kupanda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Ada za Vyuo/shule, Chakula kupanda maradufu!

    Tozo na bei mpya ya mafuta itapandisha kila kitu zikiwemo stationeries, ada. Punde tutaongea lugha moja!
  2. Mystery

    JamiiForums Tanzania Watawala wetu tuliowachagua kupitia sanduku la kura, mbona hawatujali wananchi wao tunaoteseka, kutokana na kupanda bei ya mafuta Duniani?

    Nimekuwa nikijiuliza Katika mazingira ya nchi yetu, iliyobarikiwa na Mungu, rasilimali za kila aina, kama vile, gesi, madini ya kila aina, ardhi yenye rutuba, inayoweza kustawisha mazao ya biashara na chakula kwa kipindi chote cha mwaka. Hivi Katika mazingira hayo, ndiyo watawala wetu wameona...
  3. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania Lengai Ole Sabaya ashinda rufaa na kuachiwa huru na Mahakama Kuu ya Arusha

    Wakili wa upande wa utetezi Moses Mahuna akieleza kuhusu Sabaya na wenzake kushinda rufaa yao na kuachiliwa huru katika Mahakama Kuu Kanda ya Arusha. Sabaya na wenzake watatu wamebakiza ngwe moja ya hukumu ya kesi ya uhujumu uchumi baada ya Mahakama Kuu ya kumwachia huru muda huu. Warufani...
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa bei ya mafuta kumevuruga biashara yetu ya mbogamboga

    Kijana wangu alitafuta ajira kwa miezi sita baada ya kumaliza chuo. Mwisho tuliamua kuingia katika kilimo cha mboga mboga. Shamba ni la urithi la ekari tatu, tulikodi trekta kung’oa visiki. Tulichimba kisima na kununua simtank la litre 3,000 pamoja na pump yake. Ilibidi kujenga kibanda na...
  5. funaku

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta, wabunge na Serikali wajiridhishe na facts

    Zinaweza tajwa sababu nyingi sana na visingizio vinavyowekewa fake justifications. kamwe tusikubali. Mimi nitahoji idadi ya fuel stations zilizoanza chini ya miezi sita iliyopita na namna gani zinalink na wafanyabiashara wakubwa wa mafuta.je kwa nini zilianzishwa ghafla na kwa nini tupo hapa...
  6. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Kinachosababisha mafuta kupanda ni huu utitiri wa kodi

    Mtu mwenye Makato ya Zanzibar naomba utuwekee unaoni hapa tafadhali
  7. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Sekeseke la kupanda kwa bei ya mafuta linadhihirisha kuwa sasa tunahitaji katiba mpya ambayo itawapa mamlaka kamili wanachi juu ya taifa lao.

    Ibara ya 8(1)(a) ya katiba ya JMT imetanabaisha wazi kuwa mamlaka ya kutawala taifa hili yatatoka kwa wananchi. Na mamlaka hayo yatawekwa kwa mujibu wa katiba ya JMT. Hii inamaanisha kuwa kumbe wananchi huwa ndio watawala lakini kwa kuweka wawakilishi kwa njia ya kura. Lakini kama taifa...
  8. BigTall

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Wachumi watoa angalizo bei ya mafuta kupanda

    Wataalam wa uchumi Tanzania wametoa angalizo kuhusu kupanda kwa bei za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa, wakitahadharisha kuwa kutasababisha kupanda kwa gharama za maisha. Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji Tanzania (EWURA) ilitangaza bei kikomo ya petroli, dizeli na...
  9. Magazetini

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Mjadala wa dharura kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta nchini. Mbunge asema tozo mbili zinaongeza 792 kwenye bei

    Leo May 5, mbunge Kilindi, Omary Kigua ametoa hoja ya kuahirisha shughuli zake za kawaida ili kujadili dharula ya ongezeko la bei ya mafuta. Kigua amesema kuna changamoto ya kupanda kwa haraka sana kwa mafuta ya taa, dizeli na petroli ambapo hivyo vikipanda ni kimepandishwa kila kitu na...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nchini wapo Watu wananunua vifurushi na wanatambua kupanda Kwa Bei, wapo wananunuliwa vifurushi lazima tuwepe Bei ya Jana na Leo waone tofauti.

    Hapa Duniani usiishi ukiamini Kila MTU anafahamu kupanda na kushuka Kwa Bei ya bidhaa, wapo Watu wachache wamekuzwa Kwenye maisha ambayo Kila gharama anayotumia analipiwa na serikali. . Lakini hii haimaanishi kwamba huyu MTU ana akili Sana, anafahamu sana na anastahili kulipiwa Kila jambo...
  11. Mchokozi wa mambo

    JamiiForums Tanzania Watu wa Stationery tunaomba serikali ichunguze kupanda kwa bei za karatasi na vifaa vingine

    Ndugu zangu watu wa Stationery hali yao ni mbaya sana. Kwani bidhaa muhimu katika Stationery hasa karatasi nyeupe zimepanda sana na haijawahi kutokea. Kabla ya kauli ya Rais kuwa bidhaa nyingi zitazidi kupanda bei ya Katoni ilikuwa inauzwa Tsh 43000 ghafla baada ya ile kauli kutoka katoni ya...
  12. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hivi Dar kuna ghorofa/mnara mtu anaweza kulipia na kupanda ili kuangalia mji?

