanaosema waliacha kwa kuwa hawana imani kama kura wanazipiga ndizo zinaamua mshindi, wanaona kama uchaguzi ni kiini macho tu hivyo wamekata tamaa ya kushiriki. Wengine wakidai wanajichosha...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Mambo ya Ndani badikikeni; tumieni mifumo ya TEHAMA acheni kupiga fedha kwa kutufolenisha kusajili taasisi na magroup ya whatsApp

    Tanzania sijui ni nani amewaloga watumishi wa umma. Kila wakikaa ofisini wanatafuta namna ya kuwafanya watu wasiende kuzalisha badala yake wakapange foleni kubishana na watumishi husika. Tanzania watu wanaopanga kujikwamua kiuchumi lazima wanaripoti ofisi zifautazo kwa lengo la kuendesha...
  15. JamiiForums Tanzania Wakamatwa kwenye msikiti wa Al-Aqsa kwa kupiga makelele ya kusifu HAMAS

    Israel wako makini sana, yaani fanya ibada na matambiko yako kwa amani, ukikiuka kidogo unatiwa ndani..... Israel Police arrested four residents of east Jerusalem and four residents of northern Israel for chanting in support of Hamas and inciting violence on the Temple Mount during dawn prayers...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna uhuni Mkubwa, Dawa ya kumsaidia mtu kuacha kupiga Punyeto? imekaaje?

    Wale jamaa wanaojichukulia sheria mkononi, wanaopenda kucheza Pool. wanaopiga punyeto. kuna dawa eti inazuia mtu asifanye hilo jambo. maswali yangu 1. Punyeto ni ugonjwa gani? 2. Nini kinasababisha mtu aoige punyeto? 3. Inaenda kutibu nini hiyo dawa? Kuna wauzaji wa dawa hizi za supplement wana...
  17. JamiiForums Tanzania Iran inajiandaa kupiga ndani ya Israel kwa masaa 48 yajayo

    Ripoti za kiuchunguzi za CIA zinaeleza kuwa Iran inaendelea kujiandaa na mashambulizi ya drones ndani ya Israel hasa kwenye maeneo yake ya viwanja vya ndege na kambi za jeshi... Wakati haya yakijiri Huko Iran na Israel nao kupitia waziri wa ulinzi bwana GALLANT amesema kuwa "vikosi vyetu vipo...
  18. JamiiForums Tanzania Makundi saba Gaza bado yaendeleza vita. Israel yajikuta ikilazimika kurudia kupigana maeneo yale yale iliyoyabomoa mwanzo

    Makombora kadhaa yamerushwa nchini Israel kutoka Gaza katika namna inayoiumiza kichwa mbabe huyo wa dunia. Maeneo yaliyopigwa ikiwa ni karibu ya mwezi wa sita tangu vita vianze ni pamoja na Ashdod na Isderot. Habari hizo kutoka kwa kundi la Alqassam zimethibitishwa na Israel yenyewe pamoja na...
  19. JamiiForums Tanzania Urusi yatangaza Rasmi kupiga hatua zaidi kuisadia Palestine

    Baada ya shambulio la kigaidi liilofanywa huko Moscow na Magaidi wa Ukraine, Israel na Marekani, Sasa Rasmi Urusi inaunga Palestine na kuanza kutoa msaada wa kila aina.... ngoja tuone kifuatacho. 🇷🇺🇵🇸 President Putin says that Russia will take "new steps" to support Palestine.
  20. JamiiForums Tanzania Msaada Tafadhali: AC ya Toyota Alphard kupiga kelele

    Nimetembelea mkoa wa Mtwara, nikiwa na gari aina ya Toyota Alphard. Changamoto inayonileta mbele yenu ni kwamba AC inapiga sana kelele kiasi kwamba huwezi kuvumilia. Naomba msaada nijulishwe tatizo, ili nikienda kwa fundi asinibabaishe na kuni over charge.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…