Nyota wa Muziki wa Injili, Christina Shusho anasema "Sisi Wananchi ndio wenye maamuzi na ndio ambao tunajua nani anafaa na nani hafai, kutimiza hilo lazima tuwe na uwezo wa Kupiga Kura, hatutakiwi kushiriki katika Uchaguzi kwa njia ya mdomo bali Kadi yako ya Kupiga Kura ndio inafaa na ndio...
Staa wa Hip Hop Nchini, Fid Q anazungumzia zoezi la Uandikishaji na Uboreshaji wa Daftari la Kupiga Kura kwa kusema Kasi ya Kupiga Kura ni muhimu na inakupa uhuru wa kumchagua kiongozi unayemtaka na hiyo inamaanisha unaamua maisha yako ya sasa na ya baadaye.
Anasema unaposhiriki Kupiga Kura...
Hivi huwa najiuliza mfano mwaka huu mtu mmoja ujiandikishe zaidi ya kituo kimoja je hii inawezekana na ukapatiwa kitambulisho Mimi naona kama hili jambo haliwezekani sababu Kuna finger print tulikua tunabishana Ili swala na wadau kijiweni wengine wanadai inawezekana wengine wanasema haiwezekani...
Wakuu
Wajumbe wa Serikali ya Mtaa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanatuhumiwa kuchukua majina ya wananchi waliojiandikisha kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, wakati wa zoezi la uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura linaloendelea nchi nzima.
Soma: Wakala wa CCM anayeandikisha majina...
Wakuu,
Wananchi wameendelea kuorodhesha dosari mbalimbali kwenye zoezi la uandikishaji Uchaguzi Mkuu, ambako huku inaonekana wanafunzi wanabebwa kwa makundi kwenye kujiandikisha wakati baadhi wanakuwa hawajafikisha umri wa miaka 18!
Yaliyotokea kwenye zoezi la uandikishaji daftari la mkaazi...
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally anazungumzia maoni yake kuhusu zoezi la Uandikishaji wa Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura:
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa...
Ally Kamwe, Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga anatoa maoni yake kuhusu Uandikishaji na Uboreshaji wa Daftari la Kupiga Kura:
Wapo wanaoamini Kadi ya Kupiga Kura sio muhimu kwao na kwamba ni jambo la Kisiasa lakini ukweli ni kuwa Siasa inaendesha Maisha yetu ya kila siku, hivyo ni...
Kujiandikisha na kuboresha taarifa zako kwenye Daftari la Kupiga Kura ni hatua muhimu ya kutimiza Haki yako ya Kikatiba ya Kidemokrasia. Ukijiandikisha unakuwa na uhakika wa kushiriki kwenye mchakato wa kuwapata Viongozi Bora wa Nchi na Jimbo lako.
Anasema Dkt. Anna Henga ambaye ni Mkurugenzi...
Akizungumzia mchakato wa Uandikishaji na uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura Nchini, Hamisi B. Mandi “B Dozen” ambaye ni Mtangazaji Clouds FM amesema:
Kupiga Kura ni suala la msingi sana, linakuwezesha kupata kiongozi ambaye unamtaka, kutopiga Kura kunaweza kukufanya kupata Kiongozi ambaye...
Shauku na hamasa kubwa waliyonayo wananchi wa jiji la Dar es salaam wa kuitikia wito wa Tume Huru ya Uchaguzi wa kujiandikisha kwa wale ambao wametimiza sifa, lakini pia kuboresha taarifa zao kwa wale walio hama vituo na kupoteza vitambulisho vyao vya kupigia kura, ni ishara tosha kwamba no...
“Nape yalimtoka yaliyokuwa moyoni akizungumza kwamba kushinda inategemea nani anayetangaza yule ni kijana wa kwenye chama kile kwa muda mwingi sana kwa hiyo kwa vyovyote ni vyema tukamsikiliza. Ikiwa hivyo kwamba mapenzi ya yule anayetanganza ndiyo uamuzi, wananchi wana haja gani ya kuja...
Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufaa (Mstaafu) Mbarouk Salim Mbarouk amefungua mkutano wa wadau mkoani Pwani leo Februari 01, 2025 ambapo ametangaza ratiba ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwenye mkoa huo ambao utafanyika kwa siku saba kuanzia...
✳️ NI ZAMU YETU DAR ES SALAAM, TUKAJIANDIKISHE TUWEZE KUPIGA KURA UCHAGUZI MKUU
Zoezi la kuboresha taarifa na kujiandishika katika Daftari la kudumu la Mpiga Kura litaendelea kwa mkoa wa Dar es Salaam kuanzia Machi 17 hadi 23, 2025.
Issa Rajabu Risasi mkazi wa Kawe amewaomba watu wenye sifa za...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dodoma ( UVCCM) Abdulhabib Mwanyemba, amewahimiza Vijana nchini wakiwemo wa CCM kujitokeza kwenda kugombea nafasi mbalimbali za uongozi na kupiga kura itakapofika kipindi cha uchaguzi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa...
Wakuu,
Mwaka 2022 Mahakama ilibatilisha kifungu cha 11 (1) (c) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi kinachoweka zuio kwa wafungwa wanaotumikia adhabu ya kunyongwa na wanaotumikia adhabu ya kifungo cha zaidi ya miezi 6 kujiandikisha ili kupiga kura.
Hivyo kwa kufuta kifungu hiki ilifanya wafungwa...
Hungary, chini ya Viktor Orbán, imekuwa ikidhoofisha umoja wa Mataifa ya Magharibi kwa uthabiti, hasa ndani ya Umoja wa Ulaya (EU) na NATO, kwa kujipendekeza kwa Urusi na kuzuia maamuzi ya pamoja. Hatua ya Bunge la Ulaya ya kuiondolea Hungary haki ya kupiga kura siyo tu inayostahili bali pia ni...
Askofu Kalikawe Benson Bagonza anasema kama mfumo hautafanyiwa marekebisho itakuwa ni sawa na hakuna uchaguzi. Askofu anasisitiza kwamba kwenda kupiga kura is a wastage of time. Sikiliza mahojiano yake hapa chini.
https://www.youtube.com/watch?v=NaZiUuUBAv4
Bila Nguvu ya Dola na Mfumo, Watu Wengi wangejitokeza kupiga kura, na Kwa Jinsi mambo yalivyo, like Box la kupigia kula lingepewa Heshima inayo stahili.
Pia soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.