kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Je, Tanzania ni kiwanda kipi kinajishughulisha na uchongaji mawe kupata meza, vigae etc?

    Naomba kuuliza: Hizi rasilimali zote za milima na mawe je tunapondea tu kokoto? Au kuna kiwanda kinatengeneza bidhaa kama hizi. Tungeweza kutumia fursa kutengenezea fanicha imara sana. Mambo ya meza za jikoni, vigae na vitu luxury vinavyoweza kuchongwa toka katika mawe mojakwamoja, je...
  2. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa hisabu na sisi wenye D tusaidiane kupata majibu hapa

    Wadau katika pitapita zangu huko mitandaoni nimekutana na jambo, naliwasilisha kwenu wanajukwaa tujue lipi ni jibu sahihi hapa? *wajasiriyamali msisahau kutembelea posting yangu ya Tanzania Tuitakayo Nimewawekea Madini, Nenda Kasome Uje Kunishukuru hapa
  3. A

    JamiiForums Tanzania Je, Naweza Kupata Mkopo kwa Diploma!?

    Habari za Uzima Ndugu zangu. Mimi ni Kijana wenu wa Usikivu Hafifu Nimekuja Tena. Nataka Niende Nikasome Uwalimu wa Shule ya Msingi "Primary" Nauliza Naweza Nikapata Mkopo !? MUNGU AWABARIKI.
  4. JamiiForums Tanzania Israel imefanikiwa kupata miili Mingine mitatu ya mateka waliouwawa na Kushikiliwa Mateka tokea October 7, 2023

    Bodies of 3 hostages recovered from Gaza IDF, Shin Bet, locate and recover bodies of Michel Nisenbaum, Hanan Yablonka, and Orion Hernandez Radoux, who were murdered on October 7. The bodies of three, hostages Hanan Yablonka, Michel Nisenbaum, and Orion Hernandez Radoux, were rescued overnight...
  5. N

    JamiiForums Tanzania SoC04 Vijana wengi wanapoteza matumaini na kuangukia sehemu mbaya sababu ya kujenga imani akimaliza masomo kupata ajira ni lazima

    Kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana wengi kupoteza matumaini na wengine kuangukia kwenye matumizi mabaya ya mihadhalati na wengine kujitoa uhai na baadhi yao kuamua kuwa vibaka na majambazi hii yote kwa kutaa tamaa ya maisha (ukosefu wa ajira) Hii inatokana na mifomo yetu ya elimu hatukuweza...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa wanaume wanaotarajia kupata watoto

    Wanaume wenzangu naomba mtambue kwamba kama kuna kipindi ambacho unatakiwa kuonyesha mapenzi ya kiwango cha SGR / mapenzi ya hali ya juu ya kujali sana ni pale mkeo anapokuwa mjamzito. Kipindi hiki mke huwa na mambo mengi sana na mpaka mengine unajiuliza hivi hii mimba inavyompelekesha ni yeye...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Video: Mafuriko Manyara, kuaribu vyanzo vya utalii, maji ya funika hoteli ya moja bilionea huyu. Royal tour kupata changamoto

    ROYAL TOUR KUONGEZA IDADI YA WATALII KUPATA CHANGAMOTO https://m.youtube.com/watch?v=Bl1CZq_Uwr4 Mr Chambulo mwenye uzoefu wa industry ya utalii na mwenyekiti wa mawakala wa utalii wa muda mrefu katika mazungumzo exclusive pia anatuonesha mazingira ya maeneo ya utalii. --- Mafuriko...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza wajuvi, mtu aliyekaa miezi 18 bila kuajiriwa, alivyorudi mfuko wa hifadhi ya jamii ilikuwaje?

    Wakuu habari, Sheria ya kikokotoo kwa watumishi waliokuwa na ajira rasmi ipo wazi. Ikitokea mtu amekosa ajira kwa sababu yoyote ile isiwe ya kuacha mwenyewe, sheria inaelekeza alipwe 33% ya mshahara wake kwa muda wa miezi 6. Kisha asubiri miezi 18 kama hajapata ajira nyingine amwandikie...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Leo nimepima afya Kwa kuitumia BMI calculator na kupata matokeo mazuri sana

    Wadau hamjamboni nyote? Nimefurahi sana lna pia namshukuri Mungu na hii ni baada ya kupima afya kwa kuoanisha uzito na urefu wangu na kupata matokeo mazuri kiafya Nimeweka matokeo kwa rejea yenu Tujitahidi kupima afya zetu Jumapili njema.
  10. JamiiForums Tanzania Majina ya nchi za Kiafrika kabla na baada kupata uhuru.

    Watu wengi wanajua tu majina ya nchi bila.kujua historia ya majina hayo kabla na baada ya kubadilishwa. Songa nami. Gold Coast → Ghana 🇬🇭 (1957) Dahomey Republic → Benin Republic 🇧🇯 (1975) Southern Rhodesia → Zimbabwe 🇿🇼 (1980) Portuguese East Africa → Mozambique 🇲🇿 (1975) British East...
  11. JamiiForums Tanzania Waafrika tuna shida sana na ndizo zinazo wafanya irene uwoya na wenzio kutokupitwa na fursa ya kufaidika na hamu yetu ya kupata miujiza na faraja.

