kupiga kura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    LGE2024 ARUSHA: Umati wa wananchi bado uko kwenye foleni ndefu katika kituo cha kupiga kura cha Polling Station

    ARUSHA: UMATI wa wananchi bado uko kwenye foleni ndefu katika kituo cha kupiga kura cha Polling Station kilichopo katika kijiji cha Manyire kata ya Mringarini wilayani Arumeru mkoani Arusha. Mmoja wa wananchi wa kijiji hicho aliyejitambulisha kwa jina la Alex Kimaro amesema kwa hali ilivyo...
  2. B

    LGE2024 Unaenda kupiga kura uchaguzi Serikali za mtaa bila hata kuonyesha uthibitisho kama kweli wewe ndiye mhusika wa jina hilo

    Nilifika asubuhi kituo nilichojiandikisha kupiga kura nikakuta orodha ya majina yamebandikwa nje kwenye kuta nikatafuta jina langu nikaliona Baada ya hapo nikaingia kupiga kura msimamizi wa uchaguzi akaangalia jina langu kwenye orodha ya daftari lake akalitiki bila hata kupata uthibitisho kama...
  3. Suley2019

    LGE2024 Bumbuli: January Makamba ajitokeza kupiga kura

    Mbunge wa Jimbo la Bumbuli, January Makamba ameshiriki kupiga kura ya kuchagua Viongozi katika uchaguzi wa Serikali za mitaa, Vitongoji na Vijiji katika kituo cha Kwevizelu Kata ya Mahezangulu Mkoani Tanga leo Novemba 27,2024. PIA SOMA - LGE2024 - January Makamba: CCM tunajivunia na sera...
  4. Suley2019

    LGE2024 Tanga: Waziri Aweso ajitokeza kupiga Kura

    Waziri wa Maji na Mbunge wa Jimbo la Pangani Mhe Jumaa Aweso akipiga kura katika uchaguzi wa Serikali za mitaa katika kijiji chake cha Sakura kwaKibuyu Kata ya Kipumbwi jimboni Pangani Mkoa wa Tanga.
  5. Mindyou

    LGE2024 Ruvuma: Mkuu wa Mkoa Ahmed Abas ashiriki kwenye zoezi la kupiga kura Songea

    Leo Novemba 27,2024 Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas akiwa ameongozana Mkewe Bi.Riziki kwa pamoja wameungana na Watazania Wengine kushiriki katika zoezi la kupiga kura za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika kituo Ofisi ya Kata Namba Moja kilichopo Mtaa wa Mahenge Manispaa ya Songea ...
  6. Waufukweni

    LGE2024 Tabora: Mchijita ashiriki zoezi la kupiga Kura Likotwa

    Makamu mwenyekiti wa Act Wazalendo Tanzania Bara Isihaka Mchinjia leo Novemba 27, 2024 ameshiriki katika zoezi la upigaji kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji, kwenye kituo cha Shule ya Msingi Likotwa, Manispaa ya lindi, Novemba 27, 2024. Akizungumza baada ya kupiga...
  7. Suley2019

    LGE2024 Lindi: Salma Kikwete ajitokeza Kupiga Kura

    HABARI: Mbunge wa Jimbo la Mchinga Mkoani Lindi Mama Salma Rashid kikwete amewaongoza wananchi wa Jimbo hilo kushiriki zoezi la upigaji wa Kura kuchagua viongozi wa Serikali za mitaa, vijiji na vitongoji. Mama Salma ameshiriki zoezi hilo Katika kituo cha kupiga Kura cha Makasini kijiji cha Ruvu...
  8. Waufukweni

    LGE2024 Geita: Utata majina ya wapiga kura, mkurugenzi atoa ufafanuzi

    Mpiga kura Mtaa wa Mwatulole katika kituo cha kupigia kura Mwatulole Center ambaye awali alilalamika kutoona jina lake, hatimaye amekiri mbele ya msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Geita Mjini, Yefred Mnyenzi kuwa jina lake limeonekana na ametimiza haki yake.
  9. Upepo wa Pesa

    LGE2024 Sijaenda kupiga kura baada ya kukumbuka faulu za uchaguzi wa 2020

    Nakumbuka mwaka 2020 nilipoenda kupiga kura nilishangaa yafuatayo. 1. Mpinzani niliyempigia kura hakupata kura hata moja. 2. Baada ya siku kama nne hivi nilionana na rafiki yangu ambaye naye alikua wakala kwenye moja ya vituo (sio nilichopigiankura) alichoniambia ni kuwa kwanza walikula kiapo...
  10. Political Jurist

    LGE2024 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu ahamasisha wananchi kupiga kura

    MWENYEKITI WA CCM SIMIYU AHAMASISHA WANANCHI KUPIGA KURA. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohamed, ameendelea kuhamasisha wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi leo kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Mara baada ya kupiga kura katika kituo cha...
  11. Roving Journalist

    LGE2024 Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ashiriki kupiga Kura katika Mji Mdogo Tukuyu

