Nimefanya makusidi, Nilijua nyumbu hawatousima huu uzi na wataendelwza ujinga wao wa kusififia Kenya na bandari ya Mombasa bila ya kujua. Hali halisi inayoendwlea..... Lengo ninkuendwlea kukufanyeni wajinga na ili muendeleze propaganda zenu za kipuuziUkishatutajia tu jina Mama, unakuwa umeharibu kila kitu...upuuzwe chawa!
Andika vizuri. Unatupa shida kufuatilia unachokiandika.Nimefanya makusidi, Nilijua nyumbu hawatousima huu uzi na wataendelwza ujinga wao wa kusififia Kenya na bandari ya Mombasa bila ya kujua. Hali halisi inayoendwlea..... Lengo ninkuendwlea kukufanyeni wajinga na ili muendeleze propaganda zenu za kipuuzi
Mgao wa mapato ukoje? Maana hatukusanyi wenyewe.
Ushindwe kwa jina la Yesu.
hapo umeshamkimbiza mtoa uzi.Mgao wa mapato ukoje? Maana hatukusanyi wenyewe.
ila pesa zote zinaenda UARABUNI!
Nilijua hilo suala litakuja kwenye watu wenye akili finyu kama nyinyi.Mgao wa mapato ukoje? Maana hatukusanyi wenyewe.
Hivi hujui ya kuwa Yesu si baba yako ni wetu soteUshindwe kwa jina la Yesu.
Mbona hujafanya makusudi kuonyesha ujenzi wa Refinery hapa Kenya unaanza wiki chache zijazo, against LNG hapo Lindi ambao kila siku mko pazuri?Nimefanya makusidi, Nilijua nyumbu hawatousima huu uzi na wataendelwza ujinga wao wa kusififia Kenya na bandari ya Mombasa bila ya kujua. Hali halisi inayoendwlea..... Lengo ninkuendwlea kukufanyeni wajinga na ili muendeleze propaganda zenu za kipuuzi
Jibu swali, bandari mekua leased kwa DP world maana yake yeye ndio anachukua mapato then ndio anatoa gawio na kodi kwa serikali sasa swali langu ni kuwa mgao kwa serikali ni shingapi?Nilijua hilo suala litakuja kwenye watu wenye akili finyu kama nyinyi.
Sasa wewe kama unapoint ya kuwa mgawanyo wa mapato.haulo fair tuletee hapa. Lakini najua umeumia kuona bandari ya Dar ina improve day to day..
Na hili halisemwi, wao wanasifia kuwa mzigo ni mwingi huku jamaa wa dubai ndio wanaosepa na pesa.ila pesa zote zinaenda UARABUNI!
Umetumia neno 'leased' inaonyesha hujui utofauti baina ya ku- operate and leasing.. inaonyesha hivi ndiyo mnayowadanganya nyumbu wenzenu na makanisani ya kuwa bandari imeuzwa...Jibu swali, bandari mekua leased kwa DP world maana yake yeye ndio anachukua mapato then ndio anatoa gawio na kodi kwa serikali sasa swali langu ni kuwa mgao kwa serikali ni shingapi?
Maana hapa ni sawa na mgodi amepewa mwekezaji maana yake gharama za uendeshaji na mapato ni ya mwekezaji sasa unaposhangilia mapato kuongezeka huoni ni faida kwa mwekezaji na sio serikali?
Hata Gesi ya mtwara na lindi kule inachakatwa na inasafirishwa ila mapato ni ya wale wazungu sio sisi maana tulifanya concession agreement
Issue hapa sio mzigo umeongezeka au wawekezaji wamepata shingapi, je mgao wetu ni shingapi?
Hizo ndiyo stupid mindset zenu. Siku Tanzania itakapotia jiwe la msingi ujengaji wa refinery Tanganutakuja kusema Nini?Mbona hujafanya makusudi kuonyesha ujenzi wa Refinery hapa Kenya unaanza wiki chache zijazo, against LNG hapo Lindi ambao kila siku mko pazuri?
usijitoe ufahamu huoni nilipoandika concession agreement hiyo para ya mwisho?Umetumia neno 'leased' inaonyesha hujui utofauti baina ya ku- operate and leasing.. inaonyesha hivi ndiyo mnayowadanganya nyumbu wenzenu na makanisani ya kuwa bandari imeuzwa...