Habari wana Jamvi,
Sioni umuhimu wa Taa za kuongoza magari makutano ya Samnujoma/SIMU 2000 (Mawasiliano) wakati zinaruhusu magari yanayotoka Mwenge na Mawasiliano kwa pamoja?
Masoud Othman Masoud ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo upande wa Zanzibar anatarajiwa kuongoza timu ya ACT katika majadiliano ya kukamilisha mageuzi ya kisheria ili kuimarisha haki, umoja na mshikamano.
Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano ya Umma wa ACT, Salim Bimani...
Zaidi ya comedy za kipumbavu Chalamila hajakuwa na uwezo wa kusimamia Dar.
Mtu anasimama kuhamasisha ulevi, anahamasisha vibaka ili polisi wawe na kazi.
Uwezo wa fikra ni mdogo mno.
Bora hata Aggrey Mwanri alikuwa na uthubutu katika kusimamia maagizo yake. Angeweza kuimudu Dar.
Wanajamvi,
Mbunge wa kawe mchungaji Joseph at Gwajima leo atakuwa na mkutano mkubwa wa maombezi kwenye viwanja vya mecco kunduchi.
Mecco ni eneo lililopo kwenye mgogoro wa ardhi mkubwa .wananchi wanataka kubomolewa nyumba zao kupisha kinachoitwa mradi.
Mara kadhaa huhudi zimefanyika kumualika...
Ukweli utatuweka huru na kutuvusha, ukibisha na ubishe, hukatazwi.
Kiuhalisia hii nchi ina mfumo mbovu na umeoza wa kupata vyeo na madaraka, yaani inakera. Huhitaji hata degree wala PhD ili ujue ili mradi uwe na connection inatosha.
Hivi umejiuliza ili uwe Mkuu wa Wilaya au Mkoa inapaswa uwe...
Kama Taifa lingeongozwa kwa ungwana na huruma basi Taifa Hilo lazima liwe ktk hali dhoofu na kutowajibika kwa viongozi. Taifa linaongozwa kwa amri na taratibu Taifa linaongozwa kwa codes na nje ya hizo codes tunakula kichwa Taifa haliongozwi kama unavyo mlea mtoto hapana Taifa linaongozwa kwa...
Mods! Tafadhari, mada hii haina uhusiano wowote na kabila la mtu, hivyo naombeni sana!
Shalomu Tanzania!
Zamani za mfalume Farao, mfalume huyu wa Misiri kipindi cha yeye kuongoza Misiri' alitoa amri ya kuwauwa watoto wote wa kiume waliotokana na wayahudi wahamiaji wa Kiisraeli katika nchi...
RAIS SAMIA KUONGOZA KILELE CHA MIAKA MIWILI YA AWAMU YA 6- LEO SAA 4 ASUBUHI HII.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumapili Machi 19, 2023 atakuwa mgeni rasmi kwenye kilele cha miaka miwili ya Uongozi wa Awamu ya 6 unaoongozwa na yeye mwenyewe...
Sorry... headline isomeke hivi
Chama cha chadema kuongoza Tanzania labda mkazikiri uchi sio kwa ujinga mnaoufanyaga
..
📌 Nishawai kufanya kampeni za mbunge fulani (Wilaya ya muleba) Toka Chadema kelele zilikuwa nyingi na ushindi ulikuwa mkononi kabisa chadema kuchukua kiti cha ubunge jimbo...
Msanii huyo kutoka #Nigeria, ameendelea kuweka rekodi Kimataifa kupitia ngoma hiyo aliyomshirikisha #SelenaGomez akikaa kileleni kwa wiki 27 katika wiki 50. Kati ya ngoma 50, hakuna msanii yeyote kutoka Tanzania au #AfrikaMashariki.
Aidha, ngoma hiyo imepanda hadi nafasi ya 15 kutoka 19 kwenye...
Wajumbe 3,000 wa Bunge la Kitaifa la Wananchi (NPC) wamempitisha #XiJinping kuwa Rais ikiwa ni utekelezaji wa Mabadiliko ya Katiba yaliyoondoa ukomo wa mihula miwili wa kwenye nafasi hiyo.
Chama cha #NPC, ambacho wanachama wake huteuliwa na Chama Tawala cha Kikomunisti, kilimpigia Jinping Kura...
Asalam,
Jana katika kumsikiliza Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe nikaona ametoa tafsiri ambayo sikuwa naijua ya malengo ya vyama vya upinzania Tanzania. Kwa ufupi anasema LENGO KUU NI KUMSAIDIA MAMA KUONGOZA VIZURI (kwa Tafsiri yangu na nyongeza kidogo ni sawa na kusema lengo sio kushika...
Kumekuwa na mijadala mikubwa ikiendelea nchini sasa kuhusu yale yanayoitwa maridhiano ya kisiasa. Kimsingi ni maridhiano kati ya chama tawala na vyama vya upinzani. Lakini haikupaswa kuwa hivyo tu, wapo watu binafsi, mashirika na makampuni binafsi na hata baadhi ya nchi ambazo kipindi cha...
Je, amerejea CHADEMA? Tusubiri tuone
Aliyewahi kuwa Katibu wa CHADEMA Taifa na baadaye Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dkt. Wilbrod Slaa kwa mara ya kwanza jana Jumapili amehudhuria mkutano wa Chadema Wilaya ya Karatu na kuahidi atashirikiana na chama hicho kudai Katiba mpya.
Dkt. Slaa...
Kaimu Shehe wa mkoa wa Dar es Salaam Walid Alhad ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Elimu, Afya na Malezi ya Jumuiya ya Wazazi CCM mkoa wa Dar es Salaam.
Source: Jambo TV
Mlale unono!
===
Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Walid Alhad ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Elimu...
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe anatarajia kuongoza mapokezi na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho Godbless Lema, Machi Mosi mwaka huu, katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) akiwa na viongozi kadhaa wa dini.
Lema aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini kuanzia mwaka 2010 hadi...
Hello hello JF
Ikulu kuna watu na search committee inafanya kazi Mungu wa ajabu sana huyu Dogo Terri ni mnyama sana kichwani nimemuwazia sana na sikujua yuko wapi tangu enzi za TPSF akiwa na Simbeye na Shamte.
I have been praying for him to be remembered to serve this country at some point...
Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mohamed Chande Othman atakuwa Mwenyekiti wa Tume ya Wataalamu wa Haki za Kibinadamu nchini Ethiopia ambayo itafanya kazi chini ya Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa.
Tume hiyo ya Watu 3 imepewa Mamlaka ya kuchunguza madai ya Ukiukaji wa Haki za...
Rais Dk. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kushuhudia uzinduzi wa zoezi la kuingiza maji kwenye Bwawa la Julius Nyerere Disemba 22, 2022 badala ya Novemba 2021 iliyokuwa awali.
Mheshimiwa Rais pamoja na hatua hiyo muhimu bado kuna mambo ya msingi sana ambayo Waziri wako wa Umeme hajayaweka wazi...
Rais na mwanaye kama makamu waendelea kuongoza Equatorial Guinea, Rais huyo mwenye umri wa miaka 80 ndiye anaongoza duniani kwa kushikilia madaraka kwa muda mrefu kwenye hiyo nchi yenye umaskini uliokubuhu licha ya uwepo wa mafuta mengi.
Afrika yetu patamu, Wazungu na mabeberu watuache na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.