Habari za wakati huu wakuu
Naomba kuwasiliana na watu wenye uwezo na uzoefu wa kusimamia na kuongoza miradi ya shirika lisilo la kiserikali.
Kwa wale watu ambao waliwahi kufanya kazi kwenye mashirika kama wafanyakazi ,wasimamizi ,viongozi nk, naomba tuwasiliane pls ,
Pia naomba ushauri na maoni...
mfumuko wa bei
doble taxation hapa anawakamua sana wananchi, madhara yake ni kupungua mzunguko wa pesa, uzalishaji
deni la taifa limeongezeka kwa zaidi ya asilimia 10
Mzuka wanajamvi!
Natoa pongezi ya mapema (in advance) kwa timu ya mpira ya ligi kuu ya Uingereza Arsenal FC the gunners kwa kuwa timu ya kwanza msimu huu mpya wa 2021/22 kwa kuongoza ligi.
Arsenal itafungua msimu kwa kucheza na vibonde Brantford FC waliopanda daraja kesho saa nne usiku.
Kwa...
Baada ya kusikiliza interview ya Rais Samia Suluhu na Salimu Kikeke, nimegundua mambo matatu kwenye uongozi wa Samia Suluhu, aidha Rais hayuko well informed au anadanganywa/potoshwa au uwezo wake wa kutambua mambo ni mdogo.
Pamoja na mapungufu yake Magufuli alikuwa na watu wake (inner circle)...
Tunakumbuka kuwa kulikuwa kuna fununu za jitihada za kutaka Mama asishike usukani baada ya Mzee kufariki, na hali hiyo ilichangia kuchelewa kutangawaza kifo cha Mzee mpaka pale Mkubwa wa Mapiganaji wetu alivyoingilia kati
Tunakumbuka wakati wa mazishi ya Mzee kule kijijini Mkubwa wa Mapiganaji...
Ile Operesheni iliyotikisa nchi kwa kuhamasisha wananchi juu ya umuhimu wa katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi, ambayo ishatikisa na kuamsha watu wa mikoa 24, sasa imeingia kwenye mkoa wa DSM huku wakazi wake wakisubiri kwa hamu bila kuchoka.
Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe ataongoza...
Juzi Rais wa Rwanda katangaza kufunga vyuo na shule kuanzia 01.07.2021.
Kenya curfew imekuwa extended for 60 more days
Uganda Ligi kuu imelazimishwa kumalizika coz ya Covid.
Burundi, India, Brazil na nyingine mambo ni yaleyale.
Japan wametangaza WIMBI LA TANO...
Habari wanajamvi,
Wiki hzi tatu au mwezi huu tumekuwa na mijadala mingi hasa inayohusu uteuzi na teuzi mbalimbali.
Kinacholeta mjadala kingine ni katika masuala ya Muungano, Nacho nauliza kama ifuatavyo:
1. Je, inaruhusiwa kwa Mzanzibari kuongoza Wizara/taasisi ambayo haipo katika masuala ya...
Nimeipokea na kuileta hapa wakuu, Imfikie Mufti Mkuu wa Bakwata.
Katika Msikiti wa Kisumu, Mtaa wa Mtambani, Magomeni Mikumi, Dar es Salaam kuna Mgogoro mkubwa unafukuta mwaka sasa na ajabu Mufti wa Mkoa ana makazi yake kama mita 100 toka kwenye huo Msikiti.
Hapo nyuma ilitokea kuna Uchaguzi...
Kama kuna dhambi wajumbe mtafanya ni kumrudishia tena madarakani Karia
TFF nabidi ibadilike bodi inafanya kazi kimazoea
Tufike wakati tuseme imetosha
Tuwe na viongozi wenye hekima na busara kuwatumikia wananchi
Wakuu Habari
Baada ya ziara ya Samia ya kwenda Kenya na kuondoa mtanziko wa kibiashara na kidiplomasia kati ya nchi hizi mbili na malori ya Tanzania kuruhusiwa kupeleka bidhaa zetu huko nilisoma maoni ya baadhi ya Watanzania ndipo nikajua Magufuli aliharibu hii nchi kiasi gani.
Kwanza kitendo...
Rais Yoweri Museveni ameapishwa kwa mara ya sita mfululizo kuliongoza taifa hilo hadi mwaka 2026 katika sherehe zilizofanyika Uwanja wa Kololo nchini humo.
Museveni amekuwa kiongozi wa nchi hiyo tangu mwaka 1986. Sherehe za uapisho zimehudhuriiwa na viongozi takriban 11 wa mataifa mbalimbali...
Nina hakika CCM itashinda chaguzi zote zijazo, swali langu je katiba inasemaje kwa raisi aliyeshika madaraka kutokana na kifo cha raisi aliyekuwa madarakani, kwani katiba inasema atashika madaraka mfululizo kwa miaka kumi itawapo atachaguliwa.
Kwa hivyo basi je raisi tuliyenae sasa anaweza...
A. UTANGULIZI
Napenda kuweka wazi kwamba nimeanzisha mjadala huu, ili kuondoa mkanganyiko na mkwamo ninao uona wazi wazi katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania. Kwa mara nyingine katiba yetu imejaribiwa (imekuwa tested), hivyo ni busara kuwepo kwa mjadala wa kuondoa shaka na hoja...
Ni mechi muhimu kwa Yanga kuendeleza matumaini kuwania ubingwa wa ligi kuu ya Tanzania Bara na kurejea kileleni ikiwa imeshinda mechi zake mbili zilizopita. Azam baada ya kusuluhu mechi iliyopita na Dodoma jiji itajitahidi kushinda mechi ya leo.
Yanga yenye alama 57 na michezo 26 itaikaribisha...
Kiu ya Rais wetu ni kuona Bunge linajadili vitu kwa upana na kwa kuwa bunge chini ya Spika Ndugai anaonekana kuzidiwa lakini anashindwa kusema asaidiwe kwa sababu Mhe. Rais anapenda kuona kuona wanaozidiwa wanaomba kusaidiwa lakini hafanyi hivyo basi kwa niaba yake tunaomba Mhe. Rais msaidie...
Kongamano hilo kubwa la Viongozi wa Dini litafanyika Aprili 18, 2021 katika Ukumbi wa Chimwaga Dodoma.
Mheshimiwa Rais wa Tanzania Mama Samia pamoja na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi watahudhuria wakiwa wageni rasmi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.