kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Aliniambia hutokuja kupata Mwanaume kama mimi

    Nakumbuka wakati naachana na x wangu aliniambia "hutokuja kupata mwanaume kama mimi maisha yako yote" 🤦‍♀️ Watu wengine sijui hua wanajiamini nini mpk wanaeza kutamkia mtu maneno km haya. Matokeo yake yeye ndo hakupata tena mwanamke km mimi. Baada ya kuachana na mimi amekua akibadikisha...
  2. JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kupata kazi FBI, wameniomba dola 100 kwa ajili ya badge

    Kiutani utani hivi hivi nimefanikiwa kupata kazi FBI. Walinifuata facebook tukajadiliana mambo kadhaa wakaniajiri hapohapo. Kutokana na vita vinavyoendelea Ukraine wamesema mambo fulani fulani yanasumbua kuhusu usafirishaji so wameniomba dola 100 ili wampe mdau mmoja anakuja huku Tanzania...
  3. JamiiForums Tanzania Baada ya Yanga kupata matokeo bila Kibwana Shomali wakala kichwa kinapata moto

    Kijana wetu Kibwana kapata injury, hachezi lakini Yanga haijakata moto wa wimbi lake la ushindi kila moto. Hii sio hali nzuri kwa mchezaji yeyote duniani. Kibwana amepata nafuu karudi kundini lakini mkataba wake unaenda mwisho na hajapewa mkataba mwingine bado. Wakala wa mchezaji kupitia...
  4. JamiiForums Tanzania Mtazame mzee Hassan Dalali baada ya kupata ajali ya bodaboda, Simba yatoa tamko

    Uongozi wa Klabu ya Simba umetoa pole kwa aliyewahi kuwa mwenyekiti wa klabu hiyo Hassan Dalali kufuatia ajali aliyoipata Jumatatu Machi 7, 2022 jijini Dar es Salaam. Dalali alianguka na Bodaboda aneo la Rangi Tatu njia ya kuingilia Chamanzi, polisi ndiyo waliomtambua baada ya kumfikisha...
  5. JamiiForums Tanzania Njia rahisi kupata msaada kupitia app ya carlcare kiganjani mwako

    Je, unafahamu kuwa kupitia simu yako unaweza kupata msaada wa kufahamu ghalama mbalimbali za malekebisho ya simu bila hata kufika katika kituo chetu cha matengenezo CARLCARE SERVICE CENTER. Unachotakiwa ni kudownload APP ya Carlcare then katika menu ya APP pale utaona vitu mbalimbali kama...
  6. JamiiForums Tanzania Angekuwepo Hayati Magufuli bwawa la JNHP lingekamilika Juni 2022 na tungeanza kupata umeme kwa bei nafuu

    Hayati JPM alikuwa mtu wa vitendo na mtu wa kuhakikisha rasilimali za umma zinatumika kwa manufaa ya umma. Kwa manufaa ya umma na watu wa chini na wanyonge lazima angekomaa na bwawa la JNHP kukamilika ili watanzania wapate umeme wa bei rahisi na wa uhakika. Watanzania tusitarajie huu mradi...
  7. JamiiForums Tanzania Wapi hapa Mwanza naweza kupata smart TV nzuri?

    Wakuu naomba kujua location nzuri naweza kupata Smart TV nzuri Inche 32.Nina 450,000 mkononi. Pia ni kampuni gani nzuri zaidi? Shukrani
  8. J

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kupata ajira kwa wataalam wa afya na suluhisho

    Habari wanajamvi Tangu miaka michache iliyopita kulitokea changamoto ya upatikanaji wa ajira kwa wataalamu wa afya, na sasa tumefika mashala ambapo mtu anapomaliza internship, anarudi nyumbani na kukaa muda mrefu, hata miaka bila kuitwa hata kwenye usaili wa kazi nyingi ambazo ameshaomba. Hiyo...
  9. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata TIN NUMBER ONLINE

    Wakuu habari, Kuna mtu anaitaji TIN ya TRA , Je! anaweza kuipata ONLINE wakuu?! Kwa namna zipi
  10. JamiiForums Tanzania Nafasi zimetangazwa 12 Utumishi interview tumeenda 8. Je, kuna uwezekano kweli wa kupata kazi wote au sheria ndo inafuata mkondo?

