kuongea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Airtel Money huduma mbovu sana, haya mmeondoa kipendele cha kuongea na muhudumu kimya kimya

    Kuna wakati hawa jamaa siwaelewi kabisa yaani kwenye hii Airtel Money, ukinunua luku wanakuletea tu kuwa malipo yako yamefanyika bila kuleta balance ya akaunti yako baada ya muamala huo kufanyika. Ukitaka kufanya muamala kama salio halitoshi wanakutumia msg salio halitoshi bila kuonyesha salio...
  2. JamiiForums Tanzania Aliyekufa na kuzikwa zaidi ya miaka 20 iliyopita apatikana ila hawezi kuongea

    Nimekutana na hii habari. Mimi bado nina maswali mengi ===== Kijana aliyefariki tangu mwaka 1994 amepatikana na kukukutana tena na familia yake Mama yake amemtambua na kujiridhisha kuwa ni mwanaye baada ya kutambua baadhi ya maeneo ya mwili wake Kijana huyo hana uwezo wa kuzungumza kwa sasa...
  3. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Juu wa CHADEMA kuongea na Wanahabari Novemba 25, 2020 Makao Makuu ya Chama, Kinondoni

    Kesho Jumatano, Novemba 25, 2020, CHADEMA kupitia uongozi wa juu wa Chama, kitazungumza na Umma wa Watanzania kupitia waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari, katika mkutano utakaofanyika Ofisi za Makao Makuu ya Chama, kuanzia saa 5 asubuhi. Asanteni. Wote Mnakaribishwa.
  4. JamiiForums Tanzania Anayejua software ya ku-type kwa kuongea

    HELLO Habari wana jamvi mimi nimepata shida kidogo mahali nilikuwa nimepewa kazi moja ila kwa kweli ni kubwa mno. Nina makaratasi hapa kama yote na yameandikwa kwa lugha ya kingereza sasa nilikuwa nataka software nzuri kwa ajili ya kunisaidi kurahisisha kazi, mimi niwe naongea tu yenyewe iwe...
  5. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Hivi kuna Mwanasiasa kweli wa Kitanzania mwenye Ujasiri wa kuongea maneno haya mbele ya Hakimu kama Boby Wine wa Uganda?

    Baada ya Kukamatwa Juzi na leo kupelekwa Mahakamani angalia jinsi Mwanasiasa Jasiri wa Uganda Robert Kyagulanyi alias Boby Wine alivyojitetea. "I am not here because I committed a crime. I am here because I offered myself to lead Ugandans into ending 35 years of a dictatorship," Presidential...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuongea unaposhinda Uchaguzi, au unaposhindwa. Chama Tawala na Wapinzani wanapaswa kujifunza

    Mwanasiasa anaposhinda uchaguzi anatakiwa azungumze kwa namna itakayoteremsha joto la uchaguzi. Hii ni hotuba aliyoitoa Bill Clinton wa Marekani baada ya kushinda uchaguzi. Nilitaka niweke hotuba ya Obama lakini nadhani ile ina vionjo vya kihistoria. Aliyeshindwa uchaguzi naye anatakiwa...
  7. JamiiForums Tanzania Polepole aache kuongea ongea, anaboa

    Huyu jamaa Hana lolote la kutuaminisha, aache kuongea ongea, tunajua bhana how life goes, alichokifanya JPM Kila moja anajua bhana, kanunua midege, kajenga barabara za mtaa, kajenga majengo ya vituo vya afya bila watendaji kazi, SGR na bwawa la umeme, japo mpaka sasa 80% ya Watanzania...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kesho Jumamosi viongozi wakuu wa CHADEMA, ACT Wazalendo kuzungumza na Waandishi wa Habari-Makao Makuu ya CHADEMA

    Kesho majira ya saa nne asubuhi viongozi wakuu wa CHADEMA na ACT Wazalendo kuzungumza na Waandishi wa Habari. Yatafanyika Makao Makuu ya CHADEMA mtaa wa Ufipa Kinondoni. Stay tuned!
  9. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 John Mnyika: Kuongea na vyombo vya Habari, saa 8 mchana

    John Mnyika: Jitihada za mawasiliano na NEC juzi, jana na leo mpaka muda huu kudhibiti hujuma kwenye uapishaji wa mawakala zimekwama maeneo mengi. Nitazungumza vyombo vya habari HQ saa 8 mchana. Kwa sasa , #PeoplesPower itumike maeneo ambayo hujuma zinaendelea. #SasaBasi. ===== MNYIKA...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Bernard Membe kuongea na Wahariri leo Oktoba 19, 2020

    Kuna taarifa za awali zinaonyesha kuwa ‘Kachero Mbobezi’ ndugu Bernard Membe ameamua kufanya ‘maamuzi magumu’ na hivyo asubuhi ya leo mida ya saa 4 anatarajiwa ‘kulipuka’ mbele ya Wahariri wa Vyombo vya Habari jijini Dar. Je, tutarajie yepi toka kwa hili ‘joka la mdimu’? A) Atafanya kama Dk...
  11. U

