Utamtambuaje msichana anayekupenda ila anashindwa kukwambia?

honey bee

Senior Member
Nov 23, 2021
139
231
Naombeni tuzungumzie jinsi gani utamtambua mwanamke anaekupenda ila anashindwa kusema!!

Participation kubwa itoke kwa wadada na wanawake, tunaomba mtiririke!!! Na kwa wanaume mnaofahamu situation hii kazi ni kwenu!

Sitaki matusi! Au kuambiwa " shule zinafunguliwa lini". Kama huna cha kujibu, basi!
 
F5424D85-1B41-4A76-A3C5-89F4250F05F8.jpeg
 
Naombeni tuzungumzie jinsi gani utamtambua mwanamke anaekupenda ila anashindwa kusema!! Participation kubwa itoke kwa wadada na wanawake, tunaomba mtiririke!!!
Na kwa wanaume mnaofahamu situation hii kazi ni kwenu!

Sitaki matusi! Au kuambiwa " shule zinafunguliwa lini". Kama huna cha kujibu, basi!
atafanya kila unachomwambia, atakununulia vitu hata hukumtuma, atakuonea aibu, she will laugh at your stupid jokes, atapenda kuspend muda mwingi na wewe
 
Naombeni tuzungumzie jinsi gani utamtambua mwanamke anaekupenda ila anashindwa kusema!! Participation kubwa itoke kwa wadada na wanawake, tunaomba mtiririke!!!
Na kwa wanaume mnaofahamu situation hii kazi ni kwenu!

Sitaki matusi! Au kuambiwa " shule zinafunguliwa lini". Kama huna cha kujibu, basi!
Jinsia yako tafadhali. Maana naona kama imekaa Mguu pande vile🕺😬😬😬😬
 
Naombeni tuzungumzie jinsi gani utamtambua mwanamke anaekupenda ila anashindwa kusema!! Participation kubwa itoke kwa wadada na wanawake, tunaomba mtiririke!!!
Na kwa wanaume mnaofahamu situation hii kazi ni kwenu!

Sitaki matusi! Au kuambiwa " shule zinafunguliwa lini". Kama huna cha kujibu, basi!
Maliza kwanza shule kijana, mapenzi yapo tu usiyaharikie..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom