Mfano unapozoea kutumia mafuta ya Petrol ya kituo cha Puma aina ya Unleaed kwenda kituo cha Total wenye Petrol ya Excellium. Niliwahi kuona gari ikiwa nzito au nyepesi napobadili vituo hivyo pamoja na utofauti wa ulaji wa mafuta
Au unapobadili vituo vinavyotumia Petrol unleaded lakini kampuni...
Aliyewahi tumia dawa za kuongeza uume na kufanikiwa nahitaji anipe recommendation.
Kama hutaki kucomment unaweza kuja PM
Kama hujawahi tumia tafadhali achana na hii thread 🤣🤣
Ushauri wa kipuuzi sihitaji.
Side effects nazijua kwahyo sitaki comment zakijinga
Hamjambo wote!
1. Mapema wiki hizi kumekuwa na ongezeko la mabasi ya Mwendokasi Ruti ya Kimara Mbezi.
2. Mabasi ni mapya na mazuri.
3. Kiyoyozi na WiFi kama zote. Password utajua pakuipata.
4. Serikali kwa hilo ipongezwe kwa sababu kama yakiwa hayapo watu wanalalamika na kukosoa. Basi yakiwepo...
Kikao cha Kamati ya Fedha cha Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kinafanyika jijini Pretoria, Afrika Kusini Machi 09, 2026 kujadili hali ya fedha ya jumuiya hiyo muhimu katika mtangamano wa kikanda kusini mwa Afrika.
Watalaamu wa masuala ya fedha na bajeti kutoka Tanzania...
Ninaweza kusaidia biashara yako kupata wateja kwa ajili ya bidhaa au huduma zako kupitia lead generation na B2B sales/outreach. Nitakutafutia wateja wa uhakika wanaoweza kuwa na uhitaji halisi wa kile unachouza, badala ya kupoteza muda kwa watu wasio na interest.
Kwa wanaotaka kuanza, kuna...
Maswahiba wanaosema urusi ni mtu mzuri embu watajeni ila mimi nataka nimuongelee yeye kwanza.
Hapa kenya kuna kitu kimetokea cha kuwa beba vijana waende kupigana Ukrainian.
Ukandamizaji wa habari na mambo yanayo fanywa kama kuwekewa sumu,kutekwa urusi sio mageni kwa kisingizio kulinda Amani...
Katika awamu hii mpya ni vema serikali ikaona umuhimu wa kuongezs direct flights nyingi zaidi kutoka major destinations, mfano Kilimanjaro kwenda italy na ujerumani
https://dailynews.co.tz/tourism-boom-fuels-air-travel-surge/
Achana na DHAMBI hii kubwa ya kusafisha mauaji ya HALAIKI.
Mnakaribia kufa, kwa umri wenu , ni muda wa kutubu dhambi mlizozifanya mkiwa madarakani. Msiongeze DHAMBI HII KUBWA YA KUBARIKI MAUAJI YA HALAIKI/ KIMBALI.
TUBUNI HUKUMU ZA UONEVU MLIZOZITOA NA SI KUONGEZA HUKUMU ZA UONEVU
Inaonekana Wamarekani na kuwaibia wateja ni kitu cha kawaida.
Tesla wanataka kuzindua new Model Y ili week, wenyewe wanaiita Striped Model Y kwamba imeondolewa baadhi ya features na kuuzwa bei nafuu, ila sio nafuu kuliko Model 3.
Hawa jamaa naona kabisa wanaleta utapeli. Kuanzia updates ya...
Wanabodi
Nitaendelea kuwapatia updates ya yanayojiri baada ya Captain Tesha kusema mazito kuelekea 29 Oktoba Maandamano
Jana, usiku vikao vimefanyika vya ngazi mbalimbali ambapo amri moja imetoka na kudemand utekelezwaji wa haraka.
Amri
Wastaafu wote wa JWTZ wameitwa kambini. (Wastaafu wa...
Jana nilipost thread kuhusu hatua za kufuata wakati wa kuongeza share capital, Leo nitakuandikia documents husika zinahitajika kukamilisha mchakato huo wa kuongeza share capital.
1. Board Resolution
Hii ni document inayoandaliwa na directors wa Kampuni kuonesha kua wanataka kuongeza Mtaji kwa...
Umefungua Kampuni kwa mtaji wa 10M kama share capital mfano, baada ya kufanya biashara kwa muda Fulani unataka kuongeza Mtaji ufike 50M.
Hizi ni hatua za kisheria za kufuata.
1. Kikao Cha wakurugenzi (directors)
Wakurugenzi watakaa na kupitisha ajenda ya kuongeza Mtaji wa Kampuni.
2. Notice...
NAWEZAJE KUONGEZA UUME BILA MADHARA?
Wanaume wengi wamekuwa wakijiuliza: “Je, inawezekana kweli kuongeza uume angalau inchi moja au mbili bila madhara?”
Jibu ni NDIO. Lakini kwanza lazima ujue chanzo cha tatizo lako. Mara nyingi linatokana na urithi wa kimaumbile, tohara ya utotoni, maradhi...
Ili kuboresha elimu Africa washirika mbalimbali wanatoa hela zao kufadhili masomo ya wanafunzi wa post graduate wa hesabu kwa taasisi inayojulikana kama African Institute of Mathematical Sciences (AIMS). Chuo hiki kiko nchi mbalimbali kikichukua wanafunzi wa hesabu na engineering na kuwasomesha...
KASI YA UJENZI WA VIWANDA VYA KUONGEZA THAMANI MADINI YAONGEZEKA NCHINI TANZANIA
☑️ Waziri Mavunde aweka Jiwe la Msingi Kiwanda cha Kusindika na Kuyeyusha Nikeli na Shaba - Dodoma
☑️ Ni maelekezo ya Mhe. Rais Samia kuyaongezea thamani madini ndani ya nchi.
☑️ Mradi kuchakata takribani tani...
Hapa Burundi Kuna kinywaji kinaitwa Balthazar wanaume wengi Sana wanapenda kunywa . Hata kina mama wanawashauri waume zao kwenda kunywa.
Siku moja katika pita pita zangu nilikutana na mama mmoja akaniambia inabidi uwe unakunywa Balthazar nikamwambia ipo vipi ? , off course alinipeleka katika...
Ila Zambia bhana, hawa migration wa Zambia ni habari nyingine linapokuja suala la raia wa kigeni.
Watz wanaofanya biashara Zambia wanaelewa muziki wa migration wa Zambia. Jamaa wanakufata mpaka getto ulilopanga, na wakikukosa unafuatwa mpaka kwa restaurant.
Nakumbuka wamewahi kutunasa toka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.