kupiga kura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza asema kupiga kura katika mfumo wetu wa uchaguzi ni kupoteza muda. Bila mageuzi ni sawa na kutokuwa na uchaguzi

    Askofu Kalikawe Benson Bagonza anasema kama mfumo hautafanyiwa marekebisho itakuwa ni sawa na hakuna uchaguzi. Askofu anasisitiza kwamba kwenda kupiga kura is a wastage of time. Sikiliza mahojiano yake hapa chini. https://www.youtube.com/watch?v=NaZiUuUBAv4
  2. Tman900

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bila Nguvu ya Dola na Mfumo, Watu Wengi wangejitokeza kupiga kura

    Bila Nguvu ya Dola na Mfumo, Watu Wengi wangejitokeza kupiga kura, na Kwa Jinsi mambo yalivyo, like Box la kupigia kula lingepewa Heshima inayo stahili. Pia soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
  3. dorge

    JamiiForums Tanzania Kupiga kura katika jamii ambazo zinagombania madaraka

    Siwez kujihangaisha. Nipige wajihalalishie Tonge wakati mimi nateseka. Marekani ukipiga kura ina impact kubwa kwa taifa
  4. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuanza mchakato wa kugawa na kubadili Majina ya Majimbo kuanzia Februari 27, 2025

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kuanza kwa mchakato wa kuchunguza na kugawa au kubadili majina ya majimbo ya uchaguzi ambapo itapokea mapendekezo kuanzia tarehe 27 Februari, 2025 hadi tarehe 26 Machi, 2025. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mjumbe wa INEC, Jaji wa Mahakama Kuu, Asina Omari: Wasimamizi wa maboresho ya Daftari la Kupiga Kura mfanye kazi kwa uadilifu

    Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama Kuu, Asina Omari, amewataka watendaji wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ngazi ya Halmashauri, katika Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli mkoani Tanga, kusoma maelekezo ya Tume kupitia vitabu vya maelekezo walivyopewa ili...
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watanzania msikubali kubabaishwa au kurubuniwa fikra, uhuru, pesa na haki zenu za kikatiba za kupiga kura, uchaguzi mkuu Mwaka huu2025

    Huu ni wito wangu kwa wadau wote wa JF na waTanzania wenzangu wote. Uchaguzi mkuu wa Tanzania utafanyika mwaka huu October 2025. Uchaguzi huu ni kwa mujibu wa sheria na katiba ya Tanzania. Asitokee kibaka au tapeli wa kisiasa, eti kwa maslahi yake binafsi na familia yake, akawadanganya kwamba...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Stephen Wasira: Demokrasia haipimwi kwa asilimia ya ushindi bali kwa watu kupiga kura kwa uhuru

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wassira amesema uwepo wa demokrasia haupimwi kwa asilimia ya ushindi wa chama kinachopata bali inasimamiwa kwa watu kupiga kura kwa uhuru huku akisisitiza kushinda au kushindwa ni demokrasia pia. Soma pia: Pre GE2025 Special Thread...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Mwinyi awahimiza WanaCCM na wananchi wengine wote kutokuacha kupiga kura siku ya uchaguzi mkuu

    "Napenda nichukue fursa hii kutoa wito kwa ndugu zetu nyote mliopo hapa, wananchi wote, wanaCCM, wapenzi, wakereketwa kuna jambo moja bado hatujalifanya vizuri nalo ni kujitokeza kwenda kuga kura siku yenyewe ya uchaguzi, tumefanya uandikishaji haitoshi sasa tuna kazi ya kwenda kuwatoa watu...
  9. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Njia pekee ya wapinzani kuingia Ikulu ni kupata idadi kubwa ya wabunge kisha kupiga kura ya kutokuwa na imani na Rais

    Vyama pinzani wasipoteze muda kusimamisha mgombea wa nafasi ya urais badala yake wapambane juu chini kupata wabunge wengi sana. Wakiwa na idadi kubwa ya wabunge bila shaka kuna watakao penya mpaka nafasi ya uwaziri. Baada ya hapo wakiona rais atakayekuwa madarakani hatoshi basi wapige kura ya...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba kujua aina ya maswali ya interview kazi za kuandikisha wapiga kura

    Wakubwa, naomba kufahamu. Nimteuliwa kwenye usaili wa kazi ya kuandikisha wakati wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Naomba mbinu na ufahamu kuhusu aina ya maswali wanayouliza. Nitashukuru.
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Haki ya kupiga kura haishii kwenye tendo la kupiga kura

    Haki ya kupiga kura ni mojawapo ya haki za msingi za kiraia inayowapa raia uwezo wa kushiriki katika mchakato wa kidemokrasia kwa kuchagua viongozi wao na kushiriki katika maamuzi ya serikali. Haki hii ni muhimu katika kuhakikisha usawa, uwajibikaji, na ushirikishwaji wa wananchi katika utawala...
  12. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mfumo mpya wa kupiga na kuhesabu Kura

    Habari wakuu. Hili ni pendekezo kwa serikali na wadau binafsi kuelekea uchaguzi mkuu mwezi october Kutokana na changamoto ya miongo mingi na malalamiko ya wananchi, mataifa ya nje ya africa, africa na hata majilani ndani ya east africa kuwa uchaguzi haufanyiki tanzania kwa haki, isipokuwa ni...
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Wajumbe Wapiga kura katika Uchaguzi wa CHADEMA wanasinzia sana ukumbini kulikoni?

