kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Bandari Ya Dar yazidi kupaa( Ahsante Mama)

  2. JamiiForums Tanzania Tanzania itahitaji miaka zaidi ya elfu moja au zaidi kupata mageuzi ya kweli

    Sio unabii au utabiri bali ni hitimisho ambalo nimekuja nalo baada ya kupitia mambo mbali mbali katika hii nchi. Habari za wakati huu wasomaji wa JF ndani na nje ya mipaka ya taifa hili. Hii nchi ina watu na vitu vya kushangaza sana.Nianze ni hii;hali ya sintofahamu inayohusu mvua kubwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza kupata router ndogo ya 5G inayoingiza laini zote, hizi router tunazopewa ni kubwa kama matunguli πŸ˜€

    Tulishazoea hapo zamani unabebakarouter kako kirahisi Lakini hizi router za 5 G kubwa kama matunguli πŸ˜€ Ni wapi naweza kupata router portable
  4. JamiiForums Tanzania Sheikh : Kwa Imani yetu Kuoa Jini ni njia ya kupata Thawabu

    Sheikh anasema Muislamu anapata thawabu anapomwoa Jini. Hii Dini kwa sisi Wazinzi .... Inatutoa sana. Hakuna kitu tunakatazwa kula. https://www.instagram.com/reel/Ddny6jwuImj/?stkn=MTE2eDB6eXZlbTI1ZA==
  5. JamiiForums Tanzania Mfumo wa Pharmacy Council unasumbua sana kupata pointi za CPD, tunafeli wapi?

    Changamoto tunayopitia sasa hivi wakati huu wa kuhuisha leseni zetu kupitia Baraza la Famasia Tanzania (Pharmacy Council). Mfumo wa CPD Portal Unasumbua: Mfumo ni mzito na unaleta hitilafu (errors). Kwa sasa kuna maswali ya kujibu kwenye mfumo lakini hakuna -access kabisa (haufunguki)...
  6. JamiiForums Tanzania Kosa Kubwa Kupata Kufanywa na Serikali Yetu Katika Historia ya Nchi Hii ni Kutokuionyesha KESI YA LISSU LIVE KWA SASA

    Kama nchi bila kujali yapi yatakuwa Matokeo ya mwisho, yaani Hukumu kwa kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu kutokuionyesha na kuweka kumbukumbu ya documentary ya video. Hakika hii ilikuwa daresay la Aina yake katika mifumo yetu ya sheria na mienendo ya uendeshaji ambayo ingeingia katika historia kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Muda unaotumika ili kupata cheti kipya cha kuzaliwa (Old to New) RITA

    Habari zenu wakuu. Ninategemea kuanza process ya kubadili cheti changu cha zamani cha kuzaliwa kwenda kipya (Old to new) kwa njia ya online (eRITA). Ila ninaharaka nacho ndani ya mwezi huu so nilikuwa naomba kwa yoyote mwenye experience au aliyewahi kufanya hii process kwake ilichukua muda...
  8. JamiiForums Tanzania Watoto chini ya miaka 18 sasa ni ruksa kupata NIDA.

    Serikali imeagiza kuondolewa kwa vikwazo vya umri katika utoaji wa kadi za Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) ili kuhakikisha watoto walio chini ya miaka 18 wanaweza pia kusajiliwa rasmi. Agizo hilo lilitolewa na Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba mnamo Septemba 16, 2026, wakati wa kilele...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza hivi maridhiano ndio wana aminisha dunia yamefanyika na kupata makamo wa raisi kule znz ndio tanganyika.

    Turudi nyuma kidogo kabla ya haya. Samia alikwenda znz kufanya maridhiano na kuhutubia huko znz kuwa CCM na ACT wamekubariana na wengine. Je hayo maridhiano kama kweli yalikuwa ya znz au tanganyika maana znz hakukuwa na ya October 29 wala viongozi wapinzani wao znz kupata mateso sababu sio...
  10. JamiiForums Tanzania Picha nzito ya historia ya evolution ya mtu mweupe. Sisi bado tupo na maswali ya namna ya kufanya zindiko zuri la utumbo wa samaki ili kupata wateja.