    JamiiForums Tanzania GE2020 Polepole: Dkt. Magufuli ataendelea na mikutano ya kampeni katika mikoa 6. Mama Samia ataelekea Zanzibar

    Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Kamarada Humphrey Polepole leo Jumamosi Oktoba 17, 2020 atazungumza na Vyombo Vya Habari. --- Mgombea urais kupitia CCM, John Magufuli Oktoba 19, 2020 ataendelea na mikutano ya kampeni katika mikoa sita akianzia Pwani na kumalizia mkoani Dodoma Oktoba 26, 2020...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ukiwa Rais wa nchi ni vema ukawa rafiki wa wapinzani, tenga hata muda wa kuongea nao

    Ukiwa Rais wa nchi yoyote ile ni vema ukawa rafiki au karibu na wapinzani wote hata muda wa kufanya nao mazungumzo jitahidi uupate, dunia ya sasa hivi sio dunia ya kuwa na maadui bali kuongeza marafiki ila usalama wako unakuwa ni mkubwa sana. Inaweza ikatokea mmoja akamhitaji mwingine ili...
  13. JamiiForums Tanzania Je, na Wagombea wengine wa 'Urais' nchini Tanzania nao watakuwa na 'Confidence' kubwa ya Kuongea Kiingereza na Balozi wa US kama alivyoweza Lissu?

    Kuna 'Mgombea' Mmoja hivi (bahati mbaya Jina lake limenitoka ghafla tu) nami natamani kweli kweli akishamaliza tu Ratiba yake ya Kugawa 'Kopi' za 'Vinyago' vyenye Mbuga zetu za Wanyama kwa Wageni wake Waalikwa basi nae akatishe zake aende Kupiga 'Stori' mbili tatu hivi na Balozi wa Marekani kama...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA: Tunamuunga mkono Maalim Seif kwa Urais Zanzibar. Lissu hataendelea na kampeni, atapangiwa majukumu mengine

    Kwa mujibu wa Tumaini Makene: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Freeman A. Mbowe leo Jumapili, Septemba 4, 2020, saa 7 mchana atatoa tamko, kupitia Mkutano wa Waandishi wa Habari, kuhusu maazimio ya Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Chama kilichoketi jana na kumalizika usiku jijini Dar es Salaam...
  15. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kuongea na vyombo vya habari muda mfupi ujao

    Tundu Lissu mgombea urais wa JMT kupitia CHADEMA anatarajia kuongea na vyombo vya habari leo majira ya saa kumi na nusu jioni. ----- Wito wa dharura, Mkutano na Waandishi wa Habari Chief, habari za muda huu? Naomba kukutaarifu kuwa Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu kuteta na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania

    Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania. Endelea kufuatilia kitakachozungumzwa kupitia hapa hapa JF. =======
  17. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ameongea na waandishi wa habari, afafanua vitisho vya Amsterdam kwa Mkurugenzi wa Uchaguzi na suala la kuunga mkono Ushoga

    Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka duniani kwa sasa . Endelea kutegea sikio === Mgombea wa Urais kupitia tiketi ya Chama cha Demakrasia na Maendeleo (Chadema) Ndugu Tundu Lissu leo amekutana na Waandishi wa habari ambao walipata fursa ya kumuuliza maswali mbalimbali ambapo Mgombea huyo...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania walio wengi ni wavivu wa kufikiri, wepesi wa kusahau, wajuaji wa kuongea kuliko matendo

    Nakumbuka katika kampeni za 2015 na kurudi nyuma hoja kubwa za upinzani ilikuwa ni ufisadi na ubadhilifu wa mali za umma, alipoingia Rais John Joseph Magufuli amefanya mengi kuakikisha anayafuta kabisa, ametumia nguvu nyingi kuyaondoa lakini kwa kipindi hicho pesa ilikuwa nyingi sana lakini...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 RC wa Mwanza, John Mongela avunja Mwiko wa Kampeni Kwa Kuongea Ukweli Bayana!, "Tukimpa Mitano Tena, JPM Kuigeuza Tanzania Nchi ya Maziwa na Asali"

    Wanabodi, Kwanza sikiliza hii Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongela, ni moja wa Ma RC very bold katika kuusema ukweli bayana!, leo amevunja mwiko wa ukimya kwa viongozi wa serikali kutompigia kampeni zozote za kisiasa kwa mgombea yoyote, kwasababu hawa ni viongozi wa kiutendaji, lakini RC John...
  20. JamiiForums Tanzania Nimemaliza kuongea na Rafiki yangu anayeishi Marekani, Ananiambia 'we are still working from home beacuse of Corona, America is becoming boring place'

    Tuache siasa tuache majungu Magufuli ni mwanasayansi asiekuwa muoga na anaejua nini anafanya. Sio kwamba ana miujiza ila alichoweza kuwaaminisha watanzania ni kwamba corona ni mafua ya kawaida sana kawaida ila haiwezi kushindana na uwezo wetu wa kukabiliana na hali tete au hali ngumu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…