kuongeza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kahtaan

    JamiiForums Tanzania Je, jamaa yuko sahihi kuhusu Wachungaji?

  2. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Watalii ni wengi sana, serikali ijitahidi kuongeza angalau ndege 2 mpya za direct route kutoka major destinations

    Katika awamu hii mpya ni vema serikali ikaona umuhimu wa kuongezs direct flights nyingi zaidi kutoka major destinations, mfano Kilimanjaro kwenda italy na ujerumani https://dailynews.co.tz/tourism-boom-fuels-air-travel-surge/
  3. R

    JamiiForums Tanzania Nyie wazee 7, mnakaribia kurudi kwa Muumba wenu, achana na Unajisi wa kutenda dhambi kubwa. Tubuni dhambi na si kuongeza dhambi

    Achana na DHAMBI hii kubwa ya kusafisha mauaji ya HALAIKI. Mnakaribia kufa, kwa umri wenu , ni muda wa kutubu dhambi mlizozifanya mkiwa madarakani. Msiongeze DHAMBI HII KUBWA YA KUBARIKI MAUAJI YA HALAIKI/ KIMBALI. TUBUNI HUKUMU ZA UONEVU MLIZOZITOA NA SI KUONGEZA HUKUMU ZA UONEVU
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Tesla ni kama iPhone. Wanawaibia wateja wao kwa updates ndogo ndogo kila toleo jipya na kuongeza bei!

    Inaonekana Wamarekani na kuwaibia wateja ni kitu cha kawaida. Tesla wanataka kuzindua new Model Y ili week, wenyewe wanaiita Striped Model Y kwamba imeondolewa baadhi ya features na kuuzwa bei nafuu, ila sio nafuu kuliko Model 3. Hawa jamaa naona kabisa wanaleta utapeli. Kuanzia updates ya...
  5. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Amri imetoka juu. Wastaafu JWTZ wanaitwa kuongeza reinforcement

    Wanabodi Nitaendelea kuwapatia updates ya yanayojiri baada ya Captain Tesha kusema mazito kuelekea 29 Oktoba Maandamano Jana, usiku vikao vimefanyika vya ngazi mbalimbali ambapo amri moja imetoka na kudemand utekelezwaji wa haraka. Amri Wastaafu wote wa JWTZ wameitwa kambini. (Wastaafu wa...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Kuongeza urefu wa kimo

    Wadau mimi naomba niulize, hivi kuna dawa youote ya kuongeza urefu wa mwili (kimo). Na imedhibitishwa kihalali?
  7. L

    JamiiForums Tanzania Hizi ni documents zinazohitajika Wakati wa kuongeza Mtaji wa Kampuni

    Jana nilipost thread kuhusu hatua za kufuata wakati wa kuongeza share capital, Leo nitakuandikia documents husika zinahitajika kukamilisha mchakato huo wa kuongeza share capital. 1. Board Resolution Hii ni document inayoandaliwa na directors wa Kampuni kuonesha kua wanataka kuongeza Mtaji kwa...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuongeza Mtaji wa Kampuni Yako

    Umefungua Kampuni kwa mtaji wa 10M kama share capital mfano, baada ya kufanya biashara kwa muda Fulani unataka kuongeza Mtaji ufike 50M. Hizi ni hatua za kisheria za kufuata. 1. Kikao Cha wakurugenzi (directors) Wakurugenzi watakaa na kupitisha ajenda ya kuongeza Mtaji wa Kampuni. 2. Notice...
  9. VictoriaGreenHerbal

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuongeza uume bila madhara?

    NAWEZAJE KUONGEZA UUME BILA MADHARA? Wanaume wengi wamekuwa wakijiuliza: “Je, inawezekana kweli kuongeza uume angalau inchi moja au mbili bila madhara?” Jibu ni NDIO. Lakini kwanza lazima ujue chanzo cha tatizo lako. Mara nyingi linatokana na urithi wa kimaumbile, tohara ya utotoni, maradhi...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Ili kuongeza fursa za kusoma Post Graduate, Je wagombea urais mtairudisha AIMS?

