kupiga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dkt. Godwin Mollel na Diamond Platnumz wakionyeshana uwezo kupiga Push Up

    Naibu Waziri wa Afya Dkt Godwin Mollel (katikati) pamoja na msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz walivyopiga Push Up huku Hamis Mwinjuma (Mwana FA) akiwatazama. Soma pia: Wananchi jimbo la Siha wambeba juu kwa juu Mbunge Dkt. Godwin Mollel
  2. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Swali: Kama askari wa Tanzania hawawezi kupiga risasi 32 na kukosa shabaha. Kwa nini Tigo walitoa taarifa za Lissu kwa maafisa wa serikali?

    Simple mathematics
  3. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Kagera: Mwalimu ampiga mpaka kuua mwanafunzi wa kidato cha tatu aliyevunja mlango wa nyumba yake ili kuiba simu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linamshikilia Mwalimu wa Shule ya Msingi Igurwa, Adrian Tinchwa (36) kwa tuhuma za kumuua, Phares Buberwa mwanafunzi wa kidato cha tatu Shule ya Sekondari Igurwa. Taarifa iliyotolewa jana Jumanne Septemba 24, 2024 na Kamanda wa Polisi mkoani humo, Blasius Chatanda...
  4. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ruvuma: Naibu Waziri na Madiwani Mbinga wamshukuru Rais Samia kwa kuimba na kupiga magoti

    Salam Wakuu, Aisee tunawasema akina Mwijaku kila mara kuwa chawa utafikiri hawana ubongo, kubwa zaidi ni viongozi wa CCM. Aisee, na Rais anashukuru kabisa, kukubali yeye kajenga miradi, yeye katoa hela, etc. Bila wananchi kulipa kodi zingtoka wapi? Pia soma...
  5. farfat

    JamiiForums Tanzania Mnaishi vipi na Mwanamke anayekupangia siku za kupiga shoo?

    Kwa zaidi ya miezi 5 nimepewa shoo mara tano wastani wa kila mwezi mara moja na hata shoo nikipewa inakuwa chini ya kiwango tofauti na muda tulikaa bila kufanya... najionea mauza uza.. Sasa basi na mimi nimepanga akinitaka yeye kama kawaida yake nimkazie mchezo tuone itakuwaje sijui nitajenga...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kenya: Kanisa lapewa onyo kwa kupiga kelele usiku, waenda na kipimo alfajiri

    Baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa raia Mkuu wa Idara ya Mazingira Geoffrey Mosiria, ameliomba moja ya kanisa nchini Kenya, kudhibiti kiwango cha kelele ili kuepuka usumbufu kwa jamii. Mosiria amesisitiza umuhimu wa kanisa hilo kuhakikisha kuwa viwango vya kelele vinazingatia sheria na...
  7. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Kwanini Unahitaji Mastermind Group Ili Uweze Kupiga Hatua Kubwa Kwenye Uwekezaji Wa Ardhi au Majengo

    Kwanini Unahitaji Mastermind Group Ili Uweze Kupiga Hatua Kubwa Kwenye Uwekezaji Wa Ardhi au Majengo Katika safari ya uwekezaji kwenye majengo, kuwa na Mastermind Group ni muhimu sana kwa sababu ya faida nyingi ambazo kundi hili linaweza kuleta. Mastermind Group ni kundi la watu wenye malengo...
  8. danhoport

    JamiiForums Tanzania Ni halali kwa raia wa kawaida kumiliki torch ya kupiga shoti?

    Kuna hii torch ya shoti(pichani) nataka niinunue, je kuna hatua zozote za kufata kama vile kumiliki bastora?. Hii torch ina 30000K Volt kazi yake kubwa ni kupiga shoti nahitaji kuimiliki kwa ajili ya ulinzi binafsi
  9. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Mwanawake: Kwani haiwezekani kupiga Picha bila kuonesha makalio?

    Kila nikipita kwenye mitandao kuanzia Instagram, Twitter ( X ), Facebook n.k kote huko kwa asilimia kubwa unakuta Picha au clip ya demu akionesha makalio bila aibu Sasa najiuliza ni matangazo au ni Nini???, au ndio Dunia unaelekea mwishoni??? Wengine mpk skuizi wanaenda kufanya upasuaji (...
  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kupiga simu zaidi ya mara mbili inakera sana

    Upo kwenye shughuli yeyote inayokunyima uhuru wa kupokea simu Upo kazini busy na kazi kiasi cha kuepuka kupokea simu binafsi kwa sababu ni muda wa kumtumikia mwajiri ukihudumia wateja wake Umeamua kuchukua muda wa kupumzika, umechagua kutokusikiliza yeyote ili uache akili yako ipate utulivu...
  11. Tulimumu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa yaliyotokea 2015, 2019 na 2020 na yanayoendelea nimekata tamaa ya kupiga kura kabisa kama kuna ushauri wa kisaikolojia naomba nisaidiwe