    Halafu mbona bado mapema sana my friends, ladies and gentlemen? Yaani wamepoteza umakini kabisa. Au kuna kitu wamekula au kunywa kinawafanya kusinzia kwa pamoja? Na inaruhusiwa kufanya hivyo kwenye jambo muhimu kama hili? Au ni njaa ndungu zangu? Si wapatiwe chochote kitu basi? Au ni uchovu wa...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Jumla ya wajumbe wanaoenda kupiga kura ni 996, zoezi la kupiga kura linaanza muda wowote kuanzia sasa

    Shughuli za uhakiki wa wajumbe wa mkutano mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) zimefanyika na kufikia muwafaka wa kupata idadi kamili Ambapo Idadi ya wajumbe wanaoenda kupiga kura mpaka kufikia hatua ya sasa waliokamilisha uhakiki 118 - Kaskazini 91 kati 69 pwani Viktoria 81...
  15. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mjumbe wa mkutano mkuu CHADEMA alia kunyang'anywa uhalali wa kupiga kura kwenye Uchaguzi. Amtaja Wenje na Kigaila

    Wakuu, Sarakasi za Uchaguzi wa CHADEMA zinaendelea kuwa moto. Akiwa anaongea siku ya leo, moja ya mjumbe wa mkutano mkuu CHADEMA aliyrjitambulisha kama Wilfred Alfred Mgina amesema kuwa amenyang'anywa uhalali wa kupiga kura kwenye Uchaguzi na nafasi yake kupewa mtu mwingine. Wilfred amesema...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Wajumbe wanaomuunga mkono Lissu wanyimwa vitambulisho ili kesho washindwe kufika mkutanoni, kipigo kizito kimeahidiwa kwa wasiofuata utaratibu

    Kigaila kawanyima baadhi ya wajumbe vitambulisho makao makuu, Mikocheni. Amewaambia warudi kesho asubuhi. Wengi ya walio nyimwa vitambulisho ni kutoka maeneo yaliyo onyesha upande. Kigaila anaendelea kufanya uhuni ule ule alioufunya kwenye chaguzi za chini. John, ACT, ASAP. Toa vitambulisho...
  17. 4

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Nilazima kuita jina la mjumbe mmoja mmoja kuhakiki wajumbe kabla ya kupiga kura uchaguzi wa CHADEMA

    Wakuu imani ya Bwana ikawe juu yenu , kila mmoja kwa imani. Nimeota mchezo mchafu katika uchaguzi wa ndani wa CHADEMAwa uchaguzi wa Mwenyekiti. Nimeona katika ndoto kundi moja kutoka upande wa giza ukishirikiana na upande mmoja wa nuru kufanya mchezo mchafu, nimeona shilingi na noti za zamani...
  18. Richard

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ufaransa lafanya kikao jioni hii na baadae kupiga kura kumuondoa waziri mkuu Michelle Barnier

    Waziri Mkuu wa Ufaransa Michel Barnier ambae yupo njiani kurejea Ufaransa kutoka katika ziara nchini Saudi Arabia, anatarajiwa kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye na Bunge la nchi hiyo na hivyo kuipundua serikali yake. Vyama vya upinzani nchini Ufaransa vikiongozwa na Maria Le Pen muda huu...
  19. Bubu Msemaovyo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 2025 Mshindi wa Urais, Ubunge na Udiwani anajulikana. Sitajiandikisha wala kupiga kura

    Uchaguzi wa Serikali za Mitaa tumeshuhudia utekaji, mauaji na mateso mbalimbali kwa wananchi. Kama haya ni huu uchaguzi mdogo kabisa. Je nini kitatokea kwenye Uchaguzi Mkuu ambao mi wa Kumchagua Rais, Wabunge na Madiwani. Mimi naapa Sitajiandikisha wala kupiga kura kwani hawa watu tayari...
  20. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Namna CCM inavyoumiza Upinzani kwenye Kupiga Kura, UPINZANI Vita yenu Iko Ndani ya Chumba Cha kupigia kura na Mawakala wenu

    Wakuu Nina Demu Mmoja Mwalimu ni mchepuko wangu wa miaka na miaka. Demu huyu mwaka 2020, alikua msimamizi wa uchaguzi sehem Fulani Kituo Fulan. Kwan so mnajua Mashine ikikolea? Mwanamke hutoa Siri?. Sasa nawarudisha nyuma ya Mwaka 2020, na yaloendelea Serikali za mtaa, na yakayoendelea 2025...
Back
Top Bottom