    Niliona uzi humu eti mtu anataka afarijiwe kuhusiana na yeye kupenda huduma mpy ya Irene Uwoya. Yalianza na jamaa aliekuwa Lugombas. Sasa ni irene uwoya kutumia ushawishi wake kupata kondoo. Simaanishi Mungu hawezi kuinua muhuni then akawa mtumishi wake ila tusikubali wahuni watuaminishe...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Mtoto ni baraka, kwanini wazazi mnawafungia watoto wenye ulemavu ndani?

    Kitu chenye baraka wengi hukiombea wakipate, kinyume chake watu huomba kiwaepuke Kwa imani zetu huwa tunaamini Mungu anahusika kwenye uumbaji hivyo hata mlemavu ni kazi yake, akipanga uwe na mtoto mlemavu kuna tatizo ? Naleta hii mada sababu inafikia kipindi wazazi wanafungia watoto wao wenye...
  13. JamiiForums Tanzania Upo chuo au hauna ajira ila unamiliki simu ya laki tatu na kuendelea? Tumia mbinu hii kupata pesa ya kujikimu kimaisha (nunua camera)

    Biashara ya kupiga picha inafaa sana kwa mtu yeyote anayepitia changamoto ya kukosa pesa ya kujikimu iwe mtaani au chuoni. Kama unamiliki simu inayoanzia laki tatu na kuendelea ila hauna ajira, ni kheri kuuza simu na kununua DIGITAL CAMERA ya kisasa ambayo utapiga picha za aina zote kwa gharama...
  14. E

    JamiiForums Tanzania SoC04 Bunifu ya kuboresha Sekta ya Kilimo yanayoweza kutekelezwa kuanzia sasa mpaka miaka 25 ijayo ili kupata Tanzania tuitakayo kwenye kilimo

    Kilimo ni shughuli ya uzalishaji wa mazao kwenye mashamba ambayo inajumuisha uzalishaji wa mimea, ufugaji wa wanyama, na uvuvi wa samaki. Kilimo hulenga kuzalisha chakula, malighafi za nguo, na nishati kutoka kwa mimea. Mkulima ni mtu au shirika linalojihusisha na shughuli za kilimo kwa lengo la...
  15. JamiiForums Tanzania Video: Treni ya SGR yadaiwa kusimama baada ya kupata hitilafu eneo la Gongo la Mboto

    ====== UPDATES ======= Habari zinazosambaa Mtandaoni zikidai Treni ya SGR yadaiwa kusimama baada ya kupata hitilafu si za Kweli kwani Treni ipo kwenye Majaribio.
  16. JamiiForums Tanzania Kuna njia nyingine naweza pata mkopo wa hazina bila kupita halmashauri?

    Hii ni mikopo inayotumwa halmashauri, nipo kigoma ni mtumishi mwaka wa nne nafatilia sipati, nikiingia kwenye hazina portal wanaonyesha naweza pata million 20, nimejitahidi kweli kweli kuupata lakini naona mambo yamekua magumu kweli. Vipi Kuna namna nyingine naweza pata huu mkopo Ambao hauna...
  17. JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata huduma ya Tractor kati ya maeneo haya Mkata, Handeni au Tengwe

    Wakuu habari za wakati huu? Nahitaji huduma ya tractor au grader kwenye maeneo haya Mkata, Handeni au Tengwe (Tanga) Kama kuna mdau yoyote anaweza kuniconnect na mtu au kampuni yenye tractor au grader naomba anisaidie tafaadhali, itakuwa vizuri kama nipata wasaliano yao ili tuwasiliane moja...
  18. JamiiForums Tanzania Mpaka leo bado sijafanikisha kupata Mwanamke mwajiriwa..

    Ndoto ni kuwa na Mwanamke Nesi, Mwalimu au Askari ikishindikana hapo basi mwaajiriwa katika sekta yoyote ile sometimes maisha hayakupi kile unachotaka huu mwaka wa sita toka nimekuwa na hiyo ndoto na still inabaki kuwa ndoto. Maana katika kipindi chote hicho wanawake niliokuwa nao wote ni...
  19. JamiiForums Tanzania Masoud Djuma: Sio rahisi kucheza na kupata matokeo dhidi ya timu inayotafuta nafasi ya pili

    Kocha wa Tabora United Masoud Juma akihojiwa mara baada ya match na 5imba aka Ubuntu Botho amesema sio rahisi kupata matokeo na timu inayotafuta nafasi ya pili,amesema hayo baada ya timu yake kunyimwa goli halali mnamo dakika ya 77 ya mchezo. Source: Kwa hisani ya Tatu Malogo.
  20. JamiiForums Tanzania TABIA ZA KITAJIRI; Tabia za kuishi kila siku ili kupata utajiri, mafanikio na furaha

    Rafiki yangu mpendwa, Ninayo furaha kubwa kukukaribisha kusoma kitabu hiki cha TABIA ZA KITAJIRI. Ni furaha kubwa kwangu kwani kwa wewe kukisoma na kuchukua hatua, nakuwa nimetimiza na hata kuvuka wajibu wangu wa kushirikisha maarifa haya ambayo yana nguvu kubwa kwa yeyote anayeyaelewa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…