    Kuanza kujilinda kwa farasi na mapaga hadi kujilinda na Northrop B-2 Spirit na satelite angani. Kuna mtu aliwahi kusema "uhuru wenyewe una miaka 50 tu, tuvumiliane" , 😁😁 no bro, you are just dumb The Worst Marcostilone mcTobby
  11. JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata shule ya bweni masasi girls A-Level

    Habari zenu ndugu mm ni mzazi nina binti yangu alichaguliwa jangwani girls, A-Level form five mwaka 2026 kutoka masasi lkn huko Dar sina ndugu na mm nipo mkoa kikazi nilikua naomba maelezo namna ya kupata nafasi masasi girls A-Level bweni
  12. R

    JamiiForums Tanzania Msaada please kupata case law hii kutoka kituo jumuishi Temeke (One Stop Centre temeke)

    please aliyeko Kituo jumuishi Temeke ie one sop centre temeke aliwekee acase law hii iliyohukumiwa na jaji Sarwat Miscellaneous Civil Application No. 25152 of 2024 kati ya Aloys rwehabura vs Perfectus Ruteganya Haipatijani TanzLii
  13. JamiiForums Tanzania Kupata hisia ya kupungukiwa

    Kabisa katika moja na mbili,,, Hiki na kile Hapa na pale..naona kabisa... Daaah! kuna mambo hayako sawa.,,sasa baada ya kutafakari kwa kina nikapata uhakika pasi na shaka kwamba nilikuwa sijaingia JF... UZI TAYARI HAPO VP ,,,AU SIO VP BWAN' Una fegi hapo??
  14. JamiiForums Tanzania Huu ni ujuzi ambao hauna watu wengi chance ya kupata pesa ni kubwa.

    Kwenu mnaoenda kugraduate mimi mzee wenu nimezunguka nchi mbalimbali nimeona mambo mengi mno nawaletea mambo niliyoyaona, kwako kijana unaeenda kumaliza chuo na nyie ambao bado mko chuoni, africa imejaa bado chance nyingi sana, changamoto ya vijana wengi ni wajanja wajanja nimefanikiwa kwenda...
  15. JamiiForums Tanzania Kupata mwanamke mzungu ,tena akakupa kipaumbele kwenye maisha yake ni rahisi mno

    Kupata mwanamke mzungu ,tena akakupa kipaumbele kwenye maisha yake ni rahisi mno. Tena wapo wengi mno ,ila ni wale rijecti ambao kwenye nchi zao soko lao ni finyu mno. Yani wewe utaambulia tukunyema , manyama uzembe , na lizee lililo achika kwenye ndoa yake. Ila vile vichunchuda vya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu: Chaumma walipata kura ngapi kuwawezesha kupata wabunge viti maalum?

    Jen. Ulimwengu: Fr. Kitima, Wewe unasema kwamba ulipata takwimu za uchaguzi uliopita. Fr. Kitima: Zilitangazwa siku kabla ya kuapishwa mheshimiwa rais na waheshimiwa wabunge tulitangaziwa. Mimi nilitegemea nilipata tu kwenye vyombo vya habari. Unajua mimi kwanza siruhusiwi kuobserve sisi...
  17. JamiiForums Tanzania Vazi hili unaweza kuja nalo MOI na kupata huduma

  18. JamiiForums Tanzania Wanaume wenye fedha, kipato kikubwa, kipato kidogo, wana uhakika wa kupata sex ila sio love

    Mtandaoni wana-hubiri fedha ila ukija kwenye maisha ya kawaida mambo ni tofauti sana πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Ukienda uswahilini utashangaa watu wanamaisha magumu na bado wake zao hawawakimbii ukija mtandaoni unahubiriwa utafute fedha kabla hujaingia kwenye mahusiano au ndoa- sasa mbona huku mtaani watu wanakipato...
  19. M

    JamiiForums Tanzania G55 vs Nyerere, Pemba 2000 vs Mkapa na Warioba vs Kikwete ilishindikana kupata Tanganyika au Zanzibar huru. Je, kipindi cha Samia tutatoboa ?

    G55 vs Nyerere, Pemba 2000 vs Mkapa, na Warioba vs Kikwete. Vipindi hivi vitatu vilitikisa mjadala kuhusu mustakabali wa Muungano, lakini hatimaye havikuzaa Tanganyika au Zanzibar huru. Leo tunajiuliza swali lilelile: Je, kipindi cha Samia Suluhu Hassan ndiyo tutatoboa? Je, tutafika kwenye...
  20. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kwanini Congo haiwezi kupata amani milele

    Simu, tablet, au laptop unayotumia kusoma ujumbe huu hivi sasa. Betri yake inayowaka hapo ndani haingeweza kufanya kazi bila madini mawili ya ajabu: Cobalt na Coltan. Zaidi ya 70% ya madini yote ya Cobalt duniani yanatoka sehemu moja tu: Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…