    Uchafu na dhuruma za uchaguzi mkuu wa 2015 wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu wa 2020 na kinachoendelea sasa dhidi ya wapinzani, utekaji, kupoteza watu na usanii wa 4R na kinachoitwa tume huru ya uchaguzi nimeamua sipigi kura tena kwakuwa ni kupoteza muda na nguvu. Chaguzi zenye haki...
  12. N

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mashine ya kupiga dawa inauzwa, bei 230000/

    Mashine ni mpya kabisa,haijatumika. Inafaa kupiga dawa kwenye magugu na kukupiga kwenye miti (mikorosho,miembe n.k) na mazao mbalimbali kuzuia kuvu na wadudu.Na pia kupiga dawa maghalani ,maofisini,majumbani. Inaweza kutumia sulphur ya unga na dawa za maji. Ina ujazo wa lita 20 na inatumia...
  13. Nyendo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA: Tutafungua kesi dhidi ya Sisty Nyahoza na Awadh Haji juu ya kukamatwa na kupigwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA

    Baada ya Viongozi na wanachama wa CHADEMA kukamatwa na Jeshi la Polisi Agosti 11, 2024 walipokuwa wakielekea Jijini Mbeya kwenye kongamano la Vijana Duniani na kisha kuanza kuachiwa kuanzia 12 Agosti 2024 kwa kile polisi walichodai kuwa walitaka kuharibu amani ya nchi...
  14. Webabu

    JamiiForums Tanzania Roketi za Hizbullah zatajwa kuilemaza mitambo ya kujilinda ya Israel, ndio maana zimepenya na kupiga maeneo ya Israel

    Wakati vita vikali baina ya jeshi la Israel na majeshi washirika wa Iran vikikaribia,imetajwa kuwa mashambulizi ya mara kwa mara ya Hizbullah kuzilenga rada na vituo vya ulinzi wa anga vya Israel kumeleta athari kubwa kwa Israel kujilinda kutokana na maroketi yanayorushwa na kundi hilo kutoka...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Coastal union inaenda CAF confederation hata pasi tano kupiga kwa pamoja haiwezi, noma sana

    Today I just watched the worst match among top teams in Tanzania. Coastal Union can't coordinate 5 passes, and today it's going to CAF. And do what? Singida or KMC could have done a better job. This is probably the worst team to go for CAF Confederation in Tanzania in recent years. TFF should...
  16. Mmawia

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Abubakari Asenga, wana Ifakara hatukukutuma kupiga magoti, kuanzia leo tafuta kazi nyingine hutufai

    MBUNGE wetu sisi wana IFAKARA hatukukutuma kupiga magoti. Kuanzia leo hii anza kutafuta kazi NYINGINE maana kwa ubunge basi. Mbunge Abubakari Asenga ameonekana akipiga magoti kushukuru KUJENGEWA barabara ya lami kutoka Kidatu hadi Ifakara. Siamini kama mbunge kama huyu anajua wajibu wake hapo...
  17. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Asiyepiga kura hana haki ya kuhoji wizi wa kura, tujitokeze 2024 na 2025 kupiga kura na kuzilinda

    Salaam, Shalom!! Nachukua wasaa huu kuwaamsha wote waliokata tamaa, wote walioapa hadharani kuwa hawatashiriki kupiga kura wengine wakachoma kadi za kupigia kura, baada ya matumaini Yao ya kumuona ndugu Edward Lowwassa anakuwa Rais wa nchi 2015 kupotea. Uchaguzi wa 2020 pia ulichagizwa na...
  18. Mwafrika mmoja

    JamiiForums Tanzania Mchongo wa kupiga pesa $350 Fiverr ndani ya mwezi

    Habarini wadau, ni wajiu wetu sisi vijana kupeana fursa za namna ya kutafuta pesa online kulingana na namna ulimwengu unavyokua kwa kasi. Tusitumie bando kufurahi tu bali tuingize pesa. Siku hizi fursa za kupiga pesa mtandaoni zipo nyingi, ikiwemo hii ya freelancing ambayo unatumia ujuzi wako...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi Kombe la Timu Nne na la Wiki Moja tu linaweza kufanya Mashabiki Wehu wafurike 'AINJ' Usiku kwenda kupiga Kelele na kuipokea Timu huku Wakiiba?

    Yawezekana au Nahisi huenda Mamlaka inayohusika na kupima Akili timamu ( Afya ya Akili ) za Mashabiki wa Vilabu barani Afrika kuna Klabu moja itajikuta / itakuwa ndiyo Kinara wa kuwa na Mashabiki si tu Washamba ( Madunduka ) bali kwa 98% wana matatizo ya Akili ( Psychopaths ) ANGALIZO Nimesema...
  20. Mystery

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awaonya wateule wake, wasitumie madaraka yao "kupiga" pesa

    Rais Samia amewaonya vikali wateule wake, aliowateua majuzi, kuwa wasitumie madaraka yao kupiga "dili" za pesa, badala yake akawaambia ya kuwa wanatakiwa kufanya kazi Kwa weledi mkubwa na kuwatumikia wananchi Kwa uaminifu mkubwa. Aliyatamka hayo maneno wakati akiwaapisha jana jijini Dar. Rais...
Back
Top Bottom