kupenda

Kupenda for the Children is an American non-profit organization that works to improve the lives of children with disabilities in low and middle income countries.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Nina haki kama binadamu ya kupenda tena

    Wana jamii Forums hamjambo, hapa ni mahali pekee ambapo naweza kuongea kwa uwazi na bila kuficha chochote. Kuna muda nakuwa na mawazo nashindwa wapi pa kusemea. Iko hivi kwa sasa nina miaka 44 sijaolewa na sina mwenza ila nina watoto ambao nilipata na mpenzi wangu, mahusiano hatufanikiwa...
  2. ngara23

    Kupenda kuomba au kuhitaji msaada Kwa marafiki au washikaji kunashusha hadhi na heshima yako, mwanaume jikaze

    Naongea na wanaume tu Leo Tabia ya kuomba ovyo haifai Unajishushia brand Hakuna mtu anahitaji kuombwa hata kama Leo umpigie simu Bakhresa umwombe elfu 2 atakuona wewe ni msumbufu lakini sio kwamba uweZo wa kukupa anao Mwanaume onesha kujiamini na kujitegemea hata kama unapitia hali ngumu...
  3. R

    Nahisi sijui chochote kuhusu mahusiano ya kupenda ama kupendwa

    Habari za wakati huu wana jf Nimeona bora kuwa mkweli uenda nikapata mitizamo itakayo nijenga juu ya swala hili zima la mahusiano ya kimapenzi.. nina umri wa miaka 30 , mpaka namaliza elimu ya diploma ya uandisi wa ujenzi , sijawahi kuwa na mahusino ya kimapenzi kabisaa. na sikuhitaji kabisa...
  4. kiss ov love

    Haya ndiyo mapenzi

    Life is not fair unayempenda hakupendi anayekupenda humpendi... Huu ni utafiti wangu mdogo usio rasmi niliofanya.
  5. ERTUGRUL BEY

    Wenye Kupenda Kupiga Au Kusababisha Makelele Wana Asili Ya Umaskini

    Uchunguzi binafsi uliofanywa na Bey umegundua kwamba makelele ni sehemu na asili ya maskini,huko kwa watu mbao wana maisha magumu ndio wanapenda makelele Nenda kwenye nyumba au makazi ambao wanaishi wenye hela huwa hakuna makelele kabisa,kule huwezi kukuta kuna Subwoofer,kule kuna Television...
  6. Binti wa zamani

    Uhusiano wa binadamu na kupenda viharufu vya mwili

    Tafakuri ya jumapili: Kuna mtu humu alisema alifanya ngono na shemeji yake kwa sababu alikua na harufu flani ya jasho la kwapa ikamuamsha hisia za kimapenzi. 

 Nimeshasoma nyuzi wa wakaka humu wanasema huwa wanapenda kaharufu ka asili na wengine kauvundo ka papuchi. Tuambizane: Je harufu...
  7. Samia atosha tukutane2030

    Mambo muhimu 2 ya kuzingatia katika ulimwengu huu wa watu kupenda fedha kuliko kumpenda Mungu

    Kwanini nimeandika Uzi huu? Kuna Uzi mmoja nimeusoma humu na kuna jambo moja wiki iliyopita lilitokea. Jamaa mmoja tulionana kujadili issue fulani ya kibiashara (dili). Jamaa anaona kama namtupa kwenye game akataka kujua kikwazo nini. Nilimweleza jambo la kawaida tu ila jamaa akawa serious...
  8. Abtali Mwerevu

    Kupenda Wanawake Wenye Makalio Makubwa Kunasababishwa na Njaa

    Inasemekana njaa huchochea wanaume wapende wanawake wenye makalio makubwa. Kwa mujibu wa wataalamu, mtu mwenye njaa ama aliyekulia katika mazingira ya uhaba wa chakula, anapoona mtu 'kanona' hupata faraja na kuona ile ni dalili ya uwepo wa chakula dalili ya mafanikio. Maana yake ni kwamba, watu...
  9. Baba Kisarii

    Wadada wenye changamoto ya usikivu hafifu wanajua kupenda na wapo moto sana

    Mabinti wenye changamoto ya usikivu hafifu huwa ni watamu sana. Awali ya yote naomba niweke wazi kuwa changamoto ya usikivu hafifu haimaanishi kuwa mhanga ni kiziwi asiyesikia kabisa. Sasa basi nimewajaribu wawili tu nikatoka nao kwa nyakati tofauti yaaniiii nilijilaumu kwa kutoijua hii siri...
  10. Vhagar

    Matokeo ya kupenda misaada

    Sijui ni kuathiriwa na malezi au tabia tu. Mimi najua kuomba au kutarajia msaada huwa ni hatua ya mwisho sana. Kuna baadhi ya watu hudhani msaada ni haki yao. Na matokeo yake ni yafuatayo. Kuwa wazembe. Kutafuta wa kumtweka matatizo na majukumu yao. Chuki hasa kwa pale walipoomba msaada na...
  11. CM 1774858

    Kagera: Rais Samia awajengea wahaya vyuo 5 vikubwa vya VETA kikiwemo cha Burugo alichotumia TZS20bn Sasa pamoja na kupenda kingereza na Ufundi watajua

    Chini ya Rais Samia Vyuo vipya 5 vya VETA vyajengwa mkoani Kagera kikiwemo cha Burugo kilichogharimu zaidi ya TZS20bn. Rais Samia amepeleka shillingi Billioni 128 mkoani Kagera kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya elimu, bilioni 4.1 kujenga shule mpya ya bweni kwa wasichana. Katika kipindi cha...
  12. KateMiddleton

    Msaada wa Saikolojia: Nimetokea kupenda part time love/Uke wenza kuna kama mimi?