    Miji ya wenzetu utalii wa hivi ni mkubwa sana. Unakuta jengo moja linatembelewa na mamia hadi maelfu ya watu kwa siku. Vipia kwa Dar, kuna hiyo huduma? Vipi Mwanza na Arusha?
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania Uchumi kupanda katikati ya matatizo ya wadau ni ukatili dhidi ya wanaokutegemea

    Familia inatumia fedha zaidi kutatua changamoto itakayompata mwana familia kama vile kwenye ugonjwa, msiba, ada, kesi, kubomoka kwa nyumba, nk. Kwenye matukio kama haya kipato cha familia kitapungua kidogo ili kuhudumia mwanafamilia apate nafuu. Kama baba anaendela kuvua samaki baharini kukuza...
  14. Magazetini

    JamiiForums Tanzania Hali ya Uchumi na kupanda kwa bei, Waziri Kijaji asema Bei za bidhaa za ndani ni himilivu. Waziri Mwigulu aahidi kupunguza bei mafuta ya kula na gari

    Mawaziri wawili wako ukumbi wa mikutano wa hazina, Dar es Salaam kubwa likiwa hali ya uchumi na kupanda kwa bei za bidhaa. Yupo waziri wa uwekezaji, Dkt. Asha Kijaji na waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba. Zifuatazo ni nukuu muhimu Dkt. Kijaji: Niliagiza mamlaka zinazosimamia mwenendo wa soko la...
  15. Eswa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kondakta asema nauli za Daladala kupanda kwa shilingi 200/=

    Wadau nipo kwenye daladala kutoka Bunju kwenda Makumbusho, kondakta anatutangazia abiria kuwa kesho nauli zitapanda kwa shilingi 200 kwa hiyo tujiandae. Sijui kama lina ukweli wowote, ila kondakta anazidi kusisitiza. Tujiandae kwa lolote. Asanteni, naomba kuwasilisha
  16. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tatizo la bei za Mafuta ya Petroli kupanda ni Serikali kushindwa kuwatumia watalaam wa mafuta ipasavyo

    Tatizo la bei za mafuta ya petroli kupanda ni serikali kushindwa kuwatumia watalaam wa mafuta ipasavyo. Ikumbukwe tunawatalaam wa mafuta. Hakika hawa wangeweza kutuvusha katika kipindi hichi kigumu. Wangeweza hata kutengeneza mafuta kutoka kwenye makaa ya mawe kwaajili ya kupunguza utegemezi...
  17. polokwane

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Rais nikuombe usihalalishe kupanda kwa bei kirahisi hadharani unahujumiwa sana

    Mh. Rais Samia kurasimisha kupanda bei hadharani kunahamasisha wafanya biashara kupandisha bei hata vitu visivyo hitaji kupandishwa gharama tena wanafanya hivyo kwa makusudi kabisa Nikuombe mama usipende kuhalalisha hili la bidhaa kupanda bei hadharani kwa kauli na hasa ukizingatia wewe ni rais...
  18. Guselya Ngwandu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hahusiki kupanda kwa bei ya mafuta, zijue sababu za kweli

    Bei za mafuta duniani zimepanda hali ambayo imeathiri pia bei za mafuta hapa Tanzania. Kupanda kwa bei za mafuta sio jambo geni, limewahi kutokea mara nyingi duniani. Na mara nyingi sio suala la nchi moja, athari zake hufika duniani kote. Tumekuwekea sababu 5 ambazo kihistoria na uhalisia...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Kauli ya vitu kupanda bei kisa vita ya Ukraine inapindishwa na walioielewa wanafunga mikanda kimyakimya

    Imenibidi kwa mara nyingine nijiridhishe kwa kurejelea kusikilizwa hotuba ya Mhe.Rais iliyokuwa inazungumzia kupanda bei kwa vitu kunakosababishwa na vita vya Ukraine na Russia na mapokeo ya kauli hiyo. Sio kwamba nimetumia muda kusikilizwa tena sikusikia vizuri ila nilifanya hivyo kuongeza...
  20. BigTall

    JamiiForums Tanzania EWURA: Bei ya Mafuta itaendelea kupanda

    Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imesema kuwa kutokana na uhitaji mkubwa wa mafuta, bei ya yake inatarajiwa kuendelea kupanda zaidi hali inayochangiwa na vita inayoendelea kati ya Urusi na Ukraine, huku usafirishaji na upokeaji wake nchini kuwa hafifu. Akizungumza Kaimu Mkurugenzi...
Back
Top Bottom