    Msaada kwa wadau mwenye uzoefu au aliyewahi kukutana na situation hii
  11. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mfalme Zumaridi akionyesha namna alivyoumia kwa kipigo cha Polisi

    Inasikitisha. Kulikuwa hakuna utii bila shuruti?
  12. JamiiForums Tanzania Kila nikiwaza haya majanga nakosa hamu ya kupata mtoto

    Natamani sana kuwa na watoto, ila nina mambo yanayonikosesa furaha kila nikiwaza juu ya kuwa na watoto,. Miongoni mwa mambo hayo nina makubwa mawili nayo ni;- 1. Umasikini, Umasikini ni janga kubwa kwa upande wangu, huwa nakosa amani pale ninapoiona kesho ya watoto wangu kwenye swala...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Barabara ya milimani huko Yichang mkoani Hubei yawasaidia wanavijiji kupata utajiri

    Katika miaka ya hivi karibuni, eneo la Yiling huko Yichang mkoani Hubei limeendelea kuhimiza ujenzi wa miundombinu, kwa kujenga barabara zinazounganisha vijiji vya milimani, na kuunda mtandao wa usafiri kati ya miji na vijiji, na kuwasaidia wakulima wa milimani kusafiri na kuuza bidhaa za...
  14. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata nguvu za kiroho

    Za siku nyingi wana JF. Nimekuwa nikitafakari kwa muda sasa namna nitakavyo weza kufundisha somo hili tajwa. Leo nimeona niweze kutoa utangulizi wa mambo ya kiroho na kuweza kuzipata guvu zake. Watawala wengi duniani na makundi mbalimbali huzitumia nguvu za kiroho katika kujinufaisha kwenye...
  15. JamiiForums Tanzania Nigeria: Mahakama yaridhia uamuzi wa Polisi aliyepata ujauzito nje ya ndoa kufutwa kazi

    Mahakama Kuu Nchini Nigeria imedumisha uamuzi wa kikosi cha Polisi kumfuta kazi afisa wa polisi wa kike ambaye alipata ujauzito nje ya ndoa mwaka jana. Jaji Inyang Ekwo amesema hakuona sababu ya kutosha kuvuruga nidhamu ya jeshi. Kesi hiyo iliwasilishwa Mahakamanina Chama cha Wanasheria wa...
  16. JamiiForums Tanzania Kama mmefikia kuwa na hoja duni kama hizi, mtapata nafasi ya kupata sapoti tena toka kwa wananchi?

    Sasa huku ni kukengeuka au kutokuwa na watu makini maana mnashupalia hoja zisizo na mashiko kabisa na kuonekana kama majuha. Hivi rais wa JMT kupanda dege la Emirates ni hoja ya kuishupalia ili mpate kick? Sakata la Ngorongoro je? Mbona mnalielezea vingine kabisa? Sakata la Ngorongoro nalo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata mawasiliano ya Makerere University au Ubalozi wa Tanzania nchini Uganda?

    Habari zenu wakuu. Hizi taasisi mbili nimeshatumia njia za email kuwafikia naona hawajibu. Sijui ubusy au email zimekuwa nyingi sasa naomba aliye na mawasiliano ya pale au ubalozi anisaidie
  18. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Tunanyimwa haki ya kupata mlo wa mchana na maji kwa miezi mitano sasa

    Mhe. Mbowe amenyoosha MKONO na kumwaleza Mhe. Jaji kwamba Wana miezi mitano bila kula chakula cha Mchana kwa maana nyingine kauli Hii inaonyesha watuhumiwa hawa wamekuwa wakishinda na kulala bila kula Kwa siku zote wanazoletwa mahakani huku mahakama ikishindwa japo kupitisha mchana bila kula "...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Uchezaji wa kamari chanzo kikubwa cha shinikizo na mashambulizi ya moyo

    Ahlan wa sahlan Nikiwa kama Ex-mkamaria kuanzia sasa, ninelifanyia uchunguzi suala hili na kugundua kuwa Kamari ni jambo linaloweza kumpelekea mchezaji kupata shambulizi la moyo la ghafla. Kwa mchezaji kamari yoyote naomba ajiangalie hali yake ya mapigo ya moyo pindi anapobeti mpaka pale...
  20. JamiiForums Tanzania Simba, Yanga zikishiriki Super League kupewa bilioni 2.3, bingwa kupata bilioni 23

    Julai 17, 2021 Rais wa Shirikisho la Soka la Afrika (CAF), Patrice Motsepe alithibitisha kuwa mipango ya kuanzishwa kwa African Super League ipo kwenye hatua nzuri, japo hadi sasa haijawekwa wazi lini hasa michuano hiyo maalum itaanza. Tetesi ni kuwa huu ndiyo mpunga ambao unatarajiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…