    Habarini wana JF, Kuna kitu napitia..sijui kama nimeathirika na mahusiano niliyokuwa nayo ama ndio asili yetu wanawake ama ni hatua tu napitia katika maisha.. Iko hivi..nimekuwa na mahusiano na married man/mume wa mtu about 4+ yrs hivi, niseme tu nampenda sana ila tumetengana kwa sababu zilizo...
  13. Fbn

    Kuna ukweli fulani ila watu wa Iringa tunawasingizia kwa kupenda kitoweo cha mbwa ila watakaokuwa wanasingizia ni mikoa hii

    Tuhuma kuhusu nyama ya mbwa zinaonekana zipo mikoa fulani tukifika huku tunajua tunapata mbuzi kumbe mbwa tena kisiri. Mkoa kama tabora na kigoma baadhi ya wanyamwezi na wasukuma huamini nyama ya mbwa inatoa nguvu au huweza kutibu magonjwa fulani ya kienyeji. Mkoa wa Shinyanga na simiyu baadhi...
  14. Champion number one

    Huku kupenda au kero sms laki 1 ?

    Kabla ya kusema umependa ifahamu hii, Mwanamke mmoja huko Arizona alikamatwa na kufunguliwa mashtaka ya ufuatiliaji wa mtu (stalking) baada ya kudaiwa kutuma zaidi ya ujumbe 159,000 kwa mwanaume aliyekutana naye kupitia app ya kutafuta wachumba. Ujumbe huo ulikuwa na maneno ya mapenzi, lakini...
  15. matunduizi

    Nini chanzo cha watoto kupenda katuni, games na vyakula visivyo na afya

    WATOTO WA KISASA Watoto wa siku hizi hata bila kuelekezwa na mtu Wanakuwa na uchumi mkubwa wa kuangalia katuni Akipata simu hata kiswaswadu ukimuacha sekunde kadhaa utamkuta kalifukunyua game na anacheza. Kwenye vyakula wengi wanaopenda vyakula fekifeki, lakini vile vya afya hawapendi. Ice...
  16. GENTAMYCINE

    Nini SIRI iliyojificha yenye 'Spiritual Power' ya Watu kadhaa kupenda Kuvaa Saa Mkono wa Kulia hata kama Wanaandikia Mkono wa Kulia?

    Wale mnaliojua hili au kilichojificha hapa mtuambie tafadhali kwani nasikia ina maana Kubwa mno kwa Nguvu za Juu.
  17. K

    Poleni wanaharakati poleni wapigania haki poleni wote wenye kupenda kusema ukweli kazi hii imekuwa ngumu mno

    Kazi inapokuwa ngumu SI vibaya kujikusanya na kupeana hope Ikitokea mashambulizi yanalemea upande wako SI vibaya mkarudi nyuma kidogo kwa Nia ya kujipanga upya Wakuu nasema hivi kwa sababu ya Hali ilivyo kwa Sasa chini ya utawala wa rais Suluhu kushambulia kwa kutumia nguvu kubwa...
  18. GENTAMYCINE

    Kumekucha: Wanaume wengi wa Dar hawana Nguvu za Kiume kwa kupenda kula Chips zenye Mafuta mengi hivyo waanze kula Chips zinazokaangwa na Maji

    Wala tusipotezeane sana muda nendeni manaratv mkamsikie wenyewe, ila Mimi nauliza tu Utakaanga vipi Chips na Maji? Sasa taratibu naanza kuamini kuwa huenda Tanzania ikawa na Madaktari Vihiyo (wa Mchongo) na ambao huenda wakawa wanavuta mno Bangi kuliko hata ambao wanazilima huko Tarime (Mara) na...
  19. Nyani Ngabu

    Hayati Magufuli alikosea kwenye mambo mengi mno. Kubwa mojawapo ni kumchagua huyu mtu

    Mtu huyo ni Rais Samia! Nashawishika kabisa kuamini kuwa huyu Samia alichaguliwa kutokana na jinsia yake tu [kama ilivyojuwa kwa Kamala Harris…the word salad queen…kule Marekani]. Ref: Uchaguzi 2020 - Mkutano Mkuu wa CCM 2020 wamchagua John Magufuli kuwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  20. R

    Kuna utofauti gani kati ya kuwa Introvert, kupenda kujitenga na kuwa mkimya ?

    Aina hii ya watu hutofautiana kivipi ?
Back
Top Bottom