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amepiga kura leo Novemba 27, 2024 katika Kituo cha Shule ya Msingi Madaraka ikiwa ni haki yake Kikatiba Kumchagua Mwenyekiti wa Kitongoji katika Mamlaka ya Mji Mdogo Tukuyu. Jumla ya Wakazi 147,118 wanatarajia kupiga kura katika Vituo 529 ndani ya Vijiji...
  12. Waufukweni

    LGE2024 Arusha: Maoni ya Wananchi kuhusu zoezi la kupiga kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa

    Maoni ya wakazi wa Kata ya Levolosi, Arusha kuhusu zoezi la kupiga kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa unaofanyika leo Novemba 27, 2024. TBC imeshuhudia zoezi hilo la upigaji kura likiendelea katika mazingira ya amani na utulivu. Baadhi ya wananchi waliopiga kura wameonyesha...
  13. Mindyou

    LGE2024 Lindi: Katibu Tawala Mkoa (RAS) ahamasisha wananchi kujitokeza kwenda kupiga kura

    Wakuu, Katibu Tawala Mkoa wa Lindi Bi. Zuwena Omary anawahamasisha wananchi kujitokeza kwenda kupiga kura kuchagua viongozi wanaowahitaji. Bi Zuwena ametoa wito huo leo Novemba 27, 2024 mara baada ya kupiga kura kuchagua viongozi wa serikali za mitaa.
  14. Just Pray

    LGE2024 Chalamila: Kumbe Kuna uchawi kwenye uchaguzi, nimeshangaa kusikia huo muujiza wa watu kupiga kura kabla vituo havijafunguliwa

    “Kuna vyombo vya habari vimetangaza kuwa kuna mahali kura zimepigwa kabla ya vituo kufunguliwa nimeshangaa kumbe kuna Uchawi kwenye Uchaguzi maana nimeshangaa kusikia huo muujiza wa watu kupiga kura kabla vituo havijafunguliwa" Soma pia: Kituo cha Kupigia Kura cha Lugalo, Kawe chakutwa na...
  15. Waufukweni

    LGE2024 Mwanza: RC Mtanda ahimiza Wananchi waende kupiga Kura, ataka wasiogope mvua

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amewataka wananchi wa Mwanza kujitokeza kushiriki katika kutimiza haki ya kidemokrasia na kikatiba ya kupiga kura licha ya kuwepo na hali ya mvua na kuwataka hali hiyo isiwatie uvivu. Mhe. Mtanda ametoa rai hiyo mapema leo Novemba 27, 2024 mara baada ya...
  16. Waufukweni

    LGE2024 Simiyu: RC Kihongosi ahamasisha Wananchi kujitokeza kupiga Kura na kuepuka kusalia Vituoni

    Mkuu wa mkoa wa Simiyu Kenani Kihongosi amewaasa wakazi wa mkoa huo kuendelea kujitokeza kwa wingi katika vituo vya kupigia kura katika mitaa yao ili kuchagua viongozi watakaowaongoza katika mitaa yao. Akizungumza baada ya kupiga kura katika mtaa wa Sesele uliopo kata ya Nyakabindi wilayani...
  17. W

    LGE2024 Iringa: Wananchi na viongozi mbalimbali washiriki kupiga kura

    Wananchi na viongozi wa kada mbalimbali wameendelea kujitokeza katika upigaji kura kwenye vituo mbalimbali kuanzia majira ya saa 2 asubuhi Akizungumza muda mfupi baada ya kupiga kura Mkuu wa mkoa wa Iringa Peter Serukamba amewasihi wananchi kuimarisha utulivu wakati wote wa zoezi hilo
  18. Mindyou

    LGE2024 Chamwino, Dodoma: Rais Samia apiga kura katika Kitongoji cha Sokoine. Asisitiza amani na majibu kutoka kwenye masanduku

    Wakuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye foleni tayari kwa kupiga Kura katika Uchaguzi wa Seikali za Mitaa katika kitongoji cha Sokoine Kijiji cha Chamwino Mkoani Dodoma, leo tarehe 27 Novemba, 2024. === Samia amepiga Kura katika Uchaguzi wa Seikali...
  19. Influenza

    LGE2024 Geita: Mawakala, Wapiga kura wavurugana katika kituo cha kupiga kura cha Mwatulole Center yadaiwa Mwanafunzi asiye na miaka 18 apiga kura

    Ni hali halisi ya upigaji wa kura uchaguzi serikali za mitaa ukiendelea katika Halmashauri ya Mji wa Geita, hapa ni kituo cha Mwatulole Center. Hayo yote yametokea baada ya kubainika kuwa kuna Wanafunzi wamejiandikisha na kupiga kura wakiwa bado Wanansoma na mwingine kujiandisha kwa...
  20. Just Pray

    LGE2024 Kigoma: Makamu wa Rais Dkt. Mpango na mkewe kwenye foleni kupiga kura

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Philip Mpango akiwa kwenye foleni ya kupiga kura katika Kijiji cha Kasumo, Kata ya Kajana, wilayani Buhigwe leo Novemba 27,2024 akiwa ameambatana na mkewe Mbonimpaye Mpango. Soma pia: Dkt. Philip Mpango awahimiza Wananchi kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Back
Top Bottom