    Ili kuboresha elimu Africa washirika mbalimbali wanatoa hela zao kufadhili masomo ya wanafunzi wa post graduate wa hesabu kwa taasisi inayojulikana kama African Institute of Mathematical Sciences (AIMS). Chuo hiki kiko nchi mbalimbali kikichukua wanafunzi wa hesabu na engineering na kuwasomesha...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania KASI YA UJENZI WA VIWANDA VYA KUONGEZA THAMANI MADINI YAONGEZEKA NCHINI TANZANIA

    KASI YA UJENZI WA VIWANDA VYA KUONGEZA THAMANI MADINI YAONGEZEKA NCHINI TANZANIA ☑️ Waziri Mavunde aweka Jiwe la Msingi Kiwanda cha Kusindika na Kuyeyusha Nikeli na Shaba - Dodoma ☑️ Ni maelekezo ya Mhe. Rais Samia kuyaongezea thamani madini ndani ya nchi. ☑️ Mradi kuchakata takribani tani...
  12. hamza mahundu

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuingia serikalini na elimu ya form 4 je muda gani unaweza kuongeza elimu yako

    Mfano umepata kazo ajira portal FORM 4. NA UNA CHET CHA DEGREE ILA HAUJAKIPANDISHA AJIRA PORTAL KUNA UWEZKANO WA KUONGEZEKA CHEO BAADA YA MUDA GANI
  13. uvugizi

    JamiiForums Tanzania Hapa Burundi Kuna kinywaji kinaitwa Balthazar wanaume wengi Sana wanapenda kunywa

    Hapa Burundi Kuna kinywaji kinaitwa Balthazar wanaume wengi Sana wanapenda kunywa . Hata kina mama wanawashauri waume zao kwenda kunywa. Siku moja katika pita pita zangu nilikutana na mama mmoja akaniambia inabidi uwe unakunywa Balthazar nikamwambia ipo vipi ? , off course alinipeleka katika...
  14. Jumlisha

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji Zambia walitaka kunifunga kisa kuongeza siku

    Ila Zambia bhana, hawa migration wa Zambia ni habari nyingine linapokuja suala la raia wa kigeni. Watz wanaofanya biashara Zambia wanaelewa muziki wa migration wa Zambia. Jamaa wanakufata mpaka getto ulilopanga, na wakikukosa unafuatwa mpaka kwa restaurant. Nakumbuka wamewahi kutunasa toka...
  15. Black jackal360

    JamiiForums Tanzania Je ninaweza kuongeza daraja class E katika leseni kama nina cheti cha class E hata kama leseni yangu ndogo haikutimiza mwaka au hata kama ina mwaka

    Naombeni muongozo wakulu Elewa swali.
  16. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Bodi ya wakurugenzi kwenye mashirika ya umma wawepo hata foreigner ili kuongeza ufanisi

    Kwa mda mrefu sana bodi za wakurugenzi kwenye mashirika ya umma zimekuwa ni sehemu za watu kumalizia uzee nikimaanisha zimekua ni sehemu za wale walio-staafu serikalini wanachaguliwa kwenye hizi board Sio sawa Bodi za wakurugenzi wa mashirika ya umma iwe sehemu ya kumalizia uzee Sina nia mbaya...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Polepole kuongeza nguvu kwenye jitihada zilizokuwapo, ukombozi unakuja, saa imefika, Mungu ameruhusu!

    Ashukuriwe Mungu wa mbinguni bwana wa majeshi kwa kutupenda mno sisi hata ikampendeza machungu yetu hatimaye kufikia mwisho labda tena kwa salama. Tulipo hatuko mbali na tunakopahitaji yaani kwenye Tanzania ya haki. Haipo siri Tena, adui zetu wànajulikana vyema zaidi. "Wapumzike kwa amani...
  18. B

    JamiiForums Tanzania SBL Yazindua Mpango wa Kilimo Biashara Kuongeza Mavuno kwa Wakulima

    Mkurugenzi Wa Masoko ya Kilimo na Usalama Wa Chakula, Gungu Mibavu (kushoto), akimwakilisha Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Serengeti Breweries Limited (SBL), Obinna Anyalebechi wakiashiria uzinduzi rasmi wa mradi wa ‘Shamba ni Mali’ wenye lengo la kuwanufaisha...
  19. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia kuongeza mitaji kwa wavuvi mara 50 zaidi, Geita

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, omeongeza mara 50 mitaji ya wavuvi mkoani Geita ikiwa ni ongezeko jipya la Shilingi milioni 770 Rais Samia katika kuendelea kuimarisha sekta ya uvuvi nchini, ameongeza mitaji kwa wafugaji wa samaki mkoani Geita kutoka Shilingi...
  20. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Natafuta dawa za kuongeza Uboho

    Wakuu kwema? Napata wapi dawa za kuongeza uboho? Asanteni.
Back
Top Bottom