kupiga kura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Influenza

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Geita: Mawakala, Wapiga kura wavurugana katika kituo cha kupiga kura cha Mwatulole Center yadaiwa Mwanafunzi asiye na miaka 18 apiga kura

    Ni hali halisi ya upigaji wa kura uchaguzi serikali za mitaa ukiendelea katika Halmashauri ya Mji wa Geita, hapa ni kituo cha Mwatulole Center. Hayo yote yametokea baada ya kubainika kuwa kuna Wanafunzi wamejiandikisha na kupiga kura wakiwa bado Wanansoma na mwingine kujiandisha kwa...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kigoma: Makamu wa Rais Dkt. Mpango na mkewe kwenye foleni kupiga kura

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Philip Mpango akiwa kwenye foleni ya kupiga kura katika Kijiji cha Kasumo, Kata ya Kajana, wilayani Buhigwe leo Novemba 27,2024 akiwa ameambatana na mkewe Mbonimpaye Mpango. Soma pia: Dkt. Philip Mpango awahimiza Wananchi kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tanga: Mkuu wa Mkoa Batilda Buriani atoa wito kwa Wananchi kuondoka Vituoni baada ya Kupiga Kura

    Ikiwa ni siku iliyosubiriwa na watanzania kutekeleza demokrasia yao ya hatima ya Fyucha ya Kitaa, mkuu wa mkoa wa Tanga Batilda Buriani amewataka wananchi kuondoka eneo la kupiga kura mara baada ya kukamilisha haki yao ya kupiga kura.
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Simiyu: Karatasi za kupigia Kura zakamatwa zikiwa zimewekewa tiki kwa wagombea wa CCM

    Anaandika mkurugenzi wa mawasiliano na mambo ya nje wa CHADEMA John Mrema kupitia mtandao wa X "Karatasi za Kupigia kura zikiwa tayari zimekwa tiki kwa wagombea wa CCM zimekamatwa Mkoa wa Simiyu Jimbo la Bariadi Mjini Mtaa wa Ngashanda kata ya Malambo" Soma pia: Mbinu za wizi wa kura...
  5. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dar: Wananchi Mtaa wa Sinza B walalamika majina kutobandikwa kituoni

    Wakuu, Wananchi wa Mtaa Sinza B, Wilaya ya Ubungo Dar Es Salaam wamelalamikia kutokubandikwa kwa majina yao nje ya kituo cha kupiga kura cha Shule ya Sekondari Mashujaa jambo linalopekea wao kusumbuka mpaka kupata majina. Jambo TV imezungumza na baadhi ya wananchi waliofika kituoni hapo...
  6. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mikumi: Kata 8 hazijaanza kupiga kura, msimamizi adaiwa kutopokea simu

    Wakati zoezi la upigaji wa kura za kuchagua viongozi mbalimbali wa serikali za mitaa likiwa limeanza tangu saa 02:00 asubuhi nchini, hali ni tofauti kwa jimbo la Mikumi, wilayani Kilosa, mkoani Morogoro ambapo inadaiwa kuwa kata nane (8) kati ya 15 za jimbo hilo zoezi la upigaji wa kura...
  7. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Lindi: Nape ashiriki zoezi la kupiga kura Mtama

    Wakuu, Bwana Bumunda na wanchi mbalimbali wajitokeza kupiga kura uchaguzi wa serikali ya mtaa kama mnavyoona kwenye picha. Hivi ndio walisema saa nne matokeo yanakuwa tayari eeeh? :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko akishiriki zoezi la Kupiga Kura Katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Mkuu wa Mkoa Wa Katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko akiwa kwenye foleni kusubiri kupiga kura kuchagua viongozi wa serikali za mitaa katika kituo Cha shule ya Msingi Ilembo manispaa ya Mpanda Mkoani hapa. Soma Pia: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Katavi
  9. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dodoma: Rais Samia apanga foleni ya kupiga kura uchaguzi serikali za mitaa

    Wakuu, Tunasubiri igizo la kupanga foleni wakati kwenye misafara tunakaa masaa matatu kumpisha :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: Kutoka Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma Leo Novemba 27, 2024 katika kituo cha kupiga kura za uchaguzi za Serikali za Mitaa baadhi ya wakazi wa eneo Hilo...
  10. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kituo cha Kupigia Kura cha Lugalo, Kawe chakutwa na Maboksi ya Kura zilizopigwa kabla ya muda wa kupiga kura

    Kupata taarifa zote kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kila mkoa ingia hapa: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Katika hali isiyokuwa ya kawaida inadaiwa kuwa masanduku matatu (3) ya kura...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mambo ya kuzingatia unapoenda kupiga Kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mtaa, leo Novemba 27, 2024

  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Balozi Nchimbi Ahitimisha Kampeni Akihamasisha Watanzania Kujitokeza Kupiga Kura

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Emmanuel John Nchimbi, amehitimisha kampeni za uchaguzi wa Serikali za Mitaa za CCM mkoani Dar es Salaam kwa kutoa wito kwa Watanzania kujitokeza kwa wingi kupiga kura siku ya Jumatano, tarehe 27 Novemba 2024, kuchagua viongozi, hususan...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mnyeti: Hamasishaneni katika familia kupiga kura kesho

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Uvuvi na Mifugo na Mbunge wa Jimbo la Misungwi, Alexander Mnyeti, amewataka wananchi wa jimbo hilo kujitokeza kwa wingi kesho kupiga kura kama walivyojiandikisha. Akizungumza katika Kata ya Usagara wakati akifunga kampeni za Chama...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Ally Hapi ahimiza Wananchi kujitokeza kupiga kura

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Ally Hapi, amehitimisha kampeni za chama hicho mkoani Mbeya kwa kuhimiza wananchi kuwachagua viongozi wa CCM katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024. Katika hotuba yake, Hapi alisisitiza umuhimu wa kampeni za...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbunge Kiswaga: CCM Tumejipanga, Tujitokeze Kupiga Kura

    Jackson Kiswaga, mbunge wa jimbo la kalenga amefunga kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kata ya Nzihi kwa kusema kuwa uchaguzi wa kesho ni muhimu kwa ustawi wa maendeleo ya kata hiyo. kiswaga amewahutubia wananchi katika mkutano wa mwisho wa kampeni, huku aliwasisitizia wananchi...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Faris Buruhani: Vijana wa CCM Mkoa wa Kagera tutakuwa wa kwanza kulinda amani kabla na baada ya zoezi la kupiga Kura

    📍Bukoba_Kagera Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Comred Faris Buruhani, amewahakikishia wananchi wa Mkoa wa Kagera kwamba vijana wa Chama Cha Mapinduzi watakuwa mstari wa mbele katika kulinda na kudumisha amani na utulivu kabla, wakati na baada ya zoezi la upigaji kura litakalofanyika kote...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA watoa Elimu ya kupiga Kura ya Ndio na Hapana Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Kesho, tarehe 27 Novemba 2024, ni siku muhimu kwa Watanzania kushiriki katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Hii ni fursa ya kipekee kwa wananchi waliojiandikisha kutumia haki yao ya kidemokrasia kuchagua viongozi bora watakaosimamia maendeleo katika maeneo yao. CHADEMA wametumia fursa hiyo pia...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Simbachawene: Watumishi wa umma msipuuze kupiga kura kesho

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amewasisitiza Watumishi wa Umma na Watanzania wote waliojiandikisha kupiga kura kujitokeza kufanya uchaguzi wa viongozi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024 Tanzania...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dodoma: Wananchi zaidi ya milioni 1.7 wanatarajiwa kupiga kura Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Ikiwa kesho novemba 27 ni siku ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa unatarajiwa kufanyika jumla ya Wagombea elfu nne mia nne na nne wa vyama vyote vya siasa Mkoa wa Dodoma wamejitokeza kugombea nafasi mbalimbali huku watu zaidi ya milioni moja na laki saba elfu kumi na mbili mia nne sabini na mbili...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwananyanzala awahamasisha mashabiki wa Soka nchini kupiga Kura uchaguzi Serikali za Mitaa

    Mwanachama maarufu wa klabu ya Wananchi, Yanga na shabiki wa soka, Hussein Makubi Mwananyanzala, amewataka wapenzi wa soka nchini kujitokeza kwa wingi kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji, na vitongoji.
Back